Pre GE2025 Rais Samia: Serikali itanunua Umeme nje maalum kwa Mikoa ya Kaskazini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sio tuu Nje Bali ni Ethiopia,Sasa sijajua kama Ndio masharti ya wakopeshaji hela au vipi
 
Bora kubaki kimya tu kuokoa afya ya akili zetu... this is worse! Kuna kauli za kishujaa zilipita kuhusu uhakika wa umeme ila siasa ni hatari sana...
 
Nimecheka kama mazuri vile.... Njia ya muongo fupi Sana, kutoka kwenye kuuza umeme Hadi kununua umeme?
 
Mbona walituambia wana imeme Mbn walituambia wana umeme mwingi wa ziada mpk wa kuuza nje? Kwamba umeme huo huwezi kupelekwa mikoa ya kaskazini
 
Hivi mfano sisi wa Tanzania tukamuomba Elon Musk awe raisi wa taifa letu kwa mkabata maalumu wa miaka 10 wenye kufungu cha kumtoa kama atakiuka,hivi inashindikana?

Atupeleke mchaka mchaka wa miaka 10 akituachia tuwe hatua tatu nyuma ya china.
Yule atajinufaisha yeye mwenyewe ni bonge la opportunist na kumtoa hamuwezi maana akishakuwa rais hata wanaopaswa kumtoa watakuwa mfukoni mwake
 
Jamani, umeme wa Rufiji peke yake ni zaidi ya mahitaji ya nchi nzima.., 2100MW, sasa huo umeme wa Rufiji unaozalishwa unapelekwa wapi? Kwaniji usipelekwe huko kaskazini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…