Rais Samia sisi Watanzania tunakupenda sana

ChawaWaMama

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2023
Posts
1,765
Reaction score
3,277
Great Thinkers,

Rais Dkt Samia tangu aapishwe tumeshuhudia uendelevu wa amani, muendelezo wa hatua za kiuchumi, kisiasa, na kiutawala ambazo ziliachwa na Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia ni mzalendo, mchapa kazi na muumini wa maendeleo ya dhati kwa watanzania.

Rais Dkt Samia ameendelea kupanga timu yake ya ushindi kuelekea 2025, na tunaamini kabisa hana kinyongo nam tu yeyote anayemtumbua ila ni majukumu tu.

Rais Dkt Samia Watanzania tunakupenda sana
 
Huu upuuzi mtaacha lini?. Huwa mnaelewa kweli dhana ya "uchawa" au mnapuyanga tu.
 
Chawa uko vizuri. Upo maeneo gani ya mwili wa mama. (Sio kwa ubaya. Chawa anakaa kwenye mwili wa binadamu kama parasite)
 
Wanawake Oyeeeeeee
🤣🤣🤣💃🏽💃🏽💃🏽

Kazi iendeleee...

Mpo matarumbeta ma kii bodi (malizieni wenyewe).... Munajijuwa nipo😃 nawasoma tu.. muda bado..... Huyu mugeni wenu mpya... Naona kaja kuwapa yale munapenda.. 🤣🤣🤣🤣
 
Jibu hii hoja samia n nan na ametoka wap ......alikuwa nan miaka kadhaa nyuma ....nini kilicho mu change from her reign as a vice..
 
Hapana kabisa siyo huyo. Sisi ni watanzania wenye kumpenda Rais Dkt Samia, na tupo hapa kwa kazi moja tu nayo ni kuhakikisha hoja zenu zote tunazijibu.
Safi sana.
Chawa wa mama mko vizuri. Mnajibu hoja hamtembei na mapanga kama wale wengine chawa wa........!!
 
Great Thinkers,

Rais Dkt Samia tangu aapishwe tumeshuhudia uendelevu wa amani, muendelezo wa hatua za kiuchumi, kisiasa, na kiutawala ambazo ziliachwa na Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia ni mzalendo, mchapa kazi na muumini wa maendeleo ya dhati kwa watanzania.

Rais Dkt Samia ameendelea kupanga timu yake ya ushindi kuelekea 2025, na tunaamini kabisa hana kinyongo nam tu yeyote anayemtumbua ila ni majukumu tu.

Rais Dkt Samia Watanzania tunakupenda sana
Ilani imebadilika?
 
Hapana kabisa siyo huyo. Sisi ni watanzania wenye kumpenda Rais Dkt Samia, na tupo hapa kwa kazi moja tu nayo ni kuhakikisha hoja zenu zote tunazijibu.
"Wanamtandao"...!

Mmeanza mapema mno 'makampeni' yenu, waacheni watanzania wafanye kazi ili wapate angalao mlo wa siku.
Maisha yenyewe ccm imeyafanya magumu kama jiwe.
 
Great Thinkers,

Rais Dkt Samia tangu aapishwe tumeshuhudia uendelevu wa amani, muendelezo wa hatua za kiuchumi, kisiasa, na kiutawala ambazo ziliachwa na Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia ni mzalendo, mchapa kazi na muumini wa maendeleo ya dhati kwa watanzania.

Rais Dkt Samia ameendelea kupanga timu yake ya ushindi kuelekea 2025, na tunaamini kabisa hana kinyongo nam tu yeyote anayemtumbua ila ni majukumu tu.

Rais Dkt Samia Watanzania tunakupenda sana
Akawe rais Zanzibar sio huku kwetu.
 
Back
Top Bottom