mwana wa africa
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 548
- 128
"Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kipi hapo tena cha kusubiri mkuu Erythro, si amekwishasema sheria na taratibu ndio uwe mwongozo wetu katika kufanya mambo?Ngoja tuone mwanzo huu utakavyoendelea.
Na mgongo wa mama yako.Bila kusahau papa la mama yako mzaz
Ajaze fomu ya kugombea huko aliko,aliwahi kuwaza hata kabla hajenda zake.Unakumbuka?Duuh JPM huko aliko anasikitika sana but...
ndio hivyo hawezi tena kuingilia mamlaka za duniani
Kinanani waliwachelewesha?Tulicheleweshwa sana.
Huenda aliona mbali kuliko tunavyodhaniAjaze fomu ya kugombea huko aliko,aliwahi kuwaza hata kabla hajenda zake.Unakumbuka?
siumiYes vitu vizuri tunaiga. Ulitaka tuige wapi mkuu kama sio huko Amerika na Ulaya?
Kwani mkuu wewe kinachokuuma ni nini ukiacha vyombo vya habari vifanye kazi yake? What are you afraid of?
Wapi nimesema visifanye kazi. Nadhani hujanaelewa dhima ya nilichoandika. Nimesema nashangaa Rais kusema vifungiwe kwa kufuata sheria. Nikahoji walipovifungia sheria haikufuata? Basi vyombo vikafanye madai kishetia kuwa vilionewa. Ni vema ukasoma na kuelewa. Nilipoongelea nje nimesema nchi nyingi nje wanasheria za vyombo vya habari ukivuka mpaka unashughulikiwa. Iwe ulaya au Amerika.Yes vitu vizuri tunaiga. Ulitaka tuige wapi mkuu kama sio huko Amerika na Ulaya?
Kwani mkuu wewe kinachokuuma ni nini ukiacha vyombo vya habari vifanye kazi yake? What are you afraid of?
Kila mtu atakufa, jambo la msingi hakikisha suala la kuua unamwachia Mungu.Mungu pekee ndo ajuae siri ya kifo. Jiulize weye ukifa mdomo utakuwa wapi? Na je utaishi milele? Na utapokufa ni kwa kifo gani? Kuna mambo ni kumwachia Mungu. Tuwe na akiba. Hata kama ulikuwa umpendi mtu.
Mch. Mtikila alishangilia kifo cha Nyerere. Lakini baada ya miaka 15 Mtikila alikufa. Tena ghafla kwa ajali ya gari. Tusihukumu tusije hukumiwa.
Mwendazake ni wakati hajazikwa. Naona watu hutumia neno hili pasipo elewa. Akishazikwa ni Marehemu.Next step ni hiyo ya kufuta sheria zote za kichawi na kishetani za mcwendazake.
Wewe unaushahidi kwamba aliuwa? Mbona mitume walitenda yote mazuri lakn hawakuishi maisha marefu?Kila mtu atakufa, jambo la msingi hakikisha suala la kuua unamwachia Mungu.
Kibwengo alikuwa gwiji ka kuua wenzake, Corona imelikomesha limekufa na mavi yake
Kama Maombi yake ya kuwaongoza Malaika yalikubaliwa, Sasa ni Zamu ya Malaika kunyooshwa kweli kweli.Duuh JPM huko aliko anasikitika sana but...
ndio hivyo hawezi tena kuingilia mamlaka za duniani
Mama kasema yafunguliwe, kila mtu awe huru tunawasubiri Mods na Director kimya kimya msiwaamshe watotoMkuu ukwaju lile jukwaa letu pendwa la kule chinii kabisa lipo?
wewe Siri unaijua au upo kuteteaWewe unaushahidi kwamba aliuwa? Mbona mitume walitenda yote mazuri lakn hawakuishi maisha marefu?
Siri ya kifo ni Mungu pekee ajuae.
Tusijifanye kuhukumu. yeye kafikisha mika hiyo 61. Je weye hapo ulipo utafikisha hata 50?
Acha hzo lugha kama kweli unaamini ktk Mungu. Sikupenda baadhi ya mambo ya Magufuli. Lakini siwezi ongea jambo namwachia Mola ndo hajuae.
Mwenda zake ni aliyetangulia awe Marehemu au HayatiMwendazake ni wakati hajazikwa. Naona watu hutumia neno hili pasipo elewa. Akishazikwa ni Marehemu.
Tusimsimange mtu alotangulia mbele ya haki. Hujui kesho yako.
Tanzania Daima ni chombo cha habari na kitafunguliwaYule katibu ya wizara husika -Chemical Ali- kasema magazeti siyo vyombo vya habari bali zile tv za mtandaoni.
..
Yale mabegi, maboksi na masandarusi ya kura feki zilizopigwa tayari yalikuwa ya nini?Itafika wakati mtaamini sasa kuwa hamkua mnaibiwa kura...
Jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Siongei kishabiki. I need facts. Yeye ndo alimuuwa Akwilina. Au waongea kufurahisha nafsi.wewe Siri unaijua au upo kutetea
acha Mungu atoe adhabu zake amuweke panapohusika, tuna Rais ana miaka 98 sembuse 61 watu wema wanavuka na wanaona matunda ya tawala zao kwa vitukuu
wakati wa Akwilina sikukuona wala kukusikia leo unajifanya mtetezi wa mtesi
Utawala wa Mama sasa unatuweka huru, hata humu Jukwaani tulianza kutafutana kwa vitisho
Mwenda zake ni aliyetangulia awe Marehemu au Ja