Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

Hawa CCM sijui Nyerere wanamuonaje na kumchukuliaje, Nyerere alikuwa ni binadamu na alikuwa na madhaifu sana, Nyerere hakuwa mkweli kuna siku alisema angemuwahi Rais wa 2010 akiwa hai.

Suali la dini ni suali zuri katika nchi kujua watu wako wala halina mtafaruku wowote ni figure tu kama nchi unajua Tanzania kwa mfano kuna waislamu kiasi gani na wakiristo kiasi gaini labda ambao hawana dini ni kiasi gani kujua mahitaji vile vile katika shughuli za maendeleo.

Hili suali nchi nyingi wanauliza, hata katika CV lakini mafomu mingi ya online lipo hili suali lina umuhimu katika mahitaji na sio kuwagawa watu.

Lakini ukija kwa wanaokataa sijui tuseme ni hofu au kitu gani sijuI au ndio hizo fikira za Nyerere labda wanaogopa waislamu kuonekana ni wengi kuliko wakiristo maana aslimia 99% wanaopinga suali hili la dini ni wakristo, hawa watu wana hofu sana kujiona wako kidogo.

Nadhani kuna watu hawatakubali kuhesabiwa kama hili suali halipo
Mnajionaga wengi kumbe mnajiongopea. Labda kama mnajumlisha na wale wasafi na wachafu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mahitaji yako ya kiimani yanategemea Serekeli na wengine ?, Kwanini msiji-organize mkatenda according to Imani zenu..., Serikali na Kodi za ujumla zitoe huduma za kijumla (elimu, afya, chakula, kuondoa umasikini) hayo hayana dini yanamtwanga kila Mtanzania
Kwa sababu wakiristo hawashughuliki na dini yao mana hawana uhakika unataka na waislamu pia wawe hivyo? Nchi nyingi duniani zimeangalia mahitaji ya waislamu kwa sababu ndio watu wengi walionao katika nchi yao hakukuwa na namna,

Leo nyerere mchonga meno kawapangia maisha ya baadae na munamuabudu ata akikwambie 2+1 = 5 basi nyoote mtasema ndiooo
 
Nahitaji gani ya kidini? Unataka serikali ikujengee msikiti?
Kwanini isijenge? inafanya nini madarakani kama haikidhi mahitaji ya wananchi wake, Magufuli alimuomba mfalme wa morocco ajenge msikiti Tanzania kwa sababu ya uhitaji , kwa nn hukumjibu magu kwamba misikiti watajenga wabongo wenyewe.
 
Mnajionaga wengi kumbe mnajiongopea. Labda kama mnajumlisha na wale wasafi na wachafu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bila ya suali la dini kwenye sensa waislamu tutapiga kampeni wakatae kuhesabiwa
 
Kwa sababu wakiristo hawashughuliki na dini yao mana hawana uhakika unataka na waislamu pia wawe hivyo? Nchi nyingi duniani zimeangalia mahitaji ya waislamu kwa sababu ndio watu wengi walionao katika nchi yao hakukuwa na namna,
Nani hapa kawazungumzia wakristo Imani zote ni mambo binafsi wewe hata ukiamua kuabudu mizimu ya babu zako ni haki yako na endelea ila mimi au yule hatuhusiki katika imani yao...,

Waislamu wana mahitaji gani hayo ambayo ni tofauti na ya Imani nyingine au ambao hawana Imani ambayo wenyewe hawawezi kujifanyia mpaka ruzuku itumike kuwafanyia ?

Watu tunahangaika na umasikini, Ujinga (ambao naona tena umezidi maradufu) kwa kuhakikisha nguvu na kodi zetu zinapelekwa huko wewe unataka nguvu zipelekwe kwa mahitaji ya individuals ambao wanaweza kujifanyia wenyewe
Leo nyerere mchonga meno kawapangia maisha ya baadae na munamuabudu ata akikwambie 2+1 = 5 basi nyoote mtasema ndiooo
Binafsi siangalii ni nani kasema bali nini kimesemwa..., hata Nyerere angesema haya unayosema wewe ningekuwa ninamjibu kama ninavyokujibu wewe..., Hizo imani zenu pelekeni Misikitini, Mahekaluni, Kwenye Mizimu Yenu au Popote pale mnapokutana watu wa imani moja
 
Kwanini isijenge? inafanya nini madarakani kama haikidhi mahitaji ya wananchi wake, Magufuli alimuomba mfalme wa morocco ajenge msikiti Tanzania kwa sababu ya uhitaji , kwa nn hukumjibu magu kwamba misikiti watajenga wabongo wenyewe.
Na tukimaliza hapo kodi zetu zikajenge nyumba za matambiko ? au ni wapi tunapiga mstari ? Au wapagani hawalipi Kodi ? Na wale wasio na Imani yoyote huoni Kodi zao zitakuwa zinakwenda kwenye vitu ambavyo kwao ni vya kufikirika?

Issue sio kwamba wapo wangapi issue ni kwamba Serikali na hii pesa ndogo inayokusanywa haipo kwenye Biashara ya kuhudumia matabaka ya watu kutokana na Imani yao / Kabila lao (huduma ni kwa Watanzania wote) wanatoa huduma ambazo mimi wewe na yule tunaweza kuzitumia regardless Kabila letu au Imani yetu
 
Imani ndio sehemu kuu ya mwanadamu katika maisha yake na maendeleo yake, ni ujinga kuwaza mambo nje ya hapo kwamba serikali ndio ishughulike nayo, JPM alikuwa makanisani muda wote, Mwinyi mzee wa kuzungusha mabati tu kwenye maeneo bila ya kujenga kule Zanzibar saa zote hutuba zake anahubiri misikitini kwanini kusiwe na uhitaji?? Sensa lazima iulize suala la dini
 
Kwa comment za humu kumbe kama nchi tuna safari ndefu kweri kweri.
 
Imani ndio sehemu kuu ya mwanadamu katika maisha yake na maendeleo yake, ni ujinga kuwaza mambo nje ya hapo kwamba serikali ndio ishughulike nayo,
Unalazimisha watu jinsi ya kuishi ? Wewe unachoamini kwa mwingine ni upuuzi kwahio unataka tuanze kushughulikia mambo ya individuals ambayo wanaweza wakayafanya wenyewe wakati mambo yanayotugusa wote yametushinda ?

Vipi kama watanzania wengi ni walevi tuanze kuwapa ruzuku ya kununua Pombe ?
JPM alikuwa makanisani muda wote, Mwinyi mzee wa kuzungusha mabati tu kwenye maeneo bila ya kujenga kule Zanzibar saa zote hutuba zake anahubiri misikitini kwanini kusiwe na uhitaji?? Sensa lazima iulize suala la dini
Hao kina JPM na Mwingi pia ni individuals sio kila wanalofanya ni Sheria / Lazima tulifuate ingawa kama wanafanya hayo wakiwa kazini kama Rais wanakosea ila kama wanafanya kwa muda wao binafsi kama individuals ni haki yao
 
Unalazimisha watu jinsi ya kuishi ? Wewe unachoamini kwa mwingine ni upuuzi kwahio unataka tuanze kushughulikia mambo ya individuals ambayo wanaweza wakayafanya wenyewe wakati mambo yanayotugusa wote yametushinda ?
Imeandikwa wapi kwenye katiba kwamba Imani za kidini Tanzania itakuwa ni Individual? hiyo ni theory yako ya kijinga wakati watanzania kwa mamilioni wanaonekana wakiwa ni waislam na wengine labda ni wakiristo,

ni uoga tu zipo nchi nyingi duniani zimejipambanua dini zao wala hakuna shida yoyote ni vile muna kasumba za nyerere kwenye damu yenu
 
Kwa sababu wakiristo hawashughuliki na dini yao mana hawana uhakika unataka na waislamu pia wawe hivyo? Nchi nyingi duniani zimeangalia mahitaji ya waislamu kwa sababu ndio watu wengi walionao katika nchi yao hakukuwa na namna,

Leo nyerere mchonga meno kawapangia maisha ya baadae na munamuabudu ata akikwambie 2+1 = 5 basi nyoote mtasema ndiooo
Mahitaji specific ya Waislamu na mimi nikiwemo ni yepi?
 
Imeandikwa wapi kwenye katiba kwamba Imani za kidini Tanzania itakuwa ni Individual? hiyo ni theory yako ya kijinga wakati watanzania kwa mamilioni wanaonekana wakiwa ni waislam na wengine labda ni wakiristo,

ni uoga tu zipo nchi nyingi duniani zimejipambanua dini zao wala hakuna shida yoyote ni vile muna kasumba za nyerere kwenye damu yenu
Serikali ya Tanzania ni Dini Gani ?

Hata watanzania asilimia 99 wakionekana kwamba ni waislamu then what ? Na ambao sio Waislamu au wasio na Dini nao wafanye waislamu wanachofanya au wawachangie waislamu ?

Wewe umekatazwa ku-practice imani yako ? Kwanini na mimi nihusike kwenye Imani yako ? Au unataka ukifunga nifunge, ukisikitika nisikitike na nivae na ku-act kama wewe ? Kama hapana kwanini unataka kopo la michango yetu wetu / kodi ziende kuhudumia matabaka directly wakati hata hazitoshi kuhudumia shida ambazo sio za matabaka tu bali ni za kila binadamu ?

Nyie kama mshasema mpo wengi mnashindwa nini kujichangia na kuchangiana ? (Ingawa kwa kudumisha undugu sababu sisi wote dugu moya..., nashauri msijichangie nyie tu hata wasio Imani yenu pia nao ni Watanzania)
 
Data zipo

RC 54.1%
Lutheran 18%
Pentecoste11.4%
Islam 8.6%
Moravian 3.2%
Adcentist 2.7%
Other 2.4%
Mmezitoa wapi hizi takwimu?
Ndugu police ni jambo jingine kabisa maana wale wanahitaji taarifa za utambulisho wa uhakika wa mtu ndio maana maswali yao huenda mbali zaidi lkn kwenye sensa hilo swali halina tija. Lakini jambo la kujiuliza ni kwa nini ulazimishe serikali ikuhesabie waumini wa dini yako si uwahesabu ww kiongozi wao?
Sasa kabila linasaidia nini kwenye huo utambulisho?
Kabila litawapa kitu gani kitakachowasaidia?
 
Nahitaji gani ya kidini? Unataka serikali ikujengee msikiti?
Serikali imejenga misikiti mingi tu mbona?
Mfano Magui alijenga misikiti Dodoma,na Dar, Sasa bila kujua idadi ya Waislamu waliopo eneo flani Serikali ikitaka kutoa misaada kwa Waislamu itajuaje idadi?
 
Kwahiyo waislam hamuwezi kufanya vitu vyenu mpaka serikali iwasaidie?
 
Na tukimaliza hapo kodi zetu zikajenge nyumba za matambiko ? au ni wapi tunapiga mstari ? Au wapagani hawalipi Kodi ? Na wale wasio na Imani yoyote huoni Kodi zao zitakuwa zinakwenda kwenye vitu ambavyo kwao ni vya kufikirika?

Issue sio kwamba wapo wangapi issue ni kwamba Serikali na hii pesa ndogo inayokusanywa haipo kwenye Biashara ya kuhudumia matabaka ya watu kutokana na Imani yao / Kabila lao (huduma ni kwa Watanzania wote) wanatoa huduma ambazo mimi wewe na yule tunaweza kuzitumia regardless Kabila letu au Imani yetu
Kwani hujisikia serikali imewatambua machifu na itaanza kuwasaidia kufufua maeneo yao ya kimila?
 
Back
Top Bottom