Pre GE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Sasa huyu Rais ana takia atoke hadharani atuambie ni nani mwenye dhamana ya kuliongoza hili Taifa, ili wananchi tumlalamikie yeye. Maana sasa Mama ana onekana kuto kujua majukumu yake.
Rais Samia ana takiwa akumbuke kiapo chake. Anapi jibu kwa dhihaka kwamba labda ame wahi kuua sisimizi hata sisi ni sisimizi mbele yake.
Atoke hadharani atuambie watu wanao uwawa ni nani ana fanya hayo matukio. Sio kuleta majibu rahisi kwenye hija ngumu.

Kazi ya Rais ni nini? Tumtuhumu nani kama sio yeye? Hao wasaidizi wake wana fanya nini?
 
Atizame Kwa Umakini mikono yake, Kuna kitu ataona.
 
Walioelewa mtueleze nini maana ya SISIMIZI, CHAWA, KUOTA MKIA na NONSENSE. Labda ni misamiati yenye maana tofauti tofauti kwa waswahili.
 
Raisi anasema toto lako. Ni mtoto sio toto
Sasa kama una mtoto mtukutu!? Huyo siyo mtoto tena,bali ni litoto na muda wowote ule litaangukia kwenye mikono ya Magereza likalelewi huko litoto lako lisilokua na adabu!!
 
Arguments: waliouwawa ni sisimizi
 
Muuaji anasema yeye hakuua ila alituma watu wakauue baada ya kulazimishwa asiini oder ya kifo yenye picha na jina flan
 
Huyu (muuaji)katukosea sana kuwaita watu ni sisimizi.Atuombe msamaha watanzania
Yaani Marehemu Mzee Kibao leo anafananishwa na sisimizi ! Mungu tunaomba utuamulie huu ugomvi atatumaliza huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…