Rais Samia: Sisi tunalumbana kuhusu Bandari, wenzetu wanatumia fursa

Mkuu kulitokea nini mida ile Bi Zuhra Yunuss anazungumza?ni kama kulitokea kitu fln hv na kusababisha kama taharuki kidogo
 
Siwapendi mabibi ila kuna libibi fulani hivi ndio la hovyo zaidi linapatikana Africa ya Puerto Rico ni la ajabu sana
 
Wapumbavu kama wewe ndio wako busy na mambo yao, ikiwa wanageuzwa watumwa ndani ya nchi yao bila kujali.
We ndo mtumwa tena wa akili yako mwenyewe.
Huna la kufanya!?
Kutwa kucha bandari bandari.
Utawehuka wewe!!
 
Hii ya 2019 Ndio wamemdanganya Rais ni ya 2023?
 

Attachments

  • IMG_2280.jpeg
    88.5 KB · Views: 3
Ndio maana hii Nchi inahitaji katiba mpya itakayopunguza nguvu za Rais .
Inaleta mashaka sana mtu alikuwa makamu wa Rais .
Ikapitishwa Sheria ya kulinda Raslimali za Taifa Leo hii ghafla anaamua kuibadili ili kutekeleza nia ovu yake eti anabadili muelekeo wa Nchi.
Shame on her
 
Kenya waliweka bendera 2019
 
Kuna watu ukiwapa cheo Cha upambavu hata kuwasikiliza ni kinyaa tupu.
 
Wabongo wame jua kukera bibi kiremba alizani mambo yata isha kimya kimya na anavyo jua kususa
 
Mh Rais,

Kitu kikubwa sana ulichoshinda pamoja na changamoto zilizojitokeza ni kuruhusu mjadala juu ya mkataba wa DP World. Huu ni uhuru wa kikatiba lakini tunajua upo udhaifu wa kikatiba ambao ukiamua kuutumia kikamilifu tusingepata uhuru wa kiwango hiki.

Kwahili lazima tukusifu kukubali mawe yanayorushwa kila kona kwako ingawa baadhi ya wasaidizi wako ni kama wamefikia ukomo wa uvumilivu na badala kukazana na hoja sasa wameamua kutumia njia zisizo salama.

Lakini mkuu wetu kwanini vitisho kwa wanaohoji juu ya mkataba wa Dp world?

Kwanini kukamatwa kwa akina Mdude Nyangali?

Kuacha mjadala kushika hatamu na kuamua hatma ya taifa ni kitu cha pekee umefanya na usiruhusu machawa kuvuruga jambo hili jema sana kwako.

Hii ni sauti ya kiungwana kutoka Kaisho, Kyerwa! Asante sana Mh Rais!
 
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hasan
 
Kalale ww
 
Huo udhaifu wa kikatiba uliopo ambao anaweza kuutumia kunyima wananchi uhuru wa kuongea ni upi?

Ni sehemu ipi ya katiba ambapo huo udhaifu upo?

Udhaifu pekee uliopo ni wa sisi wananchi kuwa ni waoga katika kulinda na kutetea haki zetu.

Samia na mtangulizi wake walipiga marufuku mikutano ya kisiasa si kwa sababu ya udhaifu wa katiba iliyopo.

Walifanikiwa kufanya hivyo kwa sababu ya ubwege wetu sisi wananchi.

Samia hastahili pongezi zozote kwa kufuata katiba inavyosema.

Watanzania tuna ubwege ambao unatufanya tuone hata matakwa yaliyo bare minimum kikatiba kuwa ni ya mtu kupongezwa anapoacha kuibaka katiba.

She doesn’t get nor deserve any plaudits for letting the constitution be!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…