Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.

Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.

Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.

Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.

Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa.
Mawazo yako mafupi sana! Samia na serikali yote inaendelea kutekeleza ilani ya CCM! Samia hawezi shuka na ilani yake nyingine! Sasa kama timu aliyokuwa nayo Magu ilionyesha kufanikiwa ni ndondocha tu ndio anaweza itosa timu kama hiyo! Industrial revolution siyo ya kukamilika ktk miaka 5 tu na hapa hutuwezi sema JPM alishindwa maana hata muda wake ulikuwa bado kuisha! Kimsingi, ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere ni msingi mkuu wa mapinduzi hayo ya viwanda! Ww unaonekana eithee hutumii akili au unachuki kubwa júu ya JPM na chochote kinachomuwakilisha! Pole yako maana Magu aligusa kila sehemu!
 
Kwani samia ametokana na serikali gani? Alikuwa anayahubiri ya nani? Amekabidhiwa ilani ipi? Amenadi sera zipi? MAJIBU YA HAYA MASWALI YATAKUFANYA UFIKIRI UPYA.
Yeye anaweza akawa CCM lakini asiwe na sifa za kupenda kusifiwa, asiwe na sifa za kucheza na jukwaa, asiwe na sifa za kumkomoa mtu, asiwe na sifa za roho mbaya nk
 
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.

Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.

Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.

Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.

Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa.
Mawazo yako mafupi sana! Samia na serikali yote inaendelea kutekeleza ilani ya CCM! Samia hawezi shuka na ilani yake nyingine! Sasa kama timu aliyokuwa nayo Magu ilionyesha kufanikiwa ndo ndondocha tu ndio anaweza itosa timu kama hiyo! Industrial revolution siyo ya kukamilika ktk miaka 5 tu, na wapa hutuwezi sema JPM alishindwa maana hata muda wake ulikuwa bado kuisha! Kimsingi, ujenzo wa bwawa la Mwl Nyerere ni msingi mkuu wa mapinduzi hayo ya viwanda! Ww unaonekana eithee hutumii akili au unachoki kubwa júu ya JPM na chochote kinachomuwakilisha! Pole yako maana Magu aligusa kila sehemu!
 
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.
Acha kujidanganya. Samia anafuata sera za CCM na sio ushauri wako
 
KUmbuka kilichopo mbele yao ni ilani ya uchaguzi 2020 - 2025.....

Hope kutakuwa na review ya hapa na pale kuondoa ile ujeshi wa mtu mmoja....

Hotuba ya Magufuli ufunguzi binge la pili ilitoa natumaini mazuri Sana. Ni vema yakakamilika ili na sir tuenjoy...

Kama hujaisoma nenda ukaisome

Kama uliisoma juu juu kaisome Tena mara ya pili uielewe vema
Hakuna lolote zaidi ya kutupulizia wakati tunaumizwa.
 
Keshawapuuza sasa mmeanza ramli na matusi. Asante Rais Samia kwa kupuuza hiki kikundi cha wahalufu kazi iendelee
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.

Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.

Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.

Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.

Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa.
 
Akili yako fupi mno mno pole sana
kasome ilani ya uchaguzi ya CCM
kazi zinazofanyika ni zile walizoahidi wakati wa kampeni ambazo Magu alishaanza.....
ama unataka maza aje na project zake ie Tz kwenda sayari ya Pluto!!??
Kwahiyo hata bila mama serikali itaendeshwa tu na ilani, msimfanye mama kama roboti.
 
Isikupe wasiwasi. Huwezi tathmini dira na misimamo ya kiongozi ndani ya siku 25. Viongozi hupimwa kwa siku 100, 90 na hatimaye mwaka.

Hiyo hotuba ya Waziri Mkuu ilitayarishwa kuanzia Desemba 2020 na by Machi ilikuwa imekamilika. Asingeweza kubadili chochote kilichomo mule so soon.

Na kinachosomwa kwenye budget more or less ni ahadi tu siyo lazima kitekelezwe
Comment imeeleweka vizuri
 
Keshawapuuza sasa mmeanza ramli na matusi.Asante Rais Samia kwa kupuuza hiki kikundi cha wahalufu kazi iendelee
Nani kapuuzwa na kwa lipi, hata corona tuliwaambia ipo mkaipuuza matokeo yake mnayajua.
 
Muachage ujinga, rais hana vipaumbele, kuna vipaumbele vya chama ambavyo ni ilani ilishinda baada ya kupigiwa kura na wananchi, mbona mnakuwa mapopoma, samia ni rais wa kurithi, hana ubavu wa atakavyo

Kwa katiba hii labda awe rais muoga tu, anaweza kutekeleza chochote atakacho na hakuna wa kumfanya lolote. Kwenye ilani ya ccm ya 2015 ilisema mwanafunzi akipata mimba atarejea shuleni, Magufuli aliongea tena kwa kiburi kuwa serikali yake haitasomesha wazazi. Ilani hiyo hiyo iliahidi kumalizia mchakato wa katiba mpya, lakini Magufuli alitamka hadharani, mchana kweupe kuwa hana muda na katiba mpya, na hakuna aliyesema afuate ilani.

Huyo mama akiaamua kufuata ilani ni sawa, ila ni kwakuwa atakuwa hana maono yoyote binafsi anayoyaamini, lakini akitaka anafanya lolote, na wasaka mlo watajitokeza kumsifia kama kawaida.
 
Muachage ujinga, rais hana vipaumbele, kuna vipaumbele vya chama ambavyo ni ilani ilishinda baada ya kupigiwa kura na wananchi, mbona mnakuwa mapopoma, samia ni rais wa kurithi, hana ubavu wa atakavyo
Wewe ndiye kabisa hujielewi , kwa taarifa yako wewe uliye usingizini tena wa pono.

Mama Samia ni rais kamili mara tu baada ya kuapishwa kuwa rais wa JMT ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya hapa nchini.

Kwahiyo kama bado upo ndotoni basi amka sasa maana utaachwa umelala.
Na kama hukubali basi hama nchi rudi kwenu burundi.
 
Yeye anaweza akawa ccm lkn asiwe na sifa za kupenda kusifiwa, asiwe na sifa za kucheza na jukwaa, asiwe na sifa za kumkomoa mtu, asiwe na sifa za roho mbaya nk
Hoja hapa mnataka Majaliwa atemwe au asiwe na hizo sifa ulizotaja?
Ni kama mmechanganyikiwa kila kitu mnataka nyie, wakati mna mbunge mmoja tu
 
Wanamkwamisha kwenye nini?

Yeye kuna sehemu amekulalamikia kua anakwamishwa? Mazungumzo yake na Majaliwa unayajua? Unajuaje kama majaliwa anamkwamisha?

Tuache kua wapiga ramli na wasoma nyota, tumuache mama afanye anavyotaka. Tusimpangie watu wa kufana nao kazi. Yeye ni mtu mzima ana utashi wake.

Waganga njaa sasa mnataka kumpangia mama watu wa kufanya nae kazi.
Cha kufanya azidi kuwatimua kazi wale woote walioshiriki kwenye serikali ya awamu ya 5 kufanikisha ufisadi wa kihistoria tangu Tanzania ipate uhuru.
 
Akili yako fupi mno mno pole sana
kasome ilani ya uchaguzi ya CCM
kazi zinazofanyika ni zile walizoahidi wakati wa kampeni ambazo Magu alishaanza.....
ama unataka maza aje na project zake ie Tz kwenda sayari ya Pluto!!??
Kwahiyo na ufisadi auendeleze? Maana nao umefanyika kwenye awamu ya 5
 
Uko sahihi kabisa.

Hata magufuli vipaumbele vyake aliviweka kwenye ilani ya chama.

Rais hana vipaumbele vyake bali ni vya chama.

Sasa watu wanajiropokea tu wakishakula wali maharage wakashiba.
Kwa maelezo yako na ufisadi ilikuwa kwenye ilani yenu?
 
Mawazo yako mafupi sana! Samia na serikali yote inaendelea kutekeleza ilani ya ccm! Samia hawezi shuka na ilani yake nyingine! Sasa kama timu aliyokuwa nayo Magu ilionyesha kufanikiwa ndo ndondocha tu ndio anaweza itosa timu kama hiyo! Industrial revolution siyo ya kukamilika ktk miaka 5 tu, na wapa hutuwezi sema JPM alishindwa maana hata muda wake ulikuwa bado kuisha! Kimsingi, ujenzo wa bwawa la Mwl Nyerere ni msingi mkuu wa mapinduzi hayo ya viwanda! Ww unaonekana eithee hutumii akili au unachoki kubwa júu ya JPM na chochote kinachomuwakilisha! Pole yako maana Magu aligusa kila sehemu!
Ilifanikiwa kwenye miradi ipi hiyo unayopigia mapambio?
Yaani kutuingiza kwenye ufisadi wa kutisha ndiyo mafanikio kwako?

Wacheni masihara nyinyi mataga na chawa
 
Back
Top Bottom