Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.

Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian Ronaldo,Lionel Messi ,Ronaldinyo ,Pele ,JJ OKocha walivyokuwa wanajuwa kuuchezea mpira mpaka mpira wenyewe unatulia katika miguu yao kwa heshima na adabu na kutoa salute .

Sasa hapo jana baada ya Rais Huyu nguli na jabali wa siasa kutamka kuwa Simba aliyekuwa anaruka ruka na kushindwa kutulia utafikiri karatasi inayopulizwa na upepo apewe jina la Lissu ,wafuasi kiduchu wa Lissu wakaanza kuvimba vichwa Utafikiri wameng'atwa na nyigu au nyuki Juani. Kuwa RAIS Samia anamuwaza sana Lissu na kumuogopa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo Mwakani.

Wengine wakafikia hatua hadi ya kuanza eti kutoa tafsiri zao kuhusu Simba na maana yake kibiblia ilimradi tu wapooze na kupata faraja ya kujifariji hasa baada ya kujuwa kuwa Lissu kwa kiasi kikubwa hakubaliki kwa watanzania wala kuungwa mkono.

Hii ni kutokana na tabia yake ya uropokaji,mihemuko na lugha zake mbaya na zenye kuchocheo ubaguzi katika Taifa letu. Lakini kubwa zaidi ni kukosa kwake adabu kama ambavyo tulishuhudia akitukana viongozi wetu wengi sana wenye heshima katika Taifa letu akiwepo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetukanwa kwa mdomo huohuo wa Lissu ambao umekuwa na maneno ya ukigeugeu kama kinyonga.

Na hapa mnaweza pia kukumbuka namna pia alivyomdhalilishaga Hayati Edward lowassa kabla ya kuja CHADEMA na kugombea Uraisi .

Sasa Rais wetu amesema kuwa Simba yule alisema apewe jina la Lissu kwa sababu aliona Simba yule hajatulia hata kidogo.kama ambavyo Mliona simba yule alikuwa anaruka ruka na hajatulia.

Soma Pia:Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Nami Mwashambwa namuunga kabisa mkono Rais kuwa Lissu hajatulia kabisa na ndio maana anakosa Busara na hekima hata katika kuzungumza kwake ,maana utulivu wa mtu ukiwa mzuri inapelekea hata kauli na maneno yake kujaa kwa hekima na Busara.lakini mtu ambaye hajatulia aina ya Lissu ndio sababu huona akitoa neno lolote linalomjia mdomoni pake bila hata kulichuja wala kufikiria Kabla ya kulitoa.

Mwisho ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi kupata kura hata nusu tu ya kura za Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mgombea Urais wa CCM hapo Mwakani.kamwe lisuu hawezi kuwa Rais wa Taifa hili hata kama angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea Uraisi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tundu Lissu ni Simba dume wewe Lucas Mwashambwa ni chawa jike.
 
lisuu ni nani kwanza ??

Lissu kachochea nini?

Lissu kambagua nani?

Mbaguzi ni nani kama sio Samia anayefukuza watu kwenye ardhi yao ya asili huku Lissu akikemea wazi ubaguzi huo sasa hapo mbaguzi nani?

Naungana na mchangiaji mmoja aliyeomba machawa mjengewe uwezo [capacity building] kwenye kujibu hoja baada ya kupandisha mabandiko na mpunguze hizo lullabies.

Yapi ?

Hebu orodhesha 10 tu!

Elimu bure sio kigezo mmechelewa sana na sikulaumu wewe sababu watanzania wengi exposure ni ndogo.

Mimi nimewahi kutembelea nchi kadhaa elimu ni bure sababu inagharamiwa na kodi za wananchi na si kitu cha kumpa heko mtawala.

Usikute wewe licha ya kuwa Mbeya hujawahi hata kufika nchi jirani kama Malawi na Zambia tu .

Ajira zipi ?

Unaweza kuweka takwimu hapa?

Maana vijana hao hao ndio tunaona humu wamegeuka kujiita "maafisa ubashiri" je kamari ni ajira rasmi,?

Malalamiko ya ajira yamo lukuki humu.

Hizi pesa anatoa wapi yeye kama rais?

Hizo ni kodi na tozo wanazolipa wananchi ,rais hana hizo pesa na sio zake hivyo hastahili sifa yoyote hapo wapongezwe watu kwa kulipa kodi sio mtawala.

Kuzindua mradi nacho ni kitu cha kujisifia ?

Hizo pesa za kugharamia mradi zimetoka wapi?

Nani watalipia gharama za huo mkopo wa kujenga hiyo miradi kama sio watumiaji wa mwisho ambao ni wananchi?

Samia tangu amezindua hiyo treni kapanda lini tena , mfano huko Kizimkazi alipokuwepo wiki nzima kwenye bonanza alienda na treni ?

Kuzindua sio jambo la kupongezwa hakuna sifa yoyote kwenye kuzindua bali wanaotakiwa kujipongeza ni wanachi kodi zao ndio zimejenga mradi huo uwanufaishe wao.

Je Samia mbona ameshindwa kudhibiti wizi ambao magenge ya wezi yanachepusha makusanyo ya kodi kwenda katika njia zisizo rasmi?

Au kwenye mambo ya wizi , ubadhirifu,matumizi mabaya ya ofisi sio uongozi wa Samia au huko Tanzania ni ya rais mwingine na sio Samia?View attachment 3079078
labda usafiri ulikosekana wa kuzifikisha benki
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Samia Suluhu Hasssan ni mwanasayansi wa sayansi ya siasa kiasili.

Ni kiongozi anayeijuwa vyema sana sayansi ya siasa.ni kiongozi ambaye anajuwa kucheza na lugha na maneno Utafikiri magwiji na mafundi ya mpira aina ya christian Ronaldo,Lionel Messi ,Ronaldinyo ,Pele ,JJ OKocha walivyokuwa wanajuwa kuuchezea mpira mpaka mpira wenyewe unatulia katika miguu yao kwa heshima na adabu na kutoa salute .

Sasa hapo jana baada ya Rais Huyu nguli na jabali wa siasa kutamka kuwa Simba aliyekuwa anaruka ruka na kushindwa kutulia utafikiri karatasi inayopulizwa na upepo apewe jina la Lissu ,wafuasi kiduchu wa Lissu wakaanza kuvimba vichwa Utafikiri wameng'atwa na nyigu au nyuki Juani. Kuwa RAIS Samia anamuwaza sana Lissu na kumuogopa kuelekea uchaguzi Mkuu hapo Mwakani.

Wengine wakafikia hatua hadi ya kuanza eti kutoa tafsiri zao kuhusu Simba na maana yake kibiblia ilimradi tu wapooze na kupata faraja ya kujifariji hasa baada ya kujuwa kuwa Lissu kwa kiasi kikubwa hakubaliki kwa watanzania wala kuungwa mkono.

Hii ni kutokana na tabia yake ya uropokaji,mihemuko na lugha zake mbaya na zenye kuchocheo ubaguzi katika Taifa letu. Lakini kubwa zaidi ni kukosa kwake adabu kama ambavyo tulishuhudia akitukana viongozi wetu wengi sana wenye heshima katika Taifa letu akiwepo Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere aliyetukanwa kwa mdomo huohuo wa Lissu ambao umekuwa na maneno ya ukigeugeu kama kinyonga.

Na hapa mnaweza pia kukumbuka namna pia alivyomdhalilishaga Hayati Edward lowassa kabla ya kuja CHADEMA na kugombea Uraisi .

Sasa Rais wetu amesema kuwa Simba yule alisema apewe jina la Lissu kwa sababu aliona Simba yule hajatulia hata kidogo.kama ambavyo Mliona simba yule alikuwa anaruka ruka na hajatulia.

Soma Pia:Rais Samia atoa maagizo ya Simba dume wa Kizimkazi kupewa jina la Tundu Lissu

Nami Mwashambwa namuunga kabisa mkono Rais kuwa Lissu hajatulia kabisa na ndio maana anakosa Busara na hekima hata katika kuzungumza kwake ,maana utulivu wa mtu ukiwa mzuri inapelekea hata kauli na maneno yake kujaa kwa hekima na Busara.lakini mtu ambaye hajatulia aina ya Lissu ndio sababu huona akitoa neno lolote linalomjia mdomoni pake bila hata kulichuja wala kufikiria Kabla ya kulitoa.

Mwisho ni kuwa kamwe na katu Lissu hawezi kupata kura hata nusu tu ya kura za Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan mgombea Urais wa CCM hapo Mwakani.kamwe lisuu hawezi kuwa Rais wa Taifa hili hata kama angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea Uraisi.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Nenda ukampe nyaaa
 
Rais Samia atapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima.
Kwa vile nimekuambia 2025 utashangaa sana, kwasababu kuna watu tunaambiwa yajayo!, yajayo yatakushangaza na hutaamini macho na masikio yako!. Jee wewe uliwahi kuisoma HII kitu humu jf?, unajua ni sauti ya nani?. Basi subiria na utashangaa sana, ila mimi nitakukumbusha!.

P.
 
Endeleeni kuweweseka tu
Hivi tuseme ukweli nani anaweweseka sana hapa jukwaani kama siyo wewe kutwa kucha unajaza magazeti yako hapa na hayana jipya zaidi ya kumsifia mtu huyo huyo tena kwa sifa za kikomedi kiasi kwa mwenye kusoma katikati ya mistari anakuona kama kama unamkejeli.
 
Hayo maandishi ya Paschal ni ndoto za mchana ambazo mtu anaweza akaota akiwa ameshiba ugali na kulala kwenye kiti.
Japo ni kweli kila mtu akishiba anaweza akaota ndoto za mchana, na mimi pia huwa ninaota, ila kuna ndoto nyingine sio ndoto ni maono, kuhusu 2025, soma HII kitu!, sio mimi ni ...
Hakuna mwenye ubavu wala uwezo wa kushindana na Rais wetu mpendwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan katika sanduku la kura hapo mwakani.
Ni kweli, hakuna, ila anayepanga sii wewe wala sii yeye!, jee mpangaji ndiye aliyempangia?. Karibu pande hizi Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!
Huyo Lissu hawezi kupewa kura ya ndio na mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua vyema.hivi kweli Lissu ni wakuwaziwa kwenye nafasi ya Urais? Embu acheni utani wenu hapa .mtu kama lissu hata angekuwa ndani ya CCM hawezi kamwe na katu kufikiriwa kupewa nafasi ya kugombea wala hata kulijadili jina lake haiwezekani zaidi ya kulikata tu kama kitambaa .
Hebu tusemezane ukweli, kwani TL ana tofauti na JPM?, kuna vitu fulani Lissu amemzidi JPM!, seuze... Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Kwa uchaguzi wa 2025, tumewashauri wapinzani Kuelekea 2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!

Na kama CCM itasimamisha mwanamke, tumewashauri wapinzani wote nao wasimamishe wanawake
Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

Kama ni lazima upinzani usimamishe mwanaume kushindana na Samia, tumeshauri asiwe TL Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila... ushauri huu ni kumuepushia mtu kuogeshwa....
P
 
Japo ni kweli kila mtu akishiba anaweza akaota ndoto za mchana, na mimi pia huwa ninaota, ila kuna ndoto nyingine sio ndoto ni maono, kuhusu 2025, soma HII kitu!, sio mimi ni ...

Ni kweli, hakuna, ila anayepanga sii wewe wala sii yeye!, jee mpangaji ndiye aliyempangia?. Karibu pande hizi Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Hebu tusemezane ukweli, kwani TL ana tofauti na JPM?, kuna vitu fulani Lissu amemzidi JPM!, seuze... Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Kwa uchaguzi wa 2025, tumewashauri wapinzani Kuelekea 2025 - Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli 2025, Iachane na Urais, Ujikite Serikali za Mitaa, Ubunge na Udiwani, Urais labda 2030!

Na kama CCM itasimamisha mwanamke, tumewashauri wapinzani wote nao wasimamishe wanawake
Iwapo Watanzania wataamua 2025 twende na Mwanamke, mnaonaje tukiwashauri CHADEMA wasimamishe Mwanamke? Maana Mwanaume kushindwa na Mwanamke ni aibu!

Kama ni lazima upinzani usimamishe mwanaume kushindana na Samia, tumeshauri asiwe TL Kama CCM Itamsimamisha Rais Samia 2025, Mnaonaje Freeman Mbowe Awe Mgombea wa Upinzani? Atapiga Ndege 3 kwa Jiwe Moja, Atavuna Wabunge Wengi ila... ushauri huu ni kumuepushia mtu kuogeshwa....
P
Kamwe na katu lissu hawezi kuwa Rais wa Nchi hii wala hana uwezo wa kushindana na Rais Samia katika sandtla kura. Lissu hata zikipigwa kura ndani ya CHADEMA juu ya nani agombee Urais bado lissu hawezi kumshinda Mheshimiwa Mbowe.Lissu ni mropokaji,mwenye mihemuko,hana kifua cha uongozi wala hawezi kamwe kuwa Amiri Jeshi Mkuu.hata angekuwa ndani ya CCM hawezi kupewa nafasi ya kugombea urais
 
Back
Top Bottom