Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Mama katoa fedha zake mfukoni kununua hilo gari. Sio Kodi za wananchi. Rais Naye anamshahara na yupo huru kuutumia vile atakavyo
 
Kwahiyo unalinganisha Tausi na 450m?na akili yako ikaishia hapo?bado tunasafati ndefu Sana hapa Tz,sijui nani katuloga,
Mwanae ni Rais wa Zanzibar na kabla alikuwa waziri kwa miaka kibao huku Bara, kwamba hakuona baba anashindwa kupanda V8? Lakini mzee analipwa robo tatu ya mshahara wake kila mwezi Kama akiona shida kupakia V8 kwanini asinunue Gari?
 
Hii ni sawa kabisa maana huyu mzee aliongoza kwa haki sana sio kama yule sadist wa Chato
 
Halafu ww popompo kojoa ukalale hujui hata unacho kiongea ww,ukisema hekalu kapewa umesahau kuwa Ile nyumba ni kwa mujibu wa Sheri? Kila Raid mstaafu anatakiwa ajengewe nyumba ya thamani Ile Sasa kapewa juzi tu, lakini suala la Gari halipo kisheria,
 
Mzee ana jumba la maana pale mikocheni na kapewa jingine tena na hayati.

Jana kapewa ndinga ya milioni 450.

Tunamuona leo na kushangaa hiyo bei ya benz.

Amani ya nchi hii mtunzaji wa kwanza kabisa ni rais. Ile hali ya watu wa makabila 120 kuongea kiswahili na wakaishi kindugu, mtunzaji wa kwanza ni rais.

Wanafanya kazi kubwa sana tatizo ni kuwa mema yao huwa hayapewi sifa ya kuitwa “habari”.
 
Mama yuko sawa kabisa.Wazee hawa wametumikia taifa hili kwa nguvu zote hadi limefika hapa.
 
Jamani basi wale hizo cake za Taifa, hakuna wa kuwazuia, aaaaaah
Watoto tu wa nyerere ndomana mpaka leo wanakula good time,ndomana hata kufanya kazi hawataki...mpunga wanaingiziwa,matatizo yao wanatatuliwa

Ova
 
Mama yuko sawa kabisa.Wazee hawa wametumikia taifa hili kwa nguvu zote hadi limefika hapa.
Walikuwa wakilitumikia bure ama walikuwa wana lipwa na bado wana lipwa?waalimu ama watumishi wangapi wamelitumikia Taifa tena kwa Mateso na Sasa hivi hakuna anaye wakumbuka
 
Wangempa toyota ist isiyokula mafuta pia[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…