Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

Wanaona halina tija na sio wakristo tu hata waisilam walioelimika kama Samia wanaona halina tija ni swali linalokusudia kuibua mpasuko
Mpasuko gani, mbona polisi, na sehemu nyingine watu wanaulizwa makabila yao na kurekodiwa? Yanasaidia nini?
Mbona Samia anaendekeza mambo ya uchifu na ukabila?
Mbona Ikulu watu wakiapiswa Magufuli alikuwa akitaja makabila yao karibu wote?
Huku kwenye ukabila hakuna mpasuko ila dini ndio ya mpasuko?
 
Why not? Tunataka kujua Wakristu wangapi,wapagani wangapi n.k. Mimi sishiriki sensa kama Dini isipoulizwa.
In fact sensa iliyopita ulikuwepo ugomvi kuhusu sensa kuhusiana na mambo fulani la dini,wapo watu walikasirika sana. Sikumbuki ilikuwa tatizo gani,lakini ilikuwa jambo linahusu dini.
In a spirit of carelessness unataka kufanya jambo like ambalo lilileta ubishi sensa iliyopita.
Mi nakumbuka last time I was quite excited,nikasema,"Sikiliza,I will not talk to any atheist,anayesema Serikali haina dini. Sitashiriki sensa."
Na sikushiriki kweli,isipokuwa another member of my family spoke on my behalf.
Siyo mimi tu. Watu wengi hapa Dar walikasirika, especially Waunguja.
Kweli akili ni nywele.
 
Lakini ukija kwa wanaokataa sijuwi tuseme ni hofu au kitu gani sijuw au ndio izo fikira za nyerere labda wanaogopa waislamu kuonekana ni wengi kuliko wakiristo maana aslimia 99% wanaopinga suali hili la dini ni wakiristo, hawa watu wana hofu sana kujiona wako kidogo.
Hapa tayari umeshaweka udini/uislamu. Kama ni figure tu, nini kiliwafanya waislamu wataharuki na kupiga kelele kuwa "sisi tuko wengi"?

Wewe mwenyewe tayari ushaanza, "...kuonekana waislamu....."

Wale wanaolalamika kuhusu wakristo kupendelewa ni nani na ni kwasababu zipi? Wakishakuwa wengi, wanapaswa kuwa wengi kila sehemu, kama kuna sehemu wanapungua, kuna tatizo, sasa hizo sehemu wanazopendelewa wakristo, wao walikuwa wapi kwa wingi wao kutokuwepo?
 
Hawa CCM sijui Nyerere wanamuonaje na kumchukuliaje, Nyerere alikuwa ni binadamu na alikuwa na madhaifu sana, Nyerere hakuwa mkweli kuna siku alisema angemuwahi Rais wa 2010 akiwa hai.

Suali la dini ni suali zuri katika nchi kujua watu wako wala halina mtafaruku wowote ni figure tu kama nchi unajua Tanzania kwa mfano kuna waislamu kiasi gani na wakiristo kiasi gaini labda ambao hawana dini ni kiasi gani kujua mahitaji vile vile katika shughuli za maendeleo.

Hili suali nchi nyingi wanauliza, hata katika CV lakini mafomu mingi ya online lipo hili suali lina umuhimu katika mahitaji na sio kuwagawa watu.

Lakini ukija kwa wanaokataa sijui tuseme ni hofu au kitu gani sijuI au ndio hizo fikira za Nyerere labda wanaogopa waislamu kuonekana ni wengi kuliko wakiristo maana aslimia 99% wanaopinga suali hili la dini ni wakristo, hawa watu wana hofu sana kujiona wako kidogo.

Nadhani kuna watu hawatakubali kuhesabiwa kama hili suali halipo
I ACCEPT 100%
 
Nigeria inajulikana waisilamu na waco waisilamu ni wangapi,,,senegal piaa ivyo ivyo,, libya, ivyo ivyo,, Algeria ivyo ivyo,, sudan ivyo ivyo, botswana ivyoivyo, cameroon ivyovyo n.k. nyie akina nani mpinge? So wao ni wajinga waliohesabu?
Yes ni wajinga sana, sasa niambie leo hii nijue idadi ya wakristo inanisaidia nini kwenye mipango ya maendeleo?? kwamba hawa wakristo wapo wengi Iringa tuwajengee minada ya kitimoto au machinjio yao special? au hawa waislamu wapo wengi Kilwa basi tuanzishe kilimo cha mitende au kiwanda cha kutengeneza kanzu ??

au tukijua kuna waislamu wengi tutapata misaada toka arabuni, au vatican itashusha neema bongo baada ya kugundua kuna wagalatia wengi TZ?

udini hauna faida yoyote kwenye sensa, hata kwenye suala la ajira ni rahisi sana kubalance dini na kabila mbalimbali kwenye ajira sababu vipengele vipo ila sio sensa.
 
Kama sote tunakubaliana kuwa serikali haina dini, basi ni dhahiri kuwa hakuna haja yeyote ya serikali kujua idadi ya raia kwa dini zao.

Sasa suala la raia kupinga au kukubali hilo suala linasukumwa na mitazamo ya raia.

Kwa wanaojiona wako wengi, basi hawaoni shida yeyote, hivyo wanatamani kujua ni wengi kiasi gani.
Na kwa wanaojiona kidogo hawaoni haja ya kufanya hivyo, hivyo hawatamani kujua ni wachache kiasi gani.

And vise versa.

Kuhusu uhatari wa jambo hilo, inategemea.
 
Mpasuko gani, mbona polisi, na sehemu nyingine watu wanaulizwa makabila yao na kurekodiwa? Yanasaidia nini?
Mbona Samia anaendekeza mambo ya uchifu na ukabila?
Mbona Ikulu watu wakiapiswa Magufuli alikuwa akitaja makabila yao karibu wote?
Huku kwenye ukabila hakuna mpasuko ila dini ndio ya mpasuko?
Ndugu police ni jambo jingine kabisa maana wale wanahitaji taarifa za utambulisho wa uhakika wa mtu ndio maana maswali yao huenda mbali zaidi lkn kwenye sensa hilo swali halina tija. Lakini jambo la kujiuliza ni kwa nini ulazimishe serikali ikuhesabie waumini wa dini yako si uwahesabu ww kiongozi wao?
 
Hawa CCM sijui Nyerere wanamuonaje na kumchukuliaje, Nyerere alikuwa ni binadamu na alikuwa na madhaifu sana, Nyerere hakuwa mkweli kuna siku alisema angemuwahi Rais wa 2010 akiwa hai.

Suali la dini ni suali zuri katika nchi kujua watu wako wala halina mtafaruku wowote ni figure tu kama nchi unajua Tanzania kwa mfano kuna waislamu kiasi gani na wakiristo kiasi gaini labda ambao hawana dini ni kiasi gani kujua mahitaji vile vile katika shughuli za maendeleo.

Hili suali nchi nyingi wanauliza, hata katika CV lakini mafomu mingi ya online lipo hili suali lina umuhimu katika mahitaji na sio kuwagawa watu.

Lakini ukija kwa wanaokataa sijui tuseme ni hofu au kitu gani sijuI au ndio hizo fikira za Nyerere labda wanaogopa waislamu kuonekana ni wengi kuliko wakiristo maana aslimia 99% wanaopinga suali hili la dini ni wakristo, hawa watu wana hofu sana kujiona wako kidogo.

Nadhani kuna watu hawatakubali kuhesabiwa kama hili suali halipo
Itoshe kusema umeandika mashudu.
 
Ndugu police ni jambo jingine kabisa maana wale wanahitaji taarifa za utambulisho wa uhakika wa mtu ndio maana maswali yao huenda mbali zaidi lkn kwenye sensa hilo swali halina tija. Lakini jambo la kujiuliza ni kwa nini ulazimishe serikali ikuhesabie waumini wa dini yako si uwahesabu ww kiongozi wao?
Haya mambo ya kuuliza dini na ukabila yafutiliwe mbali kwenye kila nukta ya maisha yetu. Kwa upande wa Polisi kuuliza kabila ni suala tulilirithi enzi ya ukoloni, nchi hii toka imepata 'uhuru bendera' haijawahi kufanya reforms ya Polisi. Nyerere alilirithi kama alivyolikuta kwa mkoloni.
Wenzetu wametoka kwenye police force na kuwa police service. Bado kuna upunguani mkubwa Polisi na idara nyingi sana nchi hii.
 
Hapa tayari umeshaweka udini/uislamu. Kama ni figure tu, nini kiliwafanya waislamu wataharuki na kupiga kelele kuwa "sisi tuko wengi"?
Hili jibu litakuja tukishajua idadi ya waislamu na Nchi itajua mahitaji ya waislamu, kwa mfano waislamu wapewe fursa ya kuanzisha mahkama zao (za kikadhi) kwa ajili ya kutatua changamoto zao na kupata haki zao kwa mujibu wa dini yao ili kuipunguzia Nchi kutatua migogoro ya waislamu ambayo Mahkama za sasa hazina nguvu kisheria na haziko specified.
Wewe mwenyewe tayari ushaanza, "...kuonekana waislamu....."
sijisikii aibu wala fedheha kuanza kuonekana muislamu., unajua shida ni kwamba Wakiristo wao imani yao sijuwi ni kwanini hawajiamini, linapokuja suala lenye maslahi za kidini wao dini yao wanataka wawe kimya ambapo ni tofauti na imani nyengine.
 
Una matatizo wewe wakristu Wa wapi walikataa swali la dini? Kwanza Sisi wakatoliki huwa tuna Sensa yetu hatungoji serikali Ije kutuhesabu na nyie si mkahesabiane misikitini ovyo kabisa.
Msikinitini vipi, tunasema Kitaifa ijulikane waislamu na wenye dini nyengine mahitaji yao ndio maendeleo hayo
 
Msikinitini vipi, tunasema Kitaifa ijulikane waislamu na wenye dini nyengine mahitaji yao ndio maendeleo hayo
Mahitaji yako ya kiimani yanategemea Serekeli na wengine ?, Kwanini msiji-organize mkatenda according to Imani zenu..., Serikali na Kodi za ujumla zitoe huduma za kijumla (elimu, afya, chakula, kuondoa umasikini) hayo hayana dini yanamtwanga kila Mtanzania
 
Mheshimiwa anaonesha kuchoka sana usoni.

Hebu mlazimisheni kutulia kidogo.

Dini waweke tu, kama itaondolewa na kabila ondoeni
 
Back
Top Bottom