Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

Ukiangalia hoja za hawa bavicha unabaki kusema tu kumbe Mbowe ana miliki genge la wajinga
 
Eti urais wa kurithi.
 
Magufuli ameacha mbegu mbaya sana kwamba hakosolewi na nyie mmejazwa upuuzi huo, atapingwa tu mpende msipende.
Hakuna mtu anakataa asisemwe makosa yake, ila uongo, giliba na uzandiki tunavipinga kwa nguvu zote. Maana mnataka kutumia kete yake 2025. Sema ukweli acha uongo
 
Hivi karibuni kabla ya kifo chake ulimsikia akiimba Tanzania ya viwanda.
Alisha imba sana sasa ilikuwa niutekelezaji ndio mana unaona umeme wa uhakika utakao run viwanda unaandaliwa huko rufiji.
 
Hakuna mtu anakataa asisemwe makosa yake, ila uongo, giliba na uzandiki tunavipinga kwa nguvu zote. Maana mnataka kutumia kete yake 2025. Sema ukweli acha uongo
Kuna uongo upi wa Magufuli unaosemwa.
 
Alisha imba sana sasa ilikuwa niutekelezaji ndio mana unaona umeme wa uhakika utakao run viwanda unaandaliwa huko rufiji.
Hivi nchi za viwanda zikiorodheshwa Tanzania itakuwepo?
 
Nyie hamjui tu kuwa wana wa wachawi ndio wanazingua na ulozi wao. Hapa tz kitu kinachofanyiwa ulozi kupita kiasi kwa sasa ni feza na onatopp jinsi ya kupuliza ili wasije kuaibika mchana kweupe. Chunguza.
 
Kusema Samia awe na vision yake ni chuki kwa hayati, siwalaumu mapenzi kwa hayati yalizidi mno.
 
Sasa kinyume chake. HAsira tulio nao hao ndio wameipoza! Sasa yeye awakumbatie ndio slama yake!
 
Mambo yanatakiwa yaendelee. Period. Anaanzisha yake yeye aligombea? Miaka minne sio mingi asubiri agombee, atueleze maono yake, azitafute pesa na atekeleze maono yake!
 
Vision gani unayoongelea wew?...mimi nijuavyo kuna national dvnt plan na ilani ya chama ambavyo ndio mwongozo ambao rais yeyote aingiapo madarakani anatakiwa aufuate
Kwahiyo yeye pale ni sawa na roboti linaloendeshwa na ilani hana maamzi yake.
 
Pumbavu zako wewe mataga, yaani unamuita rais kuwa ni rais wa kurithi?
Una akili kweli wewe?


Sasa tuwaambieni wale woote mnaofikiria kumkwamisha rais kamwe hamtaweza.
Na mimi nimeshangaa sana eti Samia kapata urais wa kurithi, MATAGA walikuwa wamepumbazwa sana na mwendazake hawaamini kuwa hayupo ndio maana wanajifariji kwa kusema Magufuli kapata mrithi wake.
 
Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa. Tutegemee miujiza.[emoji848][emoji848][emoji848][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Muachage ujinga, Rais hana vipaumbele, kuna vipaumbele vya chama ambavyo ni ilani ilishinda baada ya kupigiwa kura na wananchi, mbona mnakuwa mapopoma, Samia ni Rais wa kurithi, hana ubavu wa atakavyo
Mbona Jiwe alitekeleza yasiyo kwenye ilani?!
 
Na mimi nimeshangaa sana eti Samia kapata urais wa kurithi, MATAGA walikuwa wamepumbazwa sana na mwendazake hawaamini kuwa hayupo ndio maana wanajifariji kwa kusema Magufuli kapata mrithi wake.
Inasikitisha sana na haya ni matokeo ya watu kupumbazwa kuwa mwendazake alikuwa ni malaika.
 
Vision yake ni ile ile kwakua anaedeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo tuliipigia kura sisi. Yeye alitembea nchi nzima kuifanyia campaign kumwekea maneno mdomoni kwamba eti hana vision or sijui hatakiwi kuendeleza ya hayati ni kukosa kuelewa maana ya yeye kuwa mgombea mwenza wakati ule wa campaign.

Msimpotoshe Rais, mnayo matamanio yenu mengi yakiwa ya binafsi. Hii nchi ni yetu sote mumwache Rais aitekeleze ilani ya uchaguzi tuliyoipigia kura. Ndiyo mkataba wetu sisi raia na chama ambacho kilimchagua kuwa mgombea mwenza na kwa bahati mbaya aliyekuwa Rais alitutoka kwahiyo katiba inaelekeza mgombea mwenza awe ndiyo mshika usukani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…