Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Ngoja tuone mwanzo huu utakavyoendelea.
Kuna kipi hapo tena cha kusubiri mkuu Erythro, si amekwishasema sheria na taratibu ndio uwe mwongozo wetu katika kufanya mambo?

Kuna jambo lililowazi zaidi ya hilo?

Ina maana hata mhimili wa mahakama anawaachia kazi yao au?
 
Yes vitu vizuri tunaiga. Ulitaka tuige wapi mkuu kama sio huko Amerika na Ulaya?

Kwani mkuu wewe kinachokuuma ni nini ukiacha vyombo vya habari vifanye kazi yake? What are you afraid of?
siumi
Yes vitu vizuri tunaiga. Ulitaka tuige wapi mkuu kama sio huko Amerika na Ulaya?

Kwani mkuu wewe kinachokuuma ni nini ukiacha vyombo vya habari vifanye kazi yake? What are you afraid of?
Wapi nimesema visifanye kazi. Nadhani hujanaelewa dhima ya nilichoandika. Nimesema nashangaa Rais kusema vifungiwe kwa kufuata sheria. Nikahoji walipovifungia sheria haikufuata? Basi vyombo vikafanye madai kishetia kuwa vilionewa. Ni vema ukasoma na kuelewa. Nilipoongelea nje nimesema nchi nyingi nje wanasheria za vyombo vya habari ukivuka mpaka unashughulikiwa. Iwe ulaya au Amerika.
Hivyo unaposema kinaniuma. Nakushangaa. Soma vizuri mada uelewe. Nimeandika sijaegemea upande wowote.
 
Kila mtu atakufa, jambo la msingi hakikisha suala la kuua unamwachia Mungu.

Kibwengo alikuwa gwiji ka kuua wenzake, Corona imelikomesha limekufa na mavi yake
 
Next step ni hiyo ya kufuta sheria zote za kichawi na kishetani za mcwendazake.
Mwendazake ni wakati hajazikwa. Naona watu hutumia neno hili pasipo elewa. Akishazikwa ni Marehemu.
Tusimsimange mtu alotangulia mbele ya haki. Hujui kesho yako.
 
Kila mtu atakufa, jambo la msingi hakikisha suala la kuua unamwachia Mungu.

Kibwengo alikuwa gwiji ka kuua wenzake, Corona imelikomesha limekufa na mavi yake
Wewe unaushahidi kwamba aliuwa? Mbona mitume walitenda yote mazuri lakn hawakuishi maisha marefu?
Siri ya kifo ni Mungu pekee ajuae.
Tusijifanye kuhukumu. yeye kafikisha mika hiyo 61. Je weye hapo ulipo utafikisha hata 50?
Acha hzo lugha kama kweli unaamini ktk Mungu. Sikupenda baadhi ya mambo ya Magufuli. Lakini siwezi ongea jambo namwachia Mola ndo hajuae.
 
Mkuu ukwaju lile jukwaa letu pendwa la kule chinii kabisa lipo?
Mama kasema yafunguliwe, kila mtu awe huru tunawasubiri Mods na Director kimya kimya msiwaamshe watoto
Sheria iwe mkazo na tutachujana Member atakayezingua katika jamhuri aripotiwe
 
wewe Siri unaijua au upo kutetea
acha Mungu atoe adhabu zake amuweke panapohusika, tuna Rais ana miaka 98 sembuse 61 watu wema wanavuka na wanaona matunda ya tawala zao kwa vitukuu
wakati wa Akwilina sikukuona wala kukusikia leo unajifanya mtetezi wa mtesi
Utawala wa Mama sasa unatuweka huru, hata humu Jukwaani tulianza kutafutana kwa vitisho
Mwendazake ni wakati hajazikwa. Naona watu hutumia neno hili pasipo elewa. Akishazikwa ni Marehemu.
Tusimsimange mtu alotangulia mbele ya haki. Hujui kesho yako.
Mwenda zake ni aliyetangulia awe Marehemu au Hayati
 
Yule katibu ya wizara husika -Chemical Ali- kasema magazeti siyo vyombo vya habari bali zile tv za mtandaoni.
..
Tanzania Daima ni chombo cha habari na kitafunguliwa
hayo matamko nje ya Mama (Rais wa Jamhuri) mngeyaacha kwani kasema na yeye anashinda humu mpaka alfajiri ya saa 11 ndipo anaenda lala, mtatuponza
sasa mlipojifunza kuwa TBC na ITV ndio vyombo vya habari umechemka au TV za mitandaoni ndio kabisa hueleweki (TV Online)
 
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Siongei kishabiki. I need facts. Yeye ndo alimuuwa Akwilina. Au waongea kufurahisha nafsi.
Chukua kamusi tazama neno mwendazake. Usiongee toka hewani. Unadhani kifo chake ni adhabu. Wewe unajua kifo chako kitakuweje? Cha mateso au? Acha hizo lugha. Usidhani uwezi patwa na kifo. Tulia jenga nchi. Maneno ya kashfa kwa marehemu hayatokusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…