chief_
JF-Expert Member
- Dec 14, 2017
- 830
- 1,395
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo inaoitwa Fuchu Minami kwa luga ya Kijapani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hiyo inaoitwa Fuchu Minami kwa luga ya Kijapani
upinzani unazikwa rasmi.Hivi unajua maana ya upinzani?
Na muda aki address tofauti na ilichotarajia ufurahi pia.Mama anajua kutufurahisha
Pale juu panahitaji mtu mwenye msimamo,anachofanya yeye ni kama kutaka kuwafurahisa watu fulani,anajizungusha zungusha tu hakuna cha maana anachofanya.ngoja amalizie hii miaka mtakuja kuona.Mataga mtapata tabu sana. Magufuli aliwadekeza sana. Ni wakati kwenu kumkubali Rais wenu mpya. Mkikosa utii kwake, mtaishi maisha magumu sana kuanzia sasa.
Wajulishe na wenzako akina Jane Lowassa , Elitwege, Kawe Alumni , nk ya kwamba mambo yamebadilika sasa. Jeuri na majivuno yenu yote, kwisha!!
MWANAHALISI ya Ndimala Tegambwage? Oyeeeee 😆😆hadi nimekumbuka magazeti yangu pendwa Rai nguvu ya hoja na Tanzania daima
But hili lipo wazi. Diwani au Mbunge yupo huru kufanya mkutano wa siasa kwenye eneo analoliwakilisha.Pia asisahau kugusa issue ya mikutano ya vyama vya siasa na mikutano yao
Najua inakuuma wewe gang... Pole sanaNa muda aki address tofauti na ilichotarajia ufurahi pia
Najua ni jambo ambalo halitakua na muda wale wakora mtafungiwa tena.Wapi ww, mahali pa kikosewa wanapewa ukweli wao. Naona kimekuuma utawala wa dhalimu rasmi unafutwa nchini. Mungu nakushukuru kwa kuamua kufanya mabadiliko bila damu kumwagika. Ndani ya miaka mitano iliyopita nchi hii ilikuwa mikononi mwa shetani, sasa Mungu ameamua wananchi waishi kwa amani, kwani shetani hana mamlaka hapa duniani.
We mmallayya hebu tulia...Wewe unadhani Urais ni kuwa na roho mbaya? Halafu acha dharau kwa Rais, umbwa wewe!
Tanzania Daima!