CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
MAMA NAOMBA UTEUZI
LUKAS MWASHAMBWA.
NAMBA. 0742-676627
LUKAS MWASHAMBWA.
NAMBA. 0742-676627
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjinga msomi katika ubora wakoNdugu zangu watanzania,
Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu,upendo ,huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu,tunaofanya mambo na kazi kwa kusukumwa na kuvizia vizia,. watanzania haturidhiki wala kuwa na shukurani hata pale tunapotendewa mema.
Chukua dakika moja kufikiri ni kiongozi yupi wa ngazi ya urais ambaye wakati wa utawala wake hakulaumiwa ,kutukanwa ,kusingiziwa ,Kumchonganisha na wananchi,kumuombea mabaya ,kumlaani,kumtukana kuanzia utawala na uongozi wa Hayati mwalimu nyerere mpaka mh Dr Mama Samia suluhu Hasssan?ni yupi ambaye hakuitwa Dikteta? Yupi ambaye hakuambiwa ana mipango mibovu ya uchumi? Yupi ambaye hakuambiwa amalize haraka miaka yake madarakani ili akalee na kucheza na wajukuu zake? Yupi ambaye hakuambiwa anawafukarisha watanzania?
Ni watanzania wangapi kwa masikio yenu watanzania wenzangu wazalendo mmesikia kila utawala mmoja ukipita huanza kukumbukwa ukilinganishwa na unaokuwepo wakati huo? Ilikuwa hivyo wakati wa mwinyi watu wakasema bora mwalimu nyerere arejee madarakani,ikawa hivyo wakati wa hayati Benjamin mkapa ambapo watu wakasema bora mwinyi kuliko mkapa, ikaendelea hivyo kwa mh mzee wangu Dr Jakaya mrisho Kikwete ambapo watu wakasema bora Mh Benjamini mkapa mambo yalikuwa sawa,ikaja kwa Hayati Mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli watu wakalalama na kulaani na kusema bora Mh Dr Jakaya Kikwete mambo yalikuwa safii na sasa Tupo na mama yetu kipenzi shujaa wa Afrika Nembo ya Tanzania na Nuru ya wanyonge mama samia suluhu Hasssan ,watu wale wale waliompinga kwa nguvu zao zote ,kwa matusi,kejeri,dharau ,dhihaka ,hila ,udhalilishaji na chuki sasa wameanza kumshambulia mama yetu na kusema bora Hayati Magufuli.
Midomo ile ile iliyotanuka kama ya akina Tundu lissu kumtukana Hayati magufuli ndani na nje ya mipaka ya Tanzania ,sasa wanamuona shujaa wakati walimuua kimaneno na kimaombi akiwa angali bado hai.Hii maana yake nini? Jibu ni kuwa sisi watanzania ni wanafiki wa kiwango cha juu sana,ni vigeugeu sana na tunaohitaji kiongozi mwenye moyo wa chuma asiye tazama nyuma wala kujali makelele na aliyeamua kuziba masikio kama alivyosema mama yetu kipenzi mama samia alipokuwa jijini Arusha, watanzania ukiwasikiliza sana lazima ukwame tu,lazima uyumbe kiuongozi,lazima upoteze dira na muelekeo wako,lazima uchelewe kuwafikisha nchi ya asali na maziwa ,lazima ujute kuwafahamu,lazima usosononeke moyoni mwako,lazima uwe na mawazo mengi ya nini ufanye kuwaridhisha watanzania,kwa kuwa watanzania hawaridhiki wala kutosheka,inabidi wakati mwingine uwaswage kwenda mbele na ukiwafikisha ng'ambo ya pili ya mto ndio watajuwa kuwa dhamira yako ilikuwa njema.
Mama yangu na Rais wangu mama samia Songa mbele kwa kishindo,usitazame nyuma wala kugeuka,kama ulivyotuasa kutazama mbele kwa matumaini badala ya hofu ya kupasa nawe kutazama mahali ulipodhamilia kuwafikisha watanzania kimaendeleo pasipo kujali maneno yao,acha waongee wewe chapa kazi na Songa mbele tuu, Tembea na dira yako,tazama Malengo yako na mtangulize Mungu wetu aliye hai katika shughuli na majukumu yako yote ya Urais maana siyo wote wanaofurahia mafanikio yako japo wanaweza kuwa katikati yako kati ya wale unaowaamini na kuwasikiliza,wapo wanaosubiri na kutamani kuona anguko lako ,lakini nakupa imani kuwa Mungu Aliyekuinua kiuongozi yupo upande wako na upande wa Taifa letu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Tena, Mamilioni ya Watanzania wameshamgeuka mpaka umeacha kazi ya ku report na sasa umejipa kazi ya kumpa moyo😃Ndugu zangu watanzania,

Kwa hiyo kusoma hujui hadi uulize maswali hayo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kuulizaUnaunga mkono nini hasa? Kwanini hutaji unachokisema kinamyumbisha huyo unayemwita mama?
Sawa nashukuru sana mkuuMjinga msomi katika ubora wako
Rais samia anaendelea kukubalika na kupendwa na mamilioni ya watanzania.Tena, Mamilioni ya Watanzania wameshamgeuka mpaka umeacha kazi ya ku report na sasa umejipa kazi ya kumpa moyo😃
Tuliza akili yako kwanza ndio uje uandike hapa ,maana naona kichwa hakipo sawa ndio maana umepaniki.Umelewa wewe. Umeamua kumtukana mpaka mama yako aliyekuzaa ili upate nini? Unataka uteuzi? Unafikiri mama yako mzazi hana hadhi ya kuitwa mama? Ukipata laana kutoka kwa mama yako mzazi unayemdharau na kujichagulia wanasiasa wezi na waongo ukiwaita mama, hata uteuliwe wapi wewe huna maana na utakufa mwenye hasara duniani na mbinguni. Jitafakari.
Mimi siandiki hapa kwa ajili ya kutafuta fadhila za kupata kitu bali nalitetea Taifa langu .MAMA NAOMBA UTEUZI
LUKAS MSAMBWANDA
NAMBA. 0742-676627
Aloooooooooo.Huyo ndio Lucas Mbumbumbu Mwashambwa.
Mnyiha mwenye shobo class A.
Acha ukabila na mawazo ya kikabila ndugu yangu.Huyo ndio Lucas Mbumbumbu Mwashambwa.
Mnyiha mwenye shobo class A.
Wewe unaongea kama chawa mbobezi huna uzalendo wowote!Hapana mimi sitafuti uteuzi bali naongea ukweli tu kwa moyo wa uzalendo na upendo kwa Taifa langu.
Sawa kabisa mkuu uzalendo wako si wa kutilia shaka. Achana na akina Mwabukusi wasiojotambua.Ndugu zangu watanzania,
Ukiwa kiongozi Tanzania hasa ngazi ya Urais inahitaji kifua kipana,moyo mkubwa,moyo wa uvumilivu,upendo ,huruma na moyo wa msamaha katika kuwaongoza na kuwatumikia watanzania,kwa kuwa sisi watanzania kwa kiwango kikubwa ni walalamishi, vigeugeu,tunaofanya mambo na kazi kwa kusukumwa na kuvizia vizia,. watanzania haturidhiki wala kuwa na shukurani hata pale tunapotendewa mema.
Chukua dakika moja kufikiri ni kiongozi yupi wa ngazi ya urais ambaye wakati wa utawala wake hakulaumiwa ,kutukanwa ,kusingiziwa ,Kumchonganisha na wananchi,kumuombea mabaya ,kumlaani,kumtukana kuanzia utawala na uongozi wa Hayati mwalimu nyerere mpaka mh Dr Mama Samia suluhu Hasssan?ni yupi ambaye hakuitwa Dikteta? Yupi ambaye hakuambiwa ana mipango mibovu ya uchumi? Yupi ambaye hakuambiwa amalize haraka miaka yake madarakani ili akalee na kucheza na wajukuu zake? Yupi ambaye hakuambiwa anawafukarisha watanzania?
Ni watanzania wangapi kwa masikio yenu watanzania wenzangu wazalendo mmesikia kila utawala mmoja ukipita huanza kukumbukwa ukilinganishwa na unaokuwepo wakati huo? Ilikuwa hivyo wakati wa mwinyi watu wakasema bora mwalimu nyerere arejee madarakani,ikawa hivyo wakati wa hayati Benjamin mkapa ambapo watu wakasema bora mwinyi kuliko mkapa, ikaendelea hivyo kwa mh mzee wangu Dr Jakaya mrisho Kikwete ambapo watu wakasema bora Mh Benjamini mkapa mambo yalikuwa sawa,ikaja kwa Hayati Mwalimu Dr John pombe Joseph Magufuli watu wakalalama na kulaani na kusema bora Mh Dr Jakaya Kikwete mambo yalikuwa safii na sasa Tupo na mama yetu kipenzi shujaa wa Afrika Nembo ya Tanzania na Nuru ya wanyonge mama samia suluhu Hasssan ,watu wale wale waliompinga kwa nguvu zao zote ,kwa matusi,kejeri,dharau ,dhihaka ,hila ,udhalilishaji na chuki sasa wameanza kumshambulia mama yetu na kusema bora Hayati Magufuli.
Midomo ile ile iliyotanuka kama ya akina Tundu lissu kumtukana Hayati magufuli ndani na nje ya mipaka ya Tanzania ,sasa wanamuona shujaa wakati walimuua kimaneno na kimaombi akiwa angali bado hai.Hii maana yake nini? Jibu ni kuwa sisi watanzania ni wanafiki wa kiwango cha juu sana,ni vigeugeu sana na tunaohitaji kiongozi mwenye moyo wa chuma asiye tazama nyuma wala kujali makelele na aliyeamua kuziba masikio kama alivyosema mama yetu kipenzi mama samia alipokuwa jijini Arusha, watanzania ukiwasikiliza sana lazima ukwame tu,lazima uyumbe kiuongozi,lazima upoteze dira na muelekeo wako,lazima uchelewe kuwafikisha nchi ya asali na maziwa ,lazima ujute kuwafahamu,lazima usosononeke moyoni mwako,lazima uwe na mawazo mengi ya nini ufanye kuwaridhisha watanzania,kwa kuwa watanzania hawaridhiki wala kutosheka,inabidi wakati mwingine uwaswage kwenda mbele na ukiwafikisha ng'ambo ya pili ya mto ndio watajuwa kuwa dhamira yako ilikuwa njema.
Mama yangu na Rais wangu mama samia Songa mbele kwa kishindo,usitazame nyuma wala kugeuka,kama ulivyotuasa kutazama mbele kwa matumaini badala ya hofu ya kupasa nawe kutazama mahali ulipodhamilia kuwafikisha watanzania kimaendeleo pasipo kujali maneno yao,acha waongee wewe chapa kazi na Songa mbele tuu, Tembea na dira yako,tazama Malengo yako na mtangulize Mungu wetu aliye hai katika shughuli na majukumu yako yote ya Urais maana siyo wote wanaofurahia mafanikio yako japo wanaweza kuwa katikati yako kati ya wale unaowaamini na kuwasikiliza,wapo wanaosubiri na kutamani kuona anguko lako ,lakini nakupa imani kuwa Mungu Aliyekuinua kiuongozi yupo upande wako na upande wa Taifa letu.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Mwambiyeni huyo Luka Msambwanda atafute japo milioni 5 tu. Asijtese sana zama zenyewe mambo kwa mambo 👌🏻MAMA NAOMBA UTEUZI
LUKAS MWASHAMBWA.
NAMBA. 0742-676627
Andika kwa kutuliza kichwa chakoBahati nzuri sijawahi kusoma nyuzi zako. Vichwa vya uzi tu ni upuuzi mtupu.
Wewe kaka ungejaribu kupunguza shobo, jinsi unavyomuabudu huyo binadamu.
Namba ya simu haitoshi, weka picha yako tuone upachikwe kitengo gani. Nyo nyo nyo nyo