Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe piga tu domo, hii nchi ni kubwa, ni mjinga tu ndio anaweza kuamini kwamba mama alikuwa na upepo kumzidi JPM, kama angepanga foleni ile 2015, angejiona nafasi yake, by the way mkae mtulie, huyo ni rais wetu wa kurithi anatutunzia nyumba kwa ajali iliyo tupata, 2025 tutafikiri upya... Akifanya vizuri nafasi anayo, akiboronga ndio mtaona rangi ya CCM 2025, atapigwa chenga ya mwili hata kwa chadema yenu mtu atapewa urais. Tunza sana maneno yanguKwa taarifa yako mama hawezi kamwe kusikiliza huo ujinga wenu maana tayari anawajua vema nyinyi wapiga zumari wa ccm.
Anataarifa zenu zote hivyo msijidanganye kumtisha mara hana ushawishi, mara hana umaarufu na kama ingekuwa umaarufu kwenye chama ndiyo kupata urais basi leo hii rais angekuwa Wasira.
Vision gani unayoongelea wewe?... mimi nijuavyo kuna national dvnt plan na ilani ya chama ambavyo ndio mwongozo ambao rais yeyote aingiapo madarakani anatakiwa aufuateKila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.
Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.
Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.
Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.
Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa.
Yeye alikua akishiriki kwenye serikali ya awamu ya 9?Cha kufanya azidi kuwatimua kazi wale woote walioshiriki kwenye serikali ya awamu ya 5 kufanikisha ufisadi wa kihistoria tangu tanzania ipate uhuru.
OpportunistPm muongo kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu! Anadanganya mpaka kwenye nyumba za ibada, Bungeni, nk.
Rais halazimiki kufuata ya mtangulizi wake maana hajakaimu Urais bali ameapishwa upya kama Rais mpya wa awamu ya 6.Kwani samia ametokana na serikali gani? Alikuwa anayahubiri ya nani? Amekabidhiwa ilani ipi? Amenadi sera zipi? MAJIBU YA HAYA MASWALI YATAKUFANYA UFIKIRI UPYA.
KUmbuka kilichopo mbele yao ni ilani ya uchaguzi 2020 - 2025.....
Hope kutakuwa na review ya hapa na pale kuondoa ile ujeshi wa mtu mmoja....
Hotuba ya Magufuli ufunguzi binge la pili ilitoa natumaini mazuri Sana. Ni vema yakakamilika ili na sir tuenjoy...
Kama hujaisoma nenda ukaisome
Kama uliisoma juu juu kaisome Tena mara ya pili uielewe vema
Hakuna asiyefahamu mtawala wa awamu ya 5 na alishajisema kuwa yeye hataki kushauriwa au unajifanya umesahau?Yeye alikua akishiriki kwenye serikali ya awamu ya 9?
Atawatimu kweli wafuasi wa mwendazakeYeye alikua akishiriki kwenye serikali ya awamu ya 9?
Lakini siyo mfuasi wa ufisadi ulifanyika chini ya mwendazakeKifupi PM na VP ni waumini wakubwa wa Mwendazake. Mama awe makini mno. Asikubali kuyumbishwa. Ikumbukwe Rais mpya huwa halazimishwi kuyaendeleza ya mtangulizi wake hata kama hayana tija. Na Bungeni naona walijipanga kabisa kusema waliyosema ili mradi eti aliye madarakani atekekeze yaliyoachwa. Siyo lazima. Atachagua yanayotekelezeka na yenye tija na kwa uwezo wa pesa ya ndani na nje.
Hilo mataga hawataki kulisikia maana wanaona hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi ya jiweRais halazimiki kufuata ya mtangulizi wake maana hajakaimu Urais bali ameapishwa uoya kama Rais mpya wa awamu ya 6.
Hawezi kukujibu, labda kama anataka kukumbatiwa yeyeKwani samia ametokana na serikali gani? Alikuwa anayahubiri ya nani? Amekabidhiwa ilani ipi? Amenadi sera zipi? MAJIBU YA HAYA MASWALI YATAKUFANYA UFIKIRI UPYA.
Pumbavu zako wewe mataga, yaani unamuita rais kuwa ni rais wa kurithi?Ww piga tu domo, hii nchi ni kubwa, ni mjinga tu ndio anaweza kuamini kwamba mama alikuwa na upepo kumzidi JPM, kama angepanga foleni ile 2015, angejiona nafasi yake, by the way mkae mtulie, huyo ni rais wetu wa kurithi anatutunzia nyumba kwa ajali iliyo tupata, 2025 tutafikiri upya... Akifanya vizuri nafasi anayo, akiboronga ndio mtaona rangi ya CCM 2025, atapigwa chenga ya mwili hata kwa chadema yenu mtu atapewa urais. Tunza sana maneno yangu