Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

Kamwe na katu lissu hawezi kuwa Rais wa Nchi hii wala hana uwezo wa kushindana na Rais Samia katika sandtla kura. Lissu hata zikipigwa kura ndani ya CHADEMA juu ya nani agombee Urais bado lissu hawezi kumshinda Mheshimiwa Mbowe.Lissu ni mropokaji,mwenye mihemuko,hana kifua cha uongozi wala hawezi kamwe kuwa Amiri Jeshi Mkuu.hata angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea urais
sasa unateseka nini juu yake ana haki kikatiba,japo uvccm hamuijui katiba mmezoea vya kunyonga
 
Jecha hajafa maadam Tume ilipakwa rangi na kuongeza NENO 'HURU' lakini uozo kwa ndani ni uleule.
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.

Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian Ronaldo,Lionel Messi ,Ronaldinyo ,Pele ,JJ OKocha walivyokuwa wanajuwa kuuchezea mpira mpaka mpira wenyewe unatulia katika miguu yao kwa heshima na adabu na kutoa salute .

Sasa hapo jana baada ya Rais Huyu nguli na jabali wa siasa kutamka kuwa Simba aliyekuwa anaruka ruka na kushindwa kutulia utafikiri karatasi inayopulizwa na upepo apewe jina la Lissu ,wafuasi kiduchu wa Lissu wakaanza kuvimba vichwa Utafikiri wameng'atwa na nyigu au nyuki Juani. Kuwa RAIS Samia anamuwaza sana Lissu na kumuogopa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo Mwakani.

Wengine wakafikia hatua hadi ya kuanza eti kutoa tafsiri zao kuhusu Simba na maana yake kibiblia ilimradi tu wapooze na kupata faraja ya kujifariji hasa baada ya kujuwa kuwa Lissu kwa kiasi kikubwa hakubaliki kwa watanzania wala kuungwa mkono.

Hii ni kutokana na tabia yake ya uropokaji,mihemuko na lugha zake mbaya na zenye kuchocheo ubaguzi katika Taifa letu. Lakini kubwa zaidi ni kukosa kwake adabu kama ambavyo tulishuhudia akitukana viongozi wetu wengi sana wenye heshima katika Taifa letu akiwepo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetukanwa kwa mdomo huohuo wa Lissu ambao umekuwa na maneno ya ukigeugeu kama kinyonga.

Na hapa mnaweza pia kukumbuka namna pia alivyomdhalilishaga Hayati Edward lowassa kabla ya kuja CHADEMA na kugombea Uraisi .

Sasa Rais wetu amesema kuwa Simba yule alisema apewe jina la Lissu kwa sababu aliona Simba yule hajatulia hata kidogo.kama ambavyo Mliona simba yule alikuwa anaruka ruka na hajatulia.

Soma Pia:Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Nami Mwashambwa namuunga kabisa mkono Rais kuwa Lissu hajatulia kabisa na ndio maana anakosa Busara na hekima hata katika kuzungumza kwake ,maana utulivu wa mtu ukiwa mzuri inapelekea hata kauli na maneno yake kujaa kwa hekima na Busara.lakini mtu ambaye hajatulia aina ya Lissu ndio sababu huona akitoa neno lolote linalomjia mdomoni pake bila hata kulichuja wala kufikiria Kabla ya kulitoa.

Mwisho ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi kupata kura hata nusu tu ya kura za Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mgombea Urais wa CCM hapo Mwakani.kamwe lisuu hawezi kuwa Rais wa Taifa hili hata kama angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea Uraisi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe Kijana nenda shule , mark my word HAUTOBOI NA HUU UCHAWA. Nyakati zinabadilika wasomi watakuja kukaa sehemu zao very soon . NENDA shule , you have lots of potential, kwanini unachagua utumwa while your mama Amekuzaa ukiwa huru?

Unakuwaje chawa kwa binadamu ambae huenda ukamzidi hata maarifa, acha uluza na uchawa usiokuwa na tija, nenda shule
 
Mtashinda kama mlivomuibia edo na Kutaka kumuua lisu. Kijana kama wewe najiuliza utawaachia nini watoto zako kwa akili za kichawa
Kwa akili mgando kama za huyu chawa hata uwezo wa kutia mimba hana huyu labda akakamuliwe mbegu kama mwenzake nyamitako.
 
Wewe Kijana nenda shule , mark my word HAUTOBOI NA HUU UCHAWA. Nyakati zinabadilika wasomi watakuja kukaa sehemu zao very soon . NENDA shule , you have lots of potential, kwanini unachagua utumwa while your mama Amekuzaa ukiwa huru?

Unakuwaje chawa kwa binadamu ambae huenda ukamzidi hata maarifa, acha uluza na uchawa usiokuwa na tija, nenda shule
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania.Kuhusu shule nilishapiga na kumaliza madarasa yote unayoyafahamu wewe mpaka juu kabisa huko wanakofika wachache.
 
Back
Top Bottom