ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Mimi mtanzaniaWw na nani?
Hapana kabisa, sisi ni watanzania wapenda maendeleo. Lengo ni kuhakikisha tunaweka taarifa sahihi za utendaji kazi wa serikali ya CCM chini ya mwenyekiti wetu Rais Dkt Samia. Hatuna kinyongo na mtu!Umejoin Leo saa kumi na moja? Nyie ndio mmekuja na huyu mama aliyemrithi Shaka itakuwa
Huu upuuzi mtaacha lini?. Huwa mnaelewa kweli dhana ya "uchawa" au mnapuyanga tu.Great Thinkers,
Rais Dkt Samia tangu aapishwe tumeshuhudia uendelevu wa amani, muendelezo wa hatua za kiuchumi, kisiasa, na kiutawala ambazo ziliachwa na Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia ni mzalendo, mchapa kazi na muumini wa maendeleo ya dhati kwa watanzania.
Rais Dkt Samia ameendelea kupanga timu yake ya ushindi kuelekea 2025, na tunaamini kabisa hana kinyongo nam tu yeyote anayemtumbua ila ni majukumu tu.
Rais Dkt Samia Watanzania tunakupenda sana
Hebu acha utani. Leta hoja ujibiwe.Chawa uko vizuri. Upo maeneo gani ya mwili wa mama. (Sio kwa ubaya. Chawa anakaa kwenye mwili wa binadamu kama parasite)
🤣🤣🤣au ndio huyo huyoUmejoin Leo saa kumi na moja? Nyie ndio mmekuja na huyu mama aliyemrithi Shaka itakuwa
Hapana kabisa siyo huyo. Sisi ni watanzania wenye kumpenda Rais Dkt Samia, na tupo hapa kwa kazi moja tu nayo ni kuhakikisha hoja zenu zote tunazijibu.🤣🤣🤣au ndio huyo huyo
Safi sana.Hapana kabisa siyo huyo. Sisi ni watanzania wenye kumpenda Rais Dkt Samia, na tupo hapa kwa kazi moja tu nayo ni kuhakikisha hoja zenu zote tunazijibu.
Ilani imebadilika?Great Thinkers,
Rais Dkt Samia tangu aapishwe tumeshuhudia uendelevu wa amani, muendelezo wa hatua za kiuchumi, kisiasa, na kiutawala ambazo ziliachwa na Dkt Magufuli. Rais Dkt Samia ni mzalendo, mchapa kazi na muumini wa maendeleo ya dhati kwa watanzania.
Rais Dkt Samia ameendelea kupanga timu yake ya ushindi kuelekea 2025, na tunaamini kabisa hana kinyongo nam tu yeyote anayemtumbua ila ni majukumu tu.
Rais Dkt Samia Watanzania tunakupenda sana
"Wanamtandao"...!Hapana kabisa siyo huyo. Sisi ni watanzania wenye kumpenda Rais Dkt Samia, na tupo hapa kwa kazi moja tu nayo ni kuhakikisha hoja zenu zote tunazijibu.
Akawe rais Zanzibar sio huku kwetu.Great Thinkers,