Rais Samia sikia kilio cha wananchi hawa wa jijini Mbeya

Who is Tulia wewe nyumbu? Rais ndio mwenye Uamzi.Kama Mbarali wameghairi hata hapo Mbeya ajenda zetu za Uchaguzi wahamishe Chuo na JKT Waende Nje ya Mji huko Jiji lichukue maeneo yapangwe hata Kwa Kulipa fidia hizo taasisi Kwa sababu watauza viwanja na pesa itarudi.
Tulia ndiye mnamtegemea kama vile ana hayo madaraka! Ila uzuri mashamba yatabaki hapo milele!
 
Hawamtegemei tulia hata chembe ndiyo maana kilio chao wameelekeza kwa Mheshimiwa Waziri mkuu na Mheshimiwa Rais
 
Watu wanaoishi kwa mama zao wakisubiri wazazi wafe warithi nyumba wanafurahia mahustlers wa maisha wakiwa wanaumizwa. Tafuta yako hiyo itakubomokea utupe shida kukuzika.
Ungekuwa hustler wala usingemlilia Samia ungejitosa tu kutafuta lakini kwa kuwa mtegemezi lazima ulie!
 
Kwanza sina eneo hapo mimi ila nawahurumia wale wajane wazee waliojenga wanalea wajukuu, wewe kwa sababu mtoto wa mama kula kulala huwezi elewa kubwa jinga wewe
 
Huna lo lote wewe ungekuwa na uelewa usingekuja hapa kutoa kilio!
 
Who is Tulia wewe nyumbu? Rais ndio mwenye Uamzi.Kama Mbarali wameghairi hata hapo Mbeya ajenda zetu za Uchaguzi wahamishe Chuo na JKT Waende Nje ya Mji huko Jiji lichukue maeneo yapangwe hata Kwa Kulipa fidia hizo taasisi Kwa sababu watauza viwanja na pesa itarudi.
😀😀😀wewe jamaa una manung'uniko sana,serikali ina sababu za msingi sana kuanzisha jeshi katikati ya mji halafu hapo siyo kambi ya jeshi,kambi kuu ni ile ya JKT ITENDE,hapo uyole ni kituo cha matengenezo!kama ilishindikana kulihamisha jeshi JKT ITENDE katikati ya mji itawezekana kuitoa SUMA JKT hapo Uyole?!
Serikali inawaza mbali kuliko matamanio yako mkuu😁
 
Wahame na waondoke hapo.Hujui kitu ila unatetea tuu upuuzi.

Sumbawanga/Rukwa Kambi ziko Vijijini kwani huko hakuna Miji? Kwa nini haziko katikati ya Mji?

Mashamba ya JKT na Chuo Cha Uyole wahamie Vijijini huko wakalime vizuri
 
Back
Top Bottom