Rais Samia: Serikali imempatia Mzee Mwinyi zawadi ya gari aina ya Benz ya chini

Si rais tu, viongozi wote waandamizi wanapeana maghorofa wakistaafu sasa hivi. Huu ni utaratibu waliojiwekea lakini sisi wapiga kura hatuambiwi.
Hayo maghorofa sijui wanayatumiaje sababu tayari wanayo ya kwao mengi tu na bado hata watoto wao nao wanayo, mwishowe yatakuja kuwa mzigo tu kwetu sisi walipa kodi,kweli binadamu hatosheki.
 
Nyinyi watu hamuwezi kuridhika hata mletewe malaika awaongoze si juzi tu apa mlikuwa mana imba mapambio na mihemko kibao? Sasa mnalia lia nini tena
 
Ulitaka anunuliwe ile maiti yenu iliyojiozea kule mbwa nyinyi
 
Mama ameshaanza kuchota fedha hazina wacha wee, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani alikuwa halipwi??
 
..Mataga / Uvccm hao.

..Ndivyo walivyolelewa.
Inasikitisha sana. Kila kitu tunalaumu tu. Hii kwangu ni issue ndogo sana kwetu. Maana hata leo magari yake yote ni ya usalama. hatembelei gari binafsi. Na analindwa na sheria kwa hilo.
Hivi tuna generation ya watu wa aina gani ambao kila kitu wanalalamika?
 
100 umeenda mbali ile gari haifiki milioni 50
 
Milioni 450 tsh ni sawa na madawati na meza za kutosha kwa wanafunzi wanao kaa chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…