Rais Samia Songa mbele Mama, kuongoza Watanzania inahitaji moyo wa chuma na uvumilivu maana ni vigeugeu

Mjinga msomi katika ubora wako
 
Tena, Mamilioni ya Watanzania wameshamgeuka mpaka umeacha kazi ya ku report na sasa umejipa kazi ya kumpa moyo😃
 
Ati Wananchi ndio waliokuwa na kigegugeu?


'Ahhh' 'oh' Kazi ziendeleee

Oh Ahhh simba wa yuda

ehhh iiih kwa kamba yako

Ahh ehhh Never never

Kazi iendelee, ipi hiyo?
Kwa hayo nani.mwenye kigeugeu?


Mmemguza akawapa masikio mkadanganya SSH ajitenge na Chama chake, mwanzoni tu mwa Utawala wake, Akaharibu, akajikwaa, kashtuka 2025 hiyo hapo na watunza mabakuli (CCM wenzake) wamenuna kwa kutengwa, afanye nini? Kaenda kwa wajomba kapewa Masinia kwa masinia tayari kwa mpambano na 2025....nani mwenye kigeugeu? Sasa wananchi wanalia na hawajui wanapelekwa wapi, na kwaavile ameziba masikio ndio kabisa kageuka kigeugeu....

'Serikali ya Kuwasikiliza wananchi hii' 'Uhuru, kamba yako tu' longa tuuuu '

sasa ameziba masikio, nani kigeugeu?

hawasikii kina Mwashambwa na magenge yake wala Wananchi wake!

, tabu tupu!

vigeugeu my foot, Mfyuuuuuuuuuuu
 
Tuliza akili yako kwanza ndio uje uandike hapa ,maana naona kichwa hakipo sawa ndio maana umepaniki.
 
Huyo ndio Lucas Mbumbumbu Mwashambwa.
Mnyiha mwenye shobo class A.
 
Kuna watu mnapenda kuwa abused again and again, mmeathirika kisaikolojia, unadhania sifa kuleta mada kama hizi kumbe tunakuona mgonjwa.,
 
Alooooooooo.
aliyesoma yote anipe short summary in 10 words
 
Hapana mimi sitafuti uteuzi bali naongea ukweli tu kwa moyo wa uzalendo na upendo kwa Taifa langu.
Wewe unaongea kama chawa mbobezi huna uzalendo wowote!
Wazalendo wanapigania rasilimali zao zisiporwe wewe unashabikia hawa mafisadi wakiongozwa na Samia wafilisi nchi! Wazalendo hasa wa nchi hii wanachukia rushwa ilivyoshamili kwenye serikali hii.
 
Sawa kabisa mkuu uzalendo wako si wa kutilia shaka. Achana na akina Mwabukusi wasiojotambua.
 
Bahati nzuri sijawahi kusoma nyuzi zako. Vichwa vya uzi tu ni upuuzi mtupu.
Wewe kaka ungejaribu kupunguza shobo, jinsi unavyomuabudu huyo binadamu.
Namba ya simu haitoshi, weka picha yako tuone upachikwe kitengo gani. Nyo nyo nyo nyo
 
Bahati nzuri sijawahi kusoma nyuzi zako. Vichwa vya uzi tu ni upuuzi mtupu.
Wewe kaka ungejaribu kupunguza shobo, jinsi unavyomuabudu huyo binadamu.
Namba ya simu haitoshi, weka picha yako tuone upachikwe kitengo gani. Nyo nyo nyo nyo
Andika kwa kutuliza kichwa chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…