Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 590
- 1,648
Rais Samia amesema kwakuwa CCM ndiyo waliyoweka serikali basi wakosolewe.
Asema anaamini akikosolewa anaoneshwa changamoto ilipo na akiifanyia kazi changamoto ile watu wakamuamini ataendelea kubaki.
Na kutokana na hilo haviiti vyama vingine kama vyama vya upanzani bali vyama vya kumuonesha changamoto ilipo.
CC: Meneja TRC, Gerald Hando
Wadau mnasemaje?