Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #81
Kuna hoja gani hapo zaidi ya porojo tu.Haya mambo uliyomuuliza huyu chawa hawezi kukujibu kwa ufasaha. Huwa hawezi kujenga hoja bali anasifia tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna hoja gani hapo zaidi ya porojo tu.Haya mambo uliyomuuliza huyu chawa hawezi kukujibu kwa ufasaha. Huwa hawezi kujenga hoja bali anasifia tu.
Jibu hizo hizo porojo sasa..Kuna hoja gani hapo zaidi ya porojo tu.
Siwezi kupoteza muda wangu kujibu porojo.Jibu hizo hizo porojo sasa..
Kila mwenye akili Timamu na anayejitambua anafahamu ya kuwa lissu hastahili kupewa uongozi wowote ule wa juu ,kwa sababu hajatulia,hana busara wala hekima zaidi ya mihemuko, ukurupukaji,ubaguzi ,mimatusi na kukosa adabu. Ndio maana ameshindwa hata kupata michango ya kutosheleza kununua gari zaidi ya miezi kadhaa sasa. Anayekubalika angekuwa amepata hela ya gari ndani ya siku mbili tu...kila mwenye akili timamu anajua Samia Suluhu hawezi kupambana kwa hoja na Tundu Lissu.
Walipokuwa wanakupa script haukutegemea ungekutana na maswali kama hayo.Siwezi kupoteza muda wangu kujibu porojo.
Hakuna swali hapo zaidi ya porojo.halafu mimi tangia lini nikapewa maelekezo ya namna ya kuandika?Walipokuwa wanakupa script haukutegemea ungekutana na maswali kama hayo.
Hivyo sikushangai kushindwa kuyajibu maana wewe ni mweupe kichwani kama huyo mama Abdul unayemsifia.
Hata kesho ukiwepo mjadala wa wazi wakakaribishwa Lissu na Samia kuchambua issue za mbalimbali za kitaifa mtajionea.
Samia ni mweupe mno kichwani na hii inajidhihirisha katika historia yake kitaaluma mpaka hapo alipofika hata huo udaktari wake ni wa kutunukiwa tu asingeweza kuupata kwa kuingia darasani na kwenye tafiti.
Pia Lissu katika eneo lake la ubobezi[sheria] anayo mengi sana ameyafanya ya kukumbukwa tangu 1997 kwenye kesi za madini Nyamongo ukiwa ni utawala wa Mkapa na kabla Lissu hajaingia kwenye siasa.
Kiufupi Lissu amefanya mengi sana na kuonyesha uwezo wake kitaaluma hata kabla hajaingia kwenye siasa!
Je Samia alifanya kipi cha kukumbukwa katika eneo lake la ubobevu kabla hajaingia kwenye siasa?
Samia hajafanya Chocho zaidi ya kugawa chini kama Njugu.
Kwa hiyo kwa akili yako unaona ni sawa kumuita Lissu Mwanangu...!?Mama yetu ni Mama wa Taifa na Mlezi wa wote
"CCTV footage" amekuonyesha wewe pekee rafikiye ?!!mwanaye ni yule abduli aliyeshindwa kumtuliza Lisu kwa maburungutu
SWOC analysis kipengele cha "W" kinatuonesha kuwa jamaa ana "grade F" [emoji1787]Jamaa hajatulia kabisa.
[emoji1787][emoji1787]Kwa hiyo unaona Lissu ni Mkubwa?
[emoji7]Mama yetu ni Mama wa Taifa na Mlezi wa wote
[emoji1787]Wewe huwa hujitambui hata kidogo.hujatulia kichwa kama mtajwa.
Idadi ya kura unaitangaza mapema kama Nape sasa mlika usha kujikombakomba eeeh.Ndugu zangu Watanzania,
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.