Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

Chief, inawezekana watunga sheria wakaibuka out of nowhere na kutunga sheria Fulani pasipo na haja/umuhimu wa sheria hiyo?

Una kumbukumbu yoyote ya pale uhuru wa habari (kutoa na kupokea) ulipokua umefikia kwa nyakati zile zilizopelekea ‘msukumo’ wa utunzi na upitishaji wa hizi Sheria? (Ushahidi mwingi uko humu JF!)

Sheria zote za masuala ya media & mass communications, mara hii tumesahau muhusika/wahusika wakuu?

Kipindi hizi sheria zinapambaniwa, Mhe. January Makamba alikua kasimama duara gani? Na Mhe. Nape?

Side note; Sorry Chief, sijui kwanini ila every time I read your statements, Ndugu Lissu’s voice comes to my consciousness. Sijui kwanini!
Makamba kaingiaje kwenye sheria za vyombo vya habari ?
 
Unajua utawala wa mabavu ukoje? Nimekuwa nikisema mara nyingi ni hatari sana sheria za nchi kutungwa kukidhi utashi wa rais aliye madarakani.

Muhusika mkuu wa hizo sheria kandamizi alikuwa ni Magu, hao uliowataja kina Nape, Januari nk walikuwa ni wawasilishaji tu, na inawezekana pia walizikubali kwa ajili ya milo yao, na wao tuliwapa ukweli wao.

Hiyo side note, huo ni mtazamo wako, na una haki ya kuwaza utakacho maana ndio uhuru wa mawazo. Lakini sisi ni watu wawili tofauti japo tunatoka mkoa mmoja.

Hiyo sheria ya vyombo vya habari ilianza kufanyiwa mchakato kipindi gani(Mwaka)?
 
Hassan Abbas bado ni KM wa hiyo wizara, ni mkubwa kwa Msigwa, SSH atoe tu maelezo wafungulie kila kitu watafungua. Nimekumbuka Abiy Ahmed wa Ethiopia alijaribu kufanya ujinga huu huu, vibaraka wa Magharibu wakamsifia sana hadi tuzo wakampa, kaishia kukaribisha mbwa msikitini sasa hivi anahangaika na genocides.
 
Abas toto la meko limegoma.
But who is Abas. Where is the concerned Minister ?
 
Huyu Abbas awe makini sana aangalie zama zimebadilika.
Tusifiche uozo,
Uwezo wa Abas ni wa kiwango cha juu sana. Tumwache afanye kazi zake za kitaalam. Ukijaribu kuvikurupukia baadhi ya vyombo vya Habari vya ovyoo nchi haitotawalika.
Najua tunapenda uhuru sana, Kumbuka uhuru ukizidi ni fedheha kwa Taifa utasababisha kila mtu kuwa na huru wake Mfano Mashoga wanataka uhuru wao Wauzaji wa Madawa ya kulevya wanataka uhuru wao, Wachumia tumbo/Matapeli wanataka uhuru wao n.k.
 
Back
Top Bottom