Rais Samia SGR inakuchonganisha na wananchi

Nadhani hujanielewa ndugu, sijasema mkataba ni mzuri lakini kwa kweli sisi hatuwezi kuendesha bandari mwendazake na ukali wake wote bado watu walimchezea sana alirudi rudi bandarini zaidi ya mara nne na waziri mkuu lakini wapi , ufanisi umeongezeka lakini bado sasa unadhani tufanyaje ?
Ndiyo uigawe kama kitu kilichokuchosha ?!.

Udini ni utumwa wa kila kitu
 
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .

Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji.

Huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende)

Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka

TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?

Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Umeme wa kuitembeza SGR uko api mkuu!!?
 
Siyo kweli kuhusu nini hapo?Na kwa nini ujivunie "kuwanyoosha" watu?Ina maana uliwatesa na kuwanyima raha ya kuishi.Uliwalimisha kwa meno?😂😂😂😂😂😂
Hapana nilikuta eti jtatu watu wote wanakubaliana waigie saa tatu eti tulilewa week end? au unakuta mtu hajamaliza task yake ya siku hiyo anasema atafanya kesho, mimi hilo kwangu lilikuwa halipo kazi ya siku ya siku bora utoke saa nne usiku au uache kazi kwa sababu huwezi kazi sio kubembelezana
 
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .

Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji.

Huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende)

Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka

TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?

Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Kipande Cha kuingia pale bandarini ndio kinakwamisha pale kulikuwa na kazi kubwa sana na ndio hiyo Iko mwishoni.
 
Hapana nilikuta eti jtatu watu wote wanakubaliana waigie saa tatu eti tulilewa week end? au unakuta mtu hajamaliza task yake ya siku hiyo anasema atafanya kesho, mimi hilo kwangu lilikuwa halipo kazi ya siku ya siku bora utoke saa nne usiku au uache kazi kwa sababu huwezi kazi sio kubembelezana
Sawa.Ishi nao kwa busara isi-backfire!
 
Kwa hili wala hactuki ila kuteua ni chapu tu
 
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Najua upo kwenye kipindi cha kusoma mchezo wa DP world na reactions za watanzania. Hilo sitaliongelea kwa sababu limepata wadau wengi sana wa kujadili na mimi nawaunga mkono wote wanaosema UWEKEZAJI WA BANDARI NI SAWA KABISA NA MUHIMU MNO KWA KARNE HII ILA MKATABA NI MBAYA SANA WA KIMBUMBUMBUMBU KABISA .

Hoja yangu. Kipande cha SGR kutoka Dar Morogoro ilitakiwa iwe imeanza kazi since June 2021 lakini watendaji wamekuwa wanazidi kuiingizia hasara serikali bila sababu kwa kupokea mishahara na posho kibao bila uwajibikaji.

Huku mtaani watu wanakuona kama Rais dhaifu watendaji hawakuheshimu watakupa maelezo mengi na wewe utatikisha kichwa na kuwapa muda wa kushughulikia uzembe wao .Tafadhali Rais/Amiri jeshi mkuu ebu chukua hatua ukitoa deadline isipofanyika mtu afanyike yeye( Ajifukuze kazi na misukosuko mingi mno ili nchi iende)

Miradi imeanza kusima polepole wanakusikilizia , Sikuchukii wala sifurahii upole wako sana ila watu watakuchoka

TOA NENO MWEZI HUU SGR na mabasi ya mwendo kasi kwa nini waziri hajigusi, Waziri mkuu upo wapi? Mtendaji mkuu wa Dart kwa nini yupo ofisini bado kero zimezidi sasa wanalipwa kwa lipi na kwa nini?

Wasaidizi wako wakisoma hili andiko tafadhali Toa kauli na tuone utendaji , NAKUTAKIA AFYA NJEMA NA UONGOZI IMARA.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
Joka lq kibisa lipo kwajili ya kuogopesha watu tu lakini ukweli nikwamba halina madhara
 
Kiongozi asiye maono analitumbukiza taifa shimoni. Ame fail kila kitu.
 
Back
Top Bottom