Rais Samia: Simba alikuwa hatulii kama ‘Mwanangu Lissu’, ndio maana nikasema apewe jina hilo

sasa unateseka nini juu yake ana haki kikatiba,japo uvccm hamuijui katiba mmezoea vya kunyonga
 
Jecha hajafa maadam Tume ilipakwa rangi na kuongeza NENO 'HURU' lakini uozo kwa ndani ni uleule.
Hata ije Tume ya uchaguzi kutoka Marekani bado CCM itapita na kushinda kwa kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima
 
Wewe Kijana nenda shule , mark my word HAUTOBOI NA HUU UCHAWA. Nyakati zinabadilika wasomi watakuja kukaa sehemu zao very soon . NENDA shule , you have lots of potential, kwanini unachagua utumwa while your mama Amekuzaa ukiwa huru?

Unakuwaje chawa kwa binadamu ambae huenda ukamzidi hata maarifa, acha uluza na uchawa usiokuwa na tija, nenda shule
 
Mtashinda kama mlivomuibia edo na Kutaka kumuua lisu. Kijana kama wewe najiuliza utawaachia nini watoto zako kwa akili za kichawa
Kwa akili mgando kama za huyu chawa hata uwezo wa kutia mimba hana huyu labda akakamuliwe mbegu kama mwenzake nyamitako.
 
Mimi siyo chawa ndugu yangu mtanzania.Kuhusu shule nilishapiga na kumaliza madarasa yote unayoyafahamu wewe mpaka juu kabisa huko wanakofika wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…