Rais Samia: Serikali haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kwa sasa

Mkoa ni kupeleka huduma muhimu kwa watu kwakaribu zaidi,patapelekwa hospitali yenye hadhi ya mkoa na huduma zingine
Sasa Chato si tayari hizo Huduma ziko karibu!
Kuna Uwanja wa Ndege wa Kimataifa, Hospitali kubwa kabisa, Jengo Kubwa kabisa la TANESCO, Stand kubwa, Uwanja wa Mpira, VETA na mashule mpaka M7 kafungua Shule juzi. Au huduma gani hizo?
 
Mimi natamani sana Dar es Salaam na Pwani ziunganishwe kuwa mkoa mmoja.
Duu..Bonge la "reverse"😂Mkoa wa Dar es salaam ulianzishwa kutoka Mkoa wa Pwani mwaka 1973 ukiwa na Wilaya 3 za Ilala, Kinondoni na Temeke📌🐜
 
Mkoa ni kupeleka huduma muhimu kwa watu kwakaribu zaidi,patapelekwa hospitali yenye hadhi ya mkoa na huduma zingine
Kwani ukijenga hospital yenye hadhi ya mkoa kwenye eneo ambalo wanataka uwe mkoa shida iko wapi? Si lengo litakuwa pale pale tu kutoa huduma za kijamii au kwenye hospital ya mkoa lazima aishi mkuu wa mkoa humo?
 
Hii mkuu ni politics sio kweli,services delivery kwa wananchi haitegemei kabisa utitiri wa mikoa au wilaya!angalia jirani zetu ambao hatuna tofauti kubwa ya ukubwa wa eneo lakini wamefanikiwa mno kupeleka maendeleo kwa wananchi wao,Zambia na Botswana wana mikoa michache kuliko sisi na maendeleo ni makubwa zaidi,S.A. wana mikoa 9 tu na huku eneo lao ni kubwa mno!uadilifu na ufanyaji kazi kwa uaminifu ndio tunahitaji mno (kwangu mikoa isizidi 20 na wizara 15 na wilaya 70 inatosha kabisa kusukuma maendeleo)
Mkuu Botswana ina wananchi chini ya millioni tatu huwezi linganisha na TZ yenye wananchi millioni 60 na ukubwa wa eneo la nchi.
 
Mkuu sisi kuwa na utitiri huu wa watu its our choice and we must blame ourselves;yes Botswana ina watu wachache ambao serikali yao inawamudu!huwezi kuzaa watoto 10 kwa hiari yako na ukaanza kulalamikia majirani zako,tunaishi in a pithole country na hatutaki ku take responsibility kwa makosa yetu
 
Mkuu Botswana nusu yq nchi ni jangwa ila wana madini ya almasi mengi sana na wanayalinda sana. Nimeshakaa huko. Ni nchi ndogo sana huwezi linganisha na TZ sisi tunamaeneo makubwa sana na resources za kutosha ila bado hatulindi resources zetu vizuri. Wale watu wanautaifa wa hali ya juu.
 
Kwa hiyo tunahitaji mikoa mingi zaidi ili watu wengi zaidi waweze kuwa karibu zaidi na huduma muhimu? Kwa nini sasa tusifanye kila wilaya iwe mkoa?!
Mkoa ni kupeleka huduma muhimu kwa watu kwakaribu zaidi,patapelekwa hospitali yenye hadhi ya mkoa na huduma zingine
 
Hii haihusu mkoa wa Chato maana wenyewe tayari upo planned tangu jiwe akiwa hai
Chato kuwa mkoa itabaki plan, mkuu wa mkoa atabaki kwenye plan ya uteuzi wa mkoa ulio kwenye plan, na mengine yote yatabaki kwenye plan kaa ukijua kuwa Chato itabaki kuwa wilaya ndani ya mkoa wa Geita. Tufwule Nyapala....
 
naunga mkono hoja.
 
Hii mkuu ni politics sio kweli,services delivery kwa wananchi haitegemei kabisa utitiri wa mikoa au wilaya!angalia jirani zetu ambao hatuna tofauti kubwa ya ukubwa wa eneo lakini wamefanikiwa mno kupeleka maendeleo kwa wananchi wao,Zambia na Botswana wana mikoa michache kuliko sisi na maendeleo ni makubwa zaidi,S.A. wana mikoa 9 tu na huku eneo lao ni kubwa mno!uadilifu na ufanyaji kazi kwa uaminifu ndio tunahitaji mno (kwangu mikoa isizidi 20 na wizara 15 na wilaya 70 inatosha kabisa kusukuma maendeleo)
Ukoloni tu,futa habari ya mikoa,
Tubaki na Halmashauri zienee sana.
Ofisi zote za mikoa awepo RED Region Executive Director wa halmashauri husika.
 
Mkuu Botswana nusu yq nchi ni jangwa ila wana madini ya almasi mengi sana na wanayalinda sana. Nimeshakaa huko. Ni nchi ndogo sana huwezi linganisha na TZ sisi tunamaeneo makubwa sana na resources za kutosha ila bado hatulindi resources zetu vizuri. Wale watu wanautaifa wa hali ya juu.
Nchi sio ndogo ni kubwa ila wamemudu kuthibiti ongezeko la watu na natural resources zao wamezitumia vema,hongera kwa kuishi nchi hiyo ila nami now nipo hapa francistown,then nitaelekea Nata hadi Kasane,ninaielewa nchi hii sijahadithiwa,discipline ni muhimu kujenga nchi
 
Mkoa ni kupeleka huduma muhimu kwa watu kwakaribu zaidi,patapelekwa hospitali yenye hadhi ya mkoa na huduma zingine

sikubaliani na wewe kabisa, mkoa ni kuzidisha gharama kwa serekali na si chengine.
 
Rais wa JMT Mama Samia amesema kwa sasa Serikali yake haifikirii kuanzisha Mikoa na Wilaya mpya kutokana na hali ya kiuchumi ya Taifa letu kwa sasa.

Akijibu ombi lililotolewa na Mbunge wa jimbo la Mbagala mkoani Dar es salaam aliyetaka jimbo hilo lipewe hadhi ya Wilaya, Rais Samia amesema hali ya uchumi wa nchi hairuhusu kuwa na Mikoa na Wilaya mpya ila uchumi ukiimarika jimbo hilo litakuwa wilaya hivyo wawe wavumilivu.

My take
» Asante Mama kwa msimamo huu. Maana kuna hadi vijiji vilianza vikao ili vipewe hadhi ya Mkoa na Wilaya
Mbagala mbagala mbagalaaa [emoji2248][emoji911][emoji442][emoji441][emoji982][emoji981][emoji445][emoji444][emoji443][emoji344][emoji344][emoji350][emoji446]

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom