Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hapo umedanganya, hakuna mkristo anahangaika na mambo ya imani....... utakuwa huzijui vizuri hizi dini.Hawa CCM sijuwi nyerere wanamuonaje na kumchukuliaje, nyerere alikuwa ni binadamu na alikuwa na madhaifu sana, nyerere hakuwa mkweli kuna siku alisema angemuwahi rais wa 2010 akiwa hai.
Suali la dini ni suali zuri katika nchi kujua watu wako wala halina mtafaruku wowote ni figure tu kama nchi unajuwa Tanzania kwa mfano kuna waislamu kiasi gani na wakiristo kiasi gaini labda ambao hawana dini ni kiasi gani kujuwa mahitaji vile vile katika shughuli za maendeleo.
Hili suali nchi nyingi wanauliza, hata katika CV lakini mafomu mingi ya online lipo hili suali lina umuhimu katika mahitaji na sio kuwagawa watu.
Lakini ukija kwa wanaokataa sijuwi tuseme ni hofu au kitu gani sijuw au ndio izo fikira za nyerere labda wanaogopa waislamu kuonekana ni wengi kuliko wakiristo maana aslimia 99% wanaopinga suali hili la dini ni wakiristo, hawa watu wana hofu sana kujiona wako kidogo.
Nadhan kuna watu hawatakubali kuhesabiwa kama hili suali halipo