Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Makamba kaingiaje kwenye sheria za vyombo vya habari ?
 
Asante Mama lakini katiba mpya wasubiri kidogooo au siyo bi mkubwa.
 

Hiyo sheria ya vyombo vya habari ilianza kufanyiwa mchakato kipindi gani(Mwaka)?
 
Hassan Abbas bado ni KM wa hiyo wizara, ni mkubwa kwa Msigwa, SSH atoe tu maelezo wafungulie kila kitu watafungua. Nimekumbuka Abiy Ahmed wa Ethiopia alijaribu kufanya ujinga huu huu, vibaraka wa Magharibu wakamsifia sana hadi tuzo wakampa, kaishia kukaribisha mbwa msikitini sasa hivi anahangaika na genocides.
 
Abas toto la meko limegoma.
But who is Abas. Where is the concerned Minister ?
 
Huyu Abbas awe makini sana aangalie zama zimebadilika.
Tusifiche uozo,
Uwezo wa Abas ni wa kiwango cha juu sana. Tumwache afanye kazi zake za kitaalam. Ukijaribu kuvikurupukia baadhi ya vyombo vya Habari vya ovyoo nchi haitotawalika.
Najua tunapenda uhuru sana, Kumbuka uhuru ukizidi ni fedheha kwa Taifa utasababisha kila mtu kuwa na huru wake Mfano Mashoga wanataka uhuru wao Wauzaji wa Madawa ya kulevya wanataka uhuru wao, Wachumia tumbo/Matapeli wanataka uhuru wao n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…