Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio popoma kabisa... So kila mtizamo wa tofauti lazima iwe bavicha?Ukiangalia hoja za hawa bavicha unabaki kusema tu kumbe Mbowe ana miliki genge la wajinga
Eti urais wa kurithi.Ww vipi, kwani mm nimesema ni rais nusu... Mbona huna heshima, huyo ni rais wa kurithi, huo muda wa kutengeneza wafuasi ndani ya chama hana, hata huo ushawishi hana ndani ya chama, kufanya anachotaka huo uwezo hana kwa sasa, akifanya hivyo labda awe anataka kuua chama, maana 2025 kitakuwa kibarua sana, sasa huo upumbavu mnaotaka afanye kuna adhabu yake
Hakuna mtu anakataa asisemwe makosa yake, ila uongo, giliba na uzandiki tunavipinga kwa nguvu zote. Maana mnataka kutumia kete yake 2025. Sema ukweli acha uongoMagufuli ameacha mbegu mbaya sana kwamba hakosolewi na nyie mmejazwa upuuzi huo, atapingwa tu mpende msipende.
Alisha imba sana sasa ilikuwa niutekelezaji ndio mana unaona umeme wa uhakika utakao run viwanda unaandaliwa huko rufiji.Hivi karibuni kabla ya kifo chake ulimsikia akiimba Tanzania ya viwanda.
Kuna uongo upi wa Magufuli unaosemwa.Hakuna mtu anakataa asisemwe makosa yake, ila uongo, giliba na uzandiki tunavipinga kwa nguvu zote. Maana mnataka kutumia kete yake 2025. Sema ukweli acha uongo
Hivi nchi za viwanda zikiorodheshwa Tanzania itakuwepo?Alisha imba sana sasa ilikuwa niutekelezaji ndio mana unaona umeme wa uhakika utakao run viwanda unaandaliwa huko rufiji.
Nyie hamjui tu kuwa wana wa wachawi ndio wanazingua na ulozi wao. Hapa tz kitu kinachofanyiwa ulozi kupita kiasi kwa sasa ni feza na onatopp jinsi ya kupuliza ili wasije kuaibika mchana kweupe. Chunguza.Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.
Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.
Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.
Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.
Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa. Tutegemee miujiza.
Kusema Samia awe na vision yake ni chuki kwa hayati, siwalaumu mapenzi kwa hayati yalizidi mno.Mawazo yako mafupi sana! Samia na serikali yote inaendelea kutekeleza ilani ya ccm! Samia hawezi shuka na ilani yake nyingine! Sasa kama timu aliyokuwa nayo Magu ilionyesha kufanikiwa ni ndondocha tu ndio anaweza itosa timu kama hiyo! Industrial revolution siyo ya kukamilika ktk miaka 5 tu, na hapa hutuwezi sema JPM alishindwa maana hata muda wake ulikuwa bado kuisha! Kimsingi, ujenzi wa bwawa la Mwl Nyerere ni msingi mkuu wa mapinduzi hayo ya viwanda! Ww unaonekana eithee hutumii akili au unachuki kubwa júu ya JPM na chochote kinachomuwakilisha! Pole yako maana Magu aligusa kila sehemu!
Wale covid 19 ni wa chama gani tena?kila kitu mnataka nyie,wakati mna mbunge mmoja tu
Sasa kinyume chake. HAsira tulio nao hao ndio wameipoza! Sasa yeye awakumbatie ndio slama yake!Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.
Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.
Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.
Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.
Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa. Tutegemee miujiza.
Mambo yanatakiwa yaendelee. Period. Anaanzisha yake yeye aligombea? Miaka minne sio mingi asubiri agombee, atueleze maono yake, azitafute pesa na atekeleze maono yake!Mpaka sasa,kitendo cha yeye Samia kutounda serikali yake hasa huko top..asitegemee mafanikio.
Hawa ni watubwaliokuwa poluted na mfumo wa magufuli ambao wengi wameupinga kwa nguvu.
Kujitofautisha hata kama naye alikuwepo,tunaelewa hakuwa na sauti wala mamlaka kwa bosi wake achilia mbali nafasi yenyewe kikatiba...ni hamna kitu..
Kama alivyofanya kwa katibu mkuu kiongozi alipaswa aende na mbio hizo kwa PM, mawaziri.
Kwahiyo yeye pale ni sawa na roboti linaloendeshwa na ilani hana maamzi yake.Vision gani unayoongelea wew?...mimi nijuavyo kuna national dvnt plan na ilani ya chama ambavyo ndio mwongozo ambao rais yeyote aingiapo madarakani anatakiwa aufuate
Na mimi nimeshangaa sana eti Samia kapata urais wa kurithi, MATAGA walikuwa wamepumbazwa sana na mwendazake hawaamini kuwa hayupo ndio maana wanajifariji kwa kusema Magufuli kapata mrithi wake.Pumbavu zako wewe mataga, yaani unamuita rais kuwa ni rais wa kurithi?
Una akili kweli wewe?
Sasa tuwaambieni wale woote mnaofikiria kumkwamisha rais kamwe hamtaweza.
Mbona Jiwe alitekeleza yasiyo kwenye ilani?!Muachage ujinga, Rais hana vipaumbele, kuna vipaumbele vya chama ambavyo ni ilani ilishinda baada ya kupigiwa kura na wananchi, mbona mnakuwa mapopoma, Samia ni Rais wa kurithi, hana ubavu wa atakavyo
Will tell,..!Time
Inasikitisha sana na haya ni matokeo ya watu kupumbazwa kuwa mwendazake alikuwa ni malaika.Na mimi nimeshangaa sana eti Samia kapata urais wa kurithi, MATAGA walikuwa wamepumbazwa sana na mwendazake hawaamini kuwa hayupo ndio maana wanajifariji kwa kusema Magufuli kapata mrithi wake.
Vision yake ni ile ile kwakua anaedeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo tuliipigia kura sisi. Yeye alitembea nchi nzima kuifanyia campaign kumwekea maneno mdomoni kwamba eti hana vision or sijui hatakiwi kuendeleza ya hayati ni kukosa kuelewa maana ya yeye kuwa mgombea mwenza wakati ule wa campaign.Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.