Rais Samia sisi Watanzania tunakupenda sana

Rais Samia sisi Watanzania tunakupenda sana

Hebu acha utani. Leta hoja ujibiwe.
Ewe Chawa, umetumia njia gani kupima watanzania wote ukaja na majibu kuwa wote wanampenda sana mama?
Unaweza kuweka hapa methodology uliyotumia na jinsi gani ulipima matokeo?
 
Ewe Chawa, umetumia njia gani kupima watanzania wote ukaja na majibu kuwa wote wanampenda sana mama?
Unaweza kuweka hapa methodology uliyotumia na jinsi gani ulipima matokeo?
Akijibu swali hili kwa akili na umakini kama lilivyoulizwa basi nitapata picha tofauti na dhana niliyokuwa nayo ya hawa chawa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Dah....mie ni mtanzania.....mbona silijui hili? 😎 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom