Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We ndo mtumwa tena wa akili yako mwenyewe.Wapumbavu kama wewe ndio wako busy na mambo yao, ikiwa wanageuzwa watumwa ndani ya nchi yao bila kujali.
Umehama CCM inamaana you are no longer Chawa anymore?Taifa la Dubai.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Es Salaam leo tarehe 14 Julai, 2023
RAIS SAMIA: SISI TUNALUMBANA KUHUSU BANDARI, WENZETU WANATUMIA FURSA
Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha viongozi wateule Ikulu Jijini Dar es es Salaam, leo Julai 14, 2023 ambapo amesisitiza kuhusu kutumia fursa za kupata maendeleo pindi zinapopatikana.
RAIS SAMIA: KILA MABADILIKO YANA UGUMU WAKE
Rais wa Samia Suluhu Hassan anasema “Mkiwa na nia safi na ya kujenga Nchi msiogope kuja na mawazo ya kubadilisha mwekeleo wa Nchi, kila mabadiliko yana ugumu wake, hakuna mabadiliko marahisi.”
Ameongeza “Watu wakizoea kushoto ukiwaambia geuka kulia watalalamika, msiogope kuna na madiliko ya uelekeo wa Nchi yetu.”
Saa100 soma hapa🖕🖕🖕Hii ya 2019 Ndio wamemdanganya Rais ni ya 2023?
Amekamatwa na tunaomba aachiwe haraka!Mdude amekatwa kumbe?
Kalale wwMh Rais,
Kitu kikubwa sana ulichoshinda pamoja na changamoto zilizojitokeza ni kuruhusu mjadala juu ya mkataba wa DP World. Huu ni uhuru wa kikatiba lakini tunajua upo udhaifu wa kikatiba ambao ukiamua kuutumia kikamilifu tusingepata uhuru wa kiwango hiki.
Kwahili lazima tukusifu kukubali mawe yanayorushwa kila kona kwako ingawa baadhi ya wasaidizi wako ni kama wamefikia ukomo wa uvumilivu na badala kukazana na hoja sasa wameamua kutumia njia zisizo salama.
Lakini mkuu wetu kwanini vitisho kwa wanaohoji juu ya mkataba wa Dp world?
Kwanini kukamatwa kwa akina Mdude Nyangali?
Kuacha mjadala kushika hatamu na kuamua hatma ya taifa ni kitu cha pekee umefanya na usiruhusu machawa kuvuruga jambo hili jema sana kwako.
Hii ni sauti ya kiungwana kutoka Kaisho, Kyerwa! Asante sana Mh Rais!
Tuna imani nae, tunaomba Mdude na wenzake wawe huru.Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
Huo udhaifu wa kikatiba uliopo ambao anaweza kuutumia kunyima wananchi uhuru wa kuongea ni upi?Mh Rais,