The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Kwa vile watu wanamuita Mama sasa ameanza kufikiri kuwa ni Mama wa Watanzania wote.Yani Mh kila mtu nchi hii anamuona kama mwanae.
Kazaliwa 1960, Lissu 1968, ni mwanae kivipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa vile watu wanamuita Mama sasa ameanza kufikiri kuwa ni Mama wa Watanzania wote.Yani Mh kila mtu nchi hii anamuona kama mwanae.
Kazaliwa 1960, Lissu 1968, ni mwanae kivipi?
mwanaye ni yule abduli aliyeshindwa kumtuliza Lisu kwa maburungutuSimba hatulii kama mwanangu Lissu [emoji1787][emoji1787]
Lissu utulivu ni "sifuri"...
Je ana tatizo la afya akili ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Jamaa hajatulia kabisa.Simba hatulii kama mwanangu Lissu [emoji1787][emoji1787]
Lissu utulivu ni "sifuri"...
Je ana tatizo la afya akili ?!!!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Umeniwahi mkuu ata mm nimeshangaaYani Mh kila mtu nchi hii anamuona kama mwanae.
Kazaliwa 1960, Lissu 1968, ni mwanae kivipi?
Kwa hiyo unaona Lissu ni Mkubwa?mwanaye ni yule abduli aliyeshindwa kumtuliza Lisu kwa maburungutu
Ni mdogo wake sio mwanaeKwa hiyo unaona Lissu ni Mkubwa?
Mama yetu ni Mama wa Taifa na Mlezi wa woteKwa vile watu wanamuita Mama sasa ameanza kufikiri kuwa ni Mama wa Watanzania wote.
Wewe huwa hujitambui hata kidogo.hujatulia kichwa kama mtajwa...huyu Maza hata hajui anaongea nini.
..wasaidizi wamuandalie hotuba, kuliko kumuachia aadhirike.
Akikua ndio atamuita mdogo wake .ila kwa sasa ni mwanae tu anayepaswa kufundishwa mengi sana kama mtoto.Ni mdogo wake sio mwanae
👆Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.
Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian Ronaldo,Lionel Messi ,Ronaldinyo ,Pele ,JJ OKocha walivyokuwa wanajuwa kuuchezea mpira mpaka mpira wenyewe unatulia katika miguu yao kwa heshima na adabu na kutoa salute .
Sasa hapo jana baada ya Rais Huyu nguli na jabali wa siasa kutamka kuwa Simba aliyekuwa anaruka ruka na kushindwa kutulia utafikiri karatasi inayopulizwa na upepo apewe jina la Lissu ,wafuasi kiduchu wa Lissu wakaanza kuvimba vichwa Utafikiri wameng'atwa na nyigu au nyuki Juani. Kuwa RAIS Samia anamuwaza sana Lissu na kumuogopa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo Mwakani.
Wengine wakafikia hatua hadi ya kuanza eti kutoa tafsiri zao kuhusu Simba na maana yake kibiblia ilimradi tu wapooze na kupata faraja ya kujifariji hasa baada ya kujuwa kuwa Lissu kwa kiasi kikubwa hakubaliki kwa watanzania wala kuungwa mkono.
Hii ni kutokana na tabia yake mbaya ya uropokaji,mihemuko na lugha zake mbaya na zenye kuchocheo ubaguzi katika Taifa letu.lakini kubwa zaidi ni kukosa kwake adabu kama ambavyo tulishuhudia akitukana viongozi wetu wengi sana wenye heshima katika Taifa letu akiwepo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetukanwa kwa mdomo huohuo wa Lissu ambao umekuwa na maneno ya ukigeugeu kama kinyonga.
Na hapa mnaweza pia kukumbuka namna pia alivyomdhalilishaga Hayati Edward lowassa kabla ya kuja CHADEMA na kugombea Uraisi .
Sasa Rais wetu amesema kuwa Simba yule alisema apewe jina la Lissu kwa sababu aliona Simba yule hajatulia hata kidogo.kama ambavyo Mliona simba yule alikuwa anaruka ruka na hajatulia.
Nami Mwashambwa namuunga kabisa mkono Mheshimiwa Rais kuwa Lissu hajatulia kabisa na ndio maana anakosa Busara na hekima hata katika kuzungumza kwake ,maana utulivu wa mtu ukiwa mzuri inapelekea hata kauli na maneno yake kujaa kwa hekima na Busara.lakini mtu ambaye hajatulia aina ya Lissu ndio sababu huona akitoa neno lolote linalomjia mdomoni pake bila hata kulichuja wala kufikiria Kabla ya kulitoa.
Mwisho ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi kupata kura hata nusu tu ya kura za Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mgombea Urais wa CCM hapo Mwakani.kamwe lisuu hawezi kuwa Rais wa Taifa hili hata kama angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea Uraisi.View attachment 3079010
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hao saizi yao buku 7 inawatosha👆
Chawa wajengewe uwezo zaidi, wawezeshwe, na wapate nafasi za uwakilishi bungeni.
🤣🤣Ndugu zangu Watanzania,

Labda kama vijana wanavyoitana wana!!!?Yani Mh kila mtu nchi hii anamuona kama mwanae.
Kazaliwa 1960, Lissu 1968, ni mwanae kivipi?
Ukweli ni kwamba Tundu lissu anamtisha sana Rais anampa hofu isiyo kifani,ndio tafasili ya yule Simba aliekuwa na ghadhabu.tulikuwa tunahangaika kujiuliza kwa Nini mama alitaka Simba yule aitwe jina la lissu sasa yeye mwenyewe katupatia majibu.Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.
Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian Ronaldo,Lionel Messi ,Ronaldinyo ,Pele ,JJ OKocha walivyokuwa wanajuwa kuuchezea mpira mpaka mpira wenyewe unatulia katika miguu yao kwa heshima na adabu na kutoa salute .
Sasa hapo jana baada ya Rais Huyu nguli na jabali wa siasa kutamka kuwa Simba aliyekuwa anaruka ruka na kushindwa kutulia utafikiri karatasi inayopulizwa na upepo apewe jina la Lissu ,wafuasi kiduchu wa Lissu wakaanza kuvimba vichwa Utafikiri wameng'atwa na nyigu au nyuki Juani. Kuwa RAIS Samia anamuwaza sana Lissu na kumuogopa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo Mwakani.
Wengine wakafikia hatua hadi ya kuanza eti kutoa tafsiri zao kuhusu Simba na maana yake kibiblia ilimradi tu wapooze na kupata faraja ya kujifariji hasa baada ya kujuwa kuwa Lissu kwa kiasi kikubwa hakubaliki kwa watanzania wala kuungwa mkono.
Hii ni kutokana na tabia yake mbaya ya uropokaji,mihemuko na lugha zake mbaya na zenye kuchocheo ubaguzi katika Taifa letu.lakini kubwa zaidi ni kukosa kwake adabu kama ambavyo tulishuhudia akitukana viongozi wetu wengi sana wenye heshima katika Taifa letu akiwepo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetukanwa kwa mdomo huohuo wa Lissu ambao umekuwa na maneno ya ukigeugeu kama kinyonga.
Na hapa mnaweza pia kukumbuka namna pia alivyomdhalilishaga Hayati Edward lowassa kabla ya kuja CHADEMA na kugombea Uraisi .
Sasa Rais wetu amesema kuwa Simba yule alisema apewe jina la Lissu kwa sababu aliona Simba yule hajatulia hata kidogo.kama ambavyo Mliona simba yule alikuwa anaruka ruka na hajatulia.
Nami Mwashambwa namuunga kabisa mkono Mheshimiwa Rais kuwa Lissu hajatulia kabisa na ndio maana anakosa Busara na hekima hata katika kuzungumza kwake ,maana utulivu wa mtu ukiwa mzuri inapelekea hata kauli na maneno yake kujaa kwa hekima na Busara.lakini mtu ambaye hajatulia aina ya Lissu ndio sababu huona akitoa neno lolote linalomjia mdomoni pake bila hata kulichuja wala kufikiria Kabla ya kulitoa.
Mwisho ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi kupata kura hata nusu tu ya kura za Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mgombea Urais wa CCM hapo Mwakani.kamwe lisuu hawezi kuwa Rais wa Taifa hili hata kama angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea Uraisi.View attachment 3079010
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Anachoweza kukumbukwa lisuu ni mimameno yake ya ubaguzi, uchochezi na matusi tu.Lissu ana uwezo mkubwa sana kiakili.
Hata kesho ukiwepo mjadala wa wazi wakakaribishwa Lissu na Samia kuchambua issue za mbalimbali za kitaifa mtajionea.
Samia ni mweupe mno kichwani na hii inajidhihirisha katika historia yake kitaaluma mpaka hapo alipofika hata huo udaktari wake ni wa kutunukiwa tu asingeweza kuupata kwa kuingia darasani na kwenye tafiti.
Pia Lissu katika eneo lake la ubobezi[sheria] anayo mengi sana ameyafanya ya kukumbukwa tangu 1997 kwenye kesi za madini Nyamongo ukiwa ni utawala wa Mkapa na kabla Lissu hajaingia kwenye siasa.
Kiufupi Lissu amefanya mengi sana na kuonyesha uwezo wake kitaaluma hata kabla hajaingia kwenye siasa!
Je Samia alifanya kipi cha kukumbukwa katika eneo lake la ubobevu kabla hajaingia kwenye siasa?