Sasa Chato si tayari hizo Huduma ziko karibu!Mkoa ni kupeleka huduma muhimu kwa watu kwakaribu zaidi,patapelekwa hospitali yenye hadhi ya mkoa na huduma zingine
Duu..Bonge la "reverse"😂Mkoa wa Dar es salaam ulianzishwa kutoka Mkoa wa Pwani mwaka 1973 ukiwa na Wilaya 3 za Ilala, Kinondoni na Temeke📌🐜Mimi natamani sana Dar es Salaam na Pwani ziunganishwe kuwa mkoa mmoja.
Yaani kijiji kiwe mkoa kweli? Matusi hayoHii haihusu mkoa wa Chato maana wenyewe tayari upo planned tangu jiwe akiwa hai
Kwani ukijenga hospital yenye hadhi ya mkoa kwenye eneo ambalo wanataka uwe mkoa shida iko wapi? Si lengo litakuwa pale pale tu kutoa huduma za kijamii au kwenye hospital ya mkoa lazima aishi mkuu wa mkoa humo?Mkoa ni kupeleka huduma muhimu kwa watu kwakaribu zaidi,patapelekwa hospitali yenye hadhi ya mkoa na huduma zingine
kile ni kitongoji aseee sio kijiji [emoji23]Yaani kijiji kiwe mkoa kweli? Matusi hayo
Hiyo tayari iko kwenye mchakato. Anamaanisha kuanzisha mchakato mpya!Sawa. Kwa hiyo hata Chato inabidi wasubiri kwanza tujenge uchumi kwanza.
Mkuu Botswana ina wananchi chini ya millioni tatu huwezi linganisha na TZ yenye wananchi millioni 60 na ukubwa wa eneo la nchi.Hii mkuu ni politics sio kweli,services delivery kwa wananchi haitegemei kabisa utitiri wa mikoa au wilaya!angalia jirani zetu ambao hatuna tofauti kubwa ya ukubwa wa eneo lakini wamefanikiwa mno kupeleka maendeleo kwa wananchi wao,Zambia na Botswana wana mikoa michache kuliko sisi na maendeleo ni makubwa zaidi,S.A. wana mikoa 9 tu na huku eneo lao ni kubwa mno!uadilifu na ufanyaji kazi kwa uaminifu ndio tunahitaji mno (kwangu mikoa isizidi 20 na wizara 15 na wilaya 70 inatosha kabisa kusukuma maendeleo)
Mkuu sisi kuwa na utitiri huu wa watu its our choice and we must blame ourselves;yes Botswana ina watu wachache ambao serikali yao inawamudu!huwezi kuzaa watoto 10 kwa hiari yako na ukaanza kulalamikia majirani zako,tunaishi in a pithole country na hatutaki ku take responsibility kwa makosa yetuMkuu Botswana ina wananchi chini ya millioni tatu huwezi linganisha na TZ yenye wananchi millioni 60 na ukubwa wa eneo la nchi.
Mkuu Botswana nusu yq nchi ni jangwa ila wana madini ya almasi mengi sana na wanayalinda sana. Nimeshakaa huko. Ni nchi ndogo sana huwezi linganisha na TZ sisi tunamaeneo makubwa sana na resources za kutosha ila bado hatulindi resources zetu vizuri. Wale watu wanautaifa wa hali ya juu.Mkuu sisi kuwa na utitiri huu wa watu its our choice and we must blame ourselves;yes Botswana ina watu wachache ambao serikali yao inawamudu!huwezi kuzaa watoto 10 kwa hiari yako na ukaanza kulalamikia majirani zako,tunaishi in a pithole country na hatutaki ku take responsibility kwa makosa yetu
Mkoa ni kupeleka huduma muhimu kwa watu kwakaribu zaidi,patapelekwa hospitali yenye hadhi ya mkoa na huduma zingine
Ipo ya kuwalipa covid 19/Mdee na genge lake.Bajeji haipoo
Chato kuwa mkoa itabaki plan, mkuu wa mkoa atabaki kwenye plan ya uteuzi wa mkoa ulio kwenye plan, na mengine yote yatabaki kwenye plan kaa ukijua kuwa Chato itabaki kuwa wilaya ndani ya mkoa wa Geita. Tufwule Nyapala....Hii haihusu mkoa wa Chato maana wenyewe tayari upo planned tangu jiwe akiwa hai
Chato iwe mkoa ili iweje?Hii haihusu mkoa wa Chato maana wenyewe tayari upo planned tangu jiwe akiwa hai
naunga mkono hoja.Chato kuwa mkoa itabaki plan, mkuu wa mkoa atabaki kwenye plan ya uteuzi wa mkoa ulio kwenye plan, na mengine yote yatabaki kwenye plan kaa ukijua kuwa Chato itabaki kuwa wilaya ndani ya mkoa wa Geita. Tufwule Nyapala....
Ukoloni tu,futa habari ya mikoa,Hii mkuu ni politics sio kweli,services delivery kwa wananchi haitegemei kabisa utitiri wa mikoa au wilaya!angalia jirani zetu ambao hatuna tofauti kubwa ya ukubwa wa eneo lakini wamefanikiwa mno kupeleka maendeleo kwa wananchi wao,Zambia na Botswana wana mikoa michache kuliko sisi na maendeleo ni makubwa zaidi,S.A. wana mikoa 9 tu na huku eneo lao ni kubwa mno!uadilifu na ufanyaji kazi kwa uaminifu ndio tunahitaji mno (kwangu mikoa isizidi 20 na wizara 15 na wilaya 70 inatosha kabisa kusukuma maendeleo)
Nchi sio ndogo ni kubwa ila wamemudu kuthibiti ongezeko la watu na natural resources zao wamezitumia vema,hongera kwa kuishi nchi hiyo ila nami now nipo hapa francistown,then nitaelekea Nata hadi Kasane,ninaielewa nchi hii sijahadithiwa,discipline ni muhimu kujenga nchiMkuu Botswana nusu yq nchi ni jangwa ila wana madini ya almasi mengi sana na wanayalinda sana. Nimeshakaa huko. Ni nchi ndogo sana huwezi linganisha na TZ sisi tunamaeneo makubwa sana na resources za kutosha ila bado hatulindi resources zetu vizuri. Wale watu wanautaifa wa hali ya juu.
Mkoa ni kupeleka huduma muhimu kwa watu kwakaribu zaidi,patapelekwa hospitali yenye hadhi ya mkoa na huduma zingine
Mbagala mbagala mbagalaaa [emoji2248][emoji911][emoji442][emoji441][emoji982][emoji981][emoji445][emoji444][emoji443][emoji344][emoji344][emoji350][emoji446]Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa.
Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali ya uchumi wa nchi hairuhusu kuwa na Mikoa na Wilaya mpya ila uchumi ukiimarika jimbo hilo litakuwa wilaya hivyo wawe wavumilivu.
My take
» Asante Mama kwa msimamo huu. Maana kuna hadi vijiji vilianza vikao ili vipewe hadhi ya Mkoa na Wilaya
Jiwe gizaniHii haihusu mkoa wa Chato maana wenyewe tayari upo planned tangu jiwe akiwa hai