Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakumbuka hela zilizotumika kuwanunua madiwani kule arumeru ili wahamie CCM? Sijaingia kwa wabunge.matumizi ya hovyo nchii hii ni mengi mpaka yanakera.hivi sasa kuna wabunge 19 ambao siyo wabunge lakini ccm imewakumbatia kama ruba kwa maslahi yao wanakula 230 milioni kila mwezi hiyo ni hela ya mlipa kodi .lakini yote hayo hamuyaoni mnakuja kutolea povu kagari ka zawadi hebu wacheni hizo bana.Nchi yetu ni maskini sana bila kupindisha maneno.
Watu hawana maji.
Clinics hazina vifaa vya kutosha.
Baadhi ya mashule hali ni yakutisha.
Baadhi bara bara hazipitiki!
Miundo mbinu hapa Dar sio mizuru.
List ni ndefu halafu unasema nina mawazo ya kimaskini!
Kwa nini wengine waishi maisha ya kifahari kwa kodi zetu wakati wengine maji kwetu ni shida!
Mataga wewe 🤣Jana tu mahali hapo hapo aliwaambia wazee kuwa hawezi kuwalipa pension kila mwezi hali ya uchumi siyo nzuri.
Leo anampa mtu mwenye kila kitu gari la bei mbaya.
Sawa tu lakini ila hili halipo sawa
Hii gharama ya 450m mmeitoa wapi? Mbona hakuna media ilioandika hii figa?Mil 450 si ni vituo vya afya vingapi? Atalitumia kwa miaka mingapi? maana tayar anakaribia kugonga karne
Team mwendazake ndio waongo wanaopotosha mamboGari aliopewe Mstaafu mwinyi Mercedes Benz haizidi hata milioni 100, ila nimeamini watu wanapenda kukuza mambo... na amepewa kwasababu mheshimiwa Rais ameona Mstaafu mwinyi anashindwa kuhudhuria hafla nyingi kutokana gari anayotumia kwasasa ni V8 inampa tabu kupanda kutokana na uzee.. Hivyo ameona si haba akamalizia maisha kwenye Benz saloon...
Sawa.ila hapo unaposema hawajengewi majumba ya kifahari umenipa utata kidogo.nikwamba wanajengewa lakini siyo ya kifahari au hawajengewi kabisa?..actually nimekosea.
..utanisamehe kwa usumbufu.
..US maraisi wastaafu wanalipwa mshahara sawa na mawaziri, wanapewa ulinzi wa serikali, wanatibiwa ktk hospitali za jeshi, na wanapewa watumishi wa ofisi zao wanaolipwa na serikali.
..Maraisi wastaafu wa US hawajengewi majumba ya kifahari miaka 20+ tangu watoke madarakani.
Sawa.ila hapo unaposema hawajengewi majumba ya kifahari umenipa utata kidogo.nikwamba wanajengewa lakini siyo ya kifahari au hawajengewi kabisa?
Halafu ukija kwa upande wetu kwahuku bongo nyumba wanazojengewa marais wastaafu ni "standard " kulingana na hadhi zao hatuwezi kuita ni za kifahari . Huwezi ukamjengea rais mstaafu nyumba ya vyumba viwili au ya kuezeka na nyasi au udongo kama za kule kongwa eti kwa sababu nchi ni masikini ni bora usimjengee kabisa.
Kabisa mkuu!Nimehitimisha kuwa hata nyumbu wana akili kushinda hawa jamaa zetu aisee!
Tena anyamaze kabisa ili mama awakomeshe matagaMataga wewe [emoji1787]
Unakumbuka hela zilizotumika kuwanunua madiwani kule arumeru ili wahamie CCM? Sijaingia kwa wabunge.matumizi ya hovyo nchii hii ni mengi mpaka yanakera.hivi sasa kuna wabunge 19 ambao siyo wabunge lakini ccm imewakumbatia kama ruba kwa maslahi yao wanakula 230 milioni kila mwezi hiyo ni hela ya mlipa kodi .lakini yote hayo hamuyaoni mnakuja kutolea povu kagari ka zawadi hebu wacheni hizo bana.
hakuna siku usawa utaweza kuwepo Duniani sio Tanzania tu bali Dunia nzimaNchi yetu ni maskini sana bila kupindisha maneno.
Watu hawana maji.
Clinics hazina vifaa vya kutosha.
Baadhi ya mashule hali ni yakutisha.
Baadhi bara bara hazipitiki!
Miundo mbinu hapa Dar sio mizuru.
List ni ndefu halafu unasema nina mawazo ya kimaskini!
Kwa nini wengine waishi maisha ya kifahari kwa kodi zetu wakati wengine maji kwetu ni shida!
[emoji1787][emoji1787] aisee hii nchi tumepitia vituko vya kila aina..ni vijana wa MATAGA / UVCCM hao.
..nakumbuka walikuwa wanamtukana Tundu Lissu kwasababu walimuona anakula MISHKAKI.
..wenyewe wanadai alikuwa mgonjwa kwa hiyo haki yake ni kunywa uji na kula machungwa.
Basi ngoja mama aendelee kuwakomesha hawa mataga!..ni vijana wa MATAGA / UVCCM hao.
..nakumbuka walikuwa wanamtukana Tundu Lissu kwasababu walimuona anakula MISHKAKI.
..wenyewe wanadai alikuwa mgonjwa kwa hiyo haki yake ni kunywa uji na kula machungwa.
Kama mama katoa mfukoni kwake ni sawa lakini kama ni imetoka kwenye kodi zetu ni very unfair kwa sisi ndugu zetu wanaoteseka mahospitali kutoka na uhaba wa vifaa!!hakuna siku usawa utaweza kuwepo Duniani sio Tanzania tu bali Dunia nzima