Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

Wamevunja sheria gani,kichwa maji wewe. Huna lolote wewe hujui uchungu wa watu kuweka pesa zao hapo. Wewe bado unalala na kula kwa bi mkubwa tu.
Pumbavu wamepanda ulanzi kwenye eneo la TARI unasema wameweka pesa zao hapo! TARI wana hati wao wana nini?
 
Wananchi wa Sae mpya jijini Mbeya wanataka kubomolewa nyumba zao kwa maonevu makubwa. Awali waziri Lukuvi ALIKUJA Kwa Wananchi na kusema umemtuma kurejesha eneo lao ambalo TARI Kwa miaka zaidi ya miaka 40 walilitwaa bila kulipa fidia.

Clip hiyo IPO wakati waziri anakabidhi mbele ya mkuu wa mkoa, mheshimiwa Tulia, spika wa bunge mwenyekiti wa CCM wote, kamishina wa ardhi alikuwepo. Kwa kauli ya waziri Wananchi wakaanza kujenga,na tayari wameanza kuishi katika makazi hayo.

Wakati huu waziri Silaa naye ana maelekezo mapya ya Rais kwamba Hilo eneo ni la kilimo wananchi wabomoe nyumba zao, bila hata kuwasikiliza, wananchi wanaambiwa ni wavamizi kwenye eneo la kilimo.

Mheshimiwa Rais imebaki kauli yako wewe tu. Ikikupendeza Wananchi wanaomba kuachiwa maeneo hayo ambavyo TARi iliyachukulia hati bila kutoa fidia na Wala hawajawahi kuyatumia.

Wewe mwenye akili umeweka nini? Toka kwa bi mkubwa kwanza ndiyo akili yako itafanya kazi vizuri. Saa akili yako imelala.
 
Wananchi wa Sae mpya jijini Mbeya wanataka kubomolewa nyumba zao kwa maonevu makubwa. Awali waziri Lukuvi ALIKUJA Kwa Wananchi na kusema umemtuma kurejesha eneo lao ambalo TARI Kwa miaka zaidi ya miaka 40 walilitwaa bila kulipa fidia.

Clip hiyo IPO wakati waziri anakabidhi mbele ya mkuu wa mkoa, mheshimiwa Tulia, spika wa bunge mwenyekiti wa CCM wote, kamishina wa ardhi alikuwepo. Kwa kauli ya waziri Wananchi wakaanza kujenga,na tayari wameanza kuishi katika makazi hayo.

Wakati huu waziri Silaa naye ana maelekezo mapya ya Rais kwamba Hilo eneo ni la kilimo wananchi wabomoe nyumba zao, bila hata kuwasikiliza, wananchi wanaambiwa ni wavamizi kwenye eneo la kilimo.

Mheshimiwa Rais imebaki kauli yako wewe tu. Ikikupendeza Wananchi wanaomba kuachiwa maeneo hayo ambavyo TARi iliyachukulia hati bila kutoa fidia na Wala hawajawahi kuyatumia.
Sio Sae tuu,watoe Chuo lao hapo Uyole.Hayo mashamba yote yawe Mali ya Jiji na tuendeleze Mji Wetu.

Mbeya Jiji I'ma eneo finyu na lenye milima hivyo kuweka mashamba mjini ni kutaka watu waende kuishi milimani ,kukata uoto ,kuharibu vyanzo vya maji na Kuendeleza squatters.

Hamosha Chuo,ondoa JKT hapo Mjini peleka Wilayani huko Ili maeneo hayo ya Mjini yaendelezwe Kwa kupangwa vyema.
 
Mashamba ya Uyole na JKT ndiyo yanayopendezesha mji, kuyaondoa ni uharibifu wa mazingira na kujaza vumbi mjini!
 
Toa ujinga wako hapa, yaani mashamba yapendezeshe Jiji kuliko kuyapanga Kwa Kuendeleza Jiji?

Kwamba hilo eneolikijengwa Kwa mpangilio kama Forest Mpya halitapendeza ila mashamba ndio yanapendezesha?

Wenzao wanalima mapolini huko sio Mjini

View: https://twitter.com/GiftKimaro7/status/1729170470308880771?t=qB4ZAugwv7zHt291zDZJxQ&s=19

Eneo lenyewe lenye mgogoro ukiliona lina vilima,watu wamechimba kokoto,wengine matofali,asilimia kubwa wanaojenga wanafanya leveling. Ndugu yangu hilo eneo kwa akili yangu ndogo, kilimo hawalihitaji nahisi inawezekana kabisa kukawa na kigogo analitaka ila anapitia mlango wa Kilimo. Ila watu hawajui ardhi ilivyo na laana,ardhi iliyochukuliwa na kuacha machozi kwa uonezi huwa haizai, iwe kilimo au investment nyingine. Ndiyo maana matajiri wakubwa huwa wanahakikisha wakimhamisha mtu mahali ameridhia, otherwise ndiyo pale unaweka investment haifanikiwi au wewe uliyenunua ukadondoka ghafla. Sheria ya asili hata kama huna dini ni mpagani inafanya kazi kabisa. Kuna hoteli iko Mbeya ya muda mrefu sana ila ni nzuri sana, haijawahi fanya biashara ipo tu, ukifuatilia story yake kuna machozi ya mtu.
 
Wewe ndiye mjinga huoni hayo mashamba yanavyoleta hawa safi mjini? Huko Forest vumbi kama mgodini!
Wewe ni mjinga,Mbeya imezungukwa na milima yenye miti mikubwa inaleta hewa ,mashamba mnayolima Ngano ,maharage na mahindi yanaleta hewa gani?

Acha ujinga wewe Jamaa.
 
Nashauri wahame tuu,Jina tu la mtaa linasadifu kuwa hayo maeneo yamevamiwa,eti Sae MPYA,UPYA wake ina maana palikuwa hakuna mtu hapo before kwa hiyo hayo ni mashamba ya kilimo😀!ushawahi kusikia Miji mikongwe kama Ghana,Sokomatola,Mabatini,na kwingineko kuna migogoro ya ardhi?

Ardhi yote ni mali ya serikali,inaweza ikaitumia itakavyo kwa hiyo fuateni maelekezo ya SIRIKALI
 
Inasikitisha sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Nashauri wahame tuu,Jina tu la mtaa linasadifu kuwa hayo maeneo yamevamiwa,eti Sae MPYA,UPYA wake ina maana palikuwa hakuna mtu hapo before kwa hiyo hayo ni mashamba ya kilimo😀!ushawahi kusikia Miji mikongwe kama Ghana,Sokomatola,Mabatini,na kwingineko kuna migogoro ya ardhi?

Ardhi yote ni mali ya serikali,inaweza ikaitumia itakavyo kwa hiyo fuateni maelekezo ya SIRIKALI
Hamna shamba pale ila makorongo, mashimo ya kokoto na matofali, hata hivyo kuna uzembe kwa watendaji wa serikali,imagine mgogoro una miaka zaidi ya 40. Mgogoro ukatatuliwa ukaibuka tena.
 
Wewe ni mjinga,Mbeya imezungukwa na milima yenye miti mikubwa inaleta hewa ,mashamba mnayolima Ngano ,maharage na mahindi yanaleta hewa gani?

Acha ujinga wewe Jamaa.
Ujinga unao wewe kwa kukariri! Sasa ndiyo hivyo tena Tulia hataweza kufanya hicho mnachowaza na uwezo pia hana!
 
Who is Tulia wewe nyumbu? Rais ndio mwenye Uamzi.Kama Mbarali wameghairi hata hapo Mbeya ajenda zetu za Uchaguzi wahamishe Chuo na JKT Waende Nje ya Mji huko Jiji lichukue maeneo yapangwe hata Kwa Kulipa fidia hizo taasisi Kwa sababu watauza viwanja na pesa itarudi.
 
Ujinga unao wewe kwa kukariri! Sasa ndiyo hivyo tena Tulia hataweza kufanya hicho mnachowaza na uwezo pia hana!
Watu wanaoishi kwa mama zao wakisubiri wazazi wafe warithi nyumba wanafurahia mahustlers wa maisha wakiwa wanaumizwa. Tafuta yako hiyo itakubomokea utupe shida kukuzika.
 
Back
Top Bottom