Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Ndiyo uigawe kama kitu kilichokuchosha ?!.Nadhani hujanielewa ndugu, sijasema mkataba ni mzuri lakini kwa kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari mwendazake na ukali wake wote bado watu walimchezea sana alirudi rudi bandarini zaidi ya mara nne na waziri mkuu lakini wapi , ufanisi umeongezeka lakini bado sasa unadhani tufanyaje ?
Lazima atakushawishi usilimishwe.Hahahaha Mpwa Wacha niamke nikatafute Chai ya rangi na kiazi cha kuchoma na karanga, nijaze tumbo nikae chini ya mti hapo nisome hadithi za FaizaFoxy
Hahahaha nilishamsilimisha yule, tunagonga mdudu SEMA tunamuita mutton chops au biryaniLazima atakushawishi usilimishwe.
Umeme wa kuitembeza SGR uko api mkuu!!?Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .
Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji.
Huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende)
Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka
TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?
Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Waraka huu auone kwenye jalada babu@AspirinHahahaha nilishamsilimisha yule, tunagonga mdudu SEMA tunamuita mutton chops au biryani
Hapana nilikuta eti jtatu watu wote wanakubaliana waigie saa tatu eti tulilewa week end? au unakuta mtu hajamaliza task yake ya siku hiyo anasema atafanya kesho, mimi hilo kwangu lilikuwa halipo kazi ya siku ya siku bora utoke saa nne usiku au uache kazi kwa sababu huwezi kazi sio kubembelezanaSiyo kweli kuhusu nini hapo?Na kwa nini ujivunie "kuwanyoosha" watu?Ina maana uliwatesa na kuwanyima raha ya kuishi.Uliwalimisha kwa meno?ππππππ
Kipande Cha kuingia pale bandarini ndio kinakwamisha pale kulikuwa na kazi kubwa sana na ndio hiyo Iko mwishoni.Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .
Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji.
Huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende)
Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka
TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?
Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Sawa.Ishi nao kwa busara isi-backfire!Hapana nilikuta eti jtatu watu wote wanakubaliana waigie saa tatu eti tulilewa week end? au unakuta mtu hajamaliza task yake ya siku hiyo anasema atafanya kesho, mimi hilo kwangu lilikuwa halipo kazi ya siku ya siku bora utoke saa nne usiku au uache kazi kwa sababu huwezi kazi sio kubembelezana
Mtu ambae hana uwezo kuongoza akipewa uongozi hiki ndicho hutokeaUnamfundisha Rais awe anajichukiza kama mwehu? Don't force a button,ndugu!Hatufokeani kama vitoto vijinga.
Changamoto ni kwamba mmejiwekea matarajio anayopaswa kufanya mtu mwingine.Vumilieni.Mtu ambae hana uwezo kuongoza akipewa uongozi hiki ndicho hutokea
Joka lq kibisa lipo kwajili ya kuogopesha watu tu lakini ukweli nikwamba halina madharaMheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .
Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji.
Huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende)
Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka
TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?
Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA.
MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kiongozi asiye maono analitumbukiza taifa shimoni. Ame fail kila kitu.Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .