Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

Rais Samia: Sensa haitauliza kuhusu Dini ya mtu

Eti hilo suala lilikataliwa tangu enzi za Nyerere 😃😃😃😃
 
Kutokuwa na imani nayo ndio dini hiyo,
Yaani tutapeana kazi kwa uwiano ulio sawa
Bila kundi dogo kuwazidi wengi
Kazi gani kutangaza dini? Hivi hata hizo kazi zipo ngapi tunazogombania, watu wengi wapo kitaa hawana kazi badala ya kujadili kama Taifa tutafanya nini kila mtu apate cha kufanya ili apate ujira unangangania kugawana vichache vilivyopo na sio kwa kipimo cha skills Bali imani kweli tuna safari ndefu
 
Fanya sensa binafsi katika dini yako bila kuhusisha serikali ili ujue mko wangapi katika dhehebu au dini yako. Kwa nini unataka serikali ifanye jukumu lake?

Sasa ndiyo utufokee mzehe 🤣 Kumbe mnajuwa waisilamu ni wengi ndiyomaana
 
Kazi gani kutangaza dini? Hivi hata hizo kazi zipo ngapi tunazogombania, watu wengi wapo kitaa hawana kazi badala ya kujadili kama Taifa tutafanya nini kila mtu apate cha kufanya ili apate ujira unangangania kugawana vichache vilivyopo na sio kwa kipimo cha skills Bali imani kweli tuna safari ndefu
Na safari hatukubali,
Mpaka tujuane ili fitna iishe,
Kama vipi pi tugawane tu kila mtu abaki kwao
 
Rais Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa wananchi kujitokeza katika zoezi la sensa huku akisema suala jipya lililoongezwa ni swali kuhusu anuani za makazi.

Amesema hakutakuwa na swali la kuhusu dini ya mtu kwa kuwa suala hilo lilishakataliwa tangu enzi za Rais Julius Nyerere, hivyo hakutakuwa na swali la namna hiyo.

Rais ameyasema hayo akiongea na wanawake Zanzibar.
Why not? Tunataka kujua Wakristu wangapi,wapagani wangapi n.k. Mimi sishiriki sensa kama Dini isipoulizwa.
In fact sensa iliyopita ulikuwepo ugomvi kuhusu sensa kuhusiana na mambo fulani la dini,wapo watu walikasirika sana. Sikumbuki ilikuwa tatizo gani,lakini ilikuwa jambo linahusu dini.
In a spirit of carelessness unataka kufanya jambo like ambalo lilileta ubishi sensa iliyopita.
Mi nakumbuka last time I was quite excited,nikasema,"Sikiliza,I will not talk to any atheist,anayesema Serikali haina dini. Sitashiriki sensa."
Na sikushiriki kweli,isipokuwa another member of my family spoke on my behalf.
Siyo mimi tu. Watu wengi hapa Dar walikasirika, especially Waunguja.
 
Kwanini ameenda kuongea na wanawake wa Zanzibar, kwani bara anapoongoza hakuna wanawake?

Naona hii tabia ya marais kupendelea kwao inaanza kuota mizizi ya kijinga.
Bara alimuachia mwamba au nasema uongo ndugu zangu? Mazungumzo ya ikulu kujenga taifa moja sasa mwendo mdundo, hata Iringa ilikuwa shwari bila virungu wala mabomu.
 
Rais Samia Suluhu Hassana ametoa wito kwa wananchi kujitokeza katika zoezi la sensa huku akisema suala jipya lililoongezwa ni swali kuhusu anuani za makazi.

Amesema hakutakuwa na swali la kuhusu dini ya mtu kwa kuwa suala hilo lilishakataliwa tangu enzi za Rais Julius Nyerere, hivyo hakutakuwa na swali la namna hiyo.

Rais ameyasema hayo akiongea na wanawake Zanzibar.
Lakini mbona wafanyakazi wa serikali wanaulizwa hilo swali kwenye fomu za kujaza? Jee kuna kunani huko ofisini kwenu makafiri wengi sana?
 
Back
Top Bottom