Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

Ilipaswa nchi ipate uchaguzi mkuu mwingine !

Awamu ya jiwe yote imetumia mabavu kufika hapo

 
Wewe piga tu domo, hii nchi ni kubwa, ni mjinga tu ndio anaweza kuamini kwamba mama alikuwa na upepo kumzidi JPM, kama angepanga foleni ile 2015, angejiona nafasi yake, by the way mkae mtulie, huyo ni rais wetu wa kurithi anatutunzia nyumba kwa ajali iliyo tupata, 2025 tutafikiri upya... Akifanya vizuri nafasi anayo, akiboronga ndio mtaona rangi ya CCM 2025, atapigwa chenga ya mwili hata kwa chadema yenu mtu atapewa urais. Tunza sana maneno yangu
 
”Nimefuatilia na kutafakari hoja za wabunge wa CCM dhidi ya Ripoti ya CAG kuhusu ubadhirifu uliokithiri Serikalini. Nimesikiliza hoja za kujaribu kutetea ‘legacy’ ya Rais wa Tano wa Tanzania. Naona kuna URATIBU wa jambo HATARI linaloweza kuwa linapangwa kutokea. Mungu apishe mbali”. - Zitto Kabwe.
 
Vision gani unayoongelea wewe?... mimi nijuavyo kuna national dvnt plan na ilani ya chama ambavyo ndio mwongozo ambao rais yeyote aingiapo madarakani anatakiwa aufuate
 
Cha kufanya azidi kuwatimua kazi wale woote walioshiriki kwenye serikali ya awamu ya 5 kufanikisha ufisadi wa kihistoria tangu tanzania ipate uhuru.
Yeye alikua akishiriki kwenye serikali ya awamu ya 9?
 
Kifupi PM na VP ni waumini wakubwa wa Mwendazake. Mama awe makini mno. Asikubali kuyumbishwa. Ikumbukwe Rais mpya huwa halazimishwi kuyaendeleza ya mtangulizi wake hata kama hayana tija. Na Bungeni naona walijipanga kabisa kusema waliyosema ili mradi eti aliye madarakani atekekeze yaliyoachwa. Siyo lazima. Atachagua yanayotekelezeka na yenye tija na kwa uwezo wa pesa ya ndani na nje.
 
wanasomaga basi..wenyewe wanajua kulaumu tu
 
Binafsi huwa siamini katika kubadili watendaji wa serikali kila mara.
Kama mtangulizi wake aliweza kufanya baadhi ya mambo na yakafanikiwa(hata kama yataonekana sasa hayakutakiwa kufanyika vile) huku akiwa naye PM, basi hata huyu wa sasa anaweza.
Kinachohitajika ni kukaa nao nankuwajenga wajue mwelekeo wa sasa ni upi na kufuta fikra za awali.
Lakini pia tukumbuke, mwendazake alikuwa na kila dalili za kutoshaurika. Huenda alikuwa ni sehemu ya mkwamo unaozungumziwa sasa.
 
Mpaka Sasa sijawekewa why Majaliwa Yuko pale .

Huyo mzee hata simuelewi muongo vibaya Sana[emoji849][emoji1][emoji15]
 
Lakini siyo mfuasi wa ufisadi ulifanyika chini ya mwendazake
 
Rais halazimiki kufuata ya mtangulizi wake maana hajakaimu Urais bali ameapishwa uoya kama Rais mpya wa awamu ya 6.
Hilo mataga hawataki kulisikia maana wanaona hakuna mwenye uwezo wa kuongoza zaidi ya jiwe
 
Kwani samia ametokana na serikali gani? Alikuwa anayahubiri ya nani? Amekabidhiwa ilani ipi? Amenadi sera zipi? MAJIBU YA HAYA MASWALI YATAKUFANYA UFIKIRI UPYA.
Hawezi kukujibu, labda kama anataka kukumbatiwa yeye
 
Pumbavu zako wewe mataga, yaani unamuita rais kuwa ni rais wa kurithi?
Una akili kweli wewe?


Sasa tuwaambieni wale woote mnaofikiria kumkwamisha rais kamwe hamtaweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…