Nyie ndiye ambao mpo kama fisi mkisubiri mkono udondoke. Kwani yeye hajui anachotakiwa kufanya? Huko ni kumkosea heshima napia ni kumweka Rais kwenye mazingira mabovu ya kushindwa kuwa huru kuamua kwaajili ya mustakabali wa taifa letuInasikitisha sana na haya ni matokeo ya watu kupumbazwa kuwa mwendazake alikuwa ni malaika.
Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.
Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.
Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.
Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.
Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa. Tutegemee miujiza.
fiki kaka sio unaongea tuKila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.
Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.
Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.
Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.
Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa. Tutegemee miujiza.
Tulisha waambia kuwa hilo kundi lenu lililo kuwa limeanza kumbeza mama yetu na kumtishia kuwa anabidi awabakishe watu wenu serikalini au ikulu kwa manufaa yenu hamtoweza.Nyie ndiye ambao mpo kama fisi mkisubiri mkono udondoke. Kwani yeye hajui anachotakiwa kufanya? Huko ni kumkosea heshima napia ni kumweka Rais kwenye mazingira mabovu ya kushindwa kuwa huru kuamua kwaajili ya mustakabali wa taifa letu
Kwa bahati mbaya sana hatuna makundi tunayoyajua zaidi ya CCM na Rais wetu ndiye msimamizi wa ilani yao, hayo yako uliyonayo utaendelea kubaki nayo sisi tukisonga mbele...Bado kidogo utagundua Mh. Rais hana huo upumbavu wenu mnaotaka kuwaaminisha watanzania kuwa kuna kundi hili na lile...Sisi ni watanzania wenye chama chao CCM ambachokimeunda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwakushinda uchaguzi wa kikatiba hapo 2020 na kwa sasa pamoja na Kamanda wetu JPM kulala kwa amani mkono wake wa Kuume Mama Samia Suluhu Hassan anaendeleza kazi yake...Ndiyo maana ya ile salamu mpya, upo?Tulisha waambia kuwa hilo kundi lenu lililo kuwa limeanza kumbeza mama yetu na kumtishia kuwa anabidi awabakishe watu wenu serikalini au ikulu kwa manufaa yenu hamtoweza.
Hilo kundi lenu halina tena meno kwa sasa ni kibogoyo tu na mama Samia sasa hivi ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi yetu hapa nchini.
Nadhani ulimsikia vema cdf pale chato siku ya mazishi ya mwendazake alivyo mhakikishia rais wetu.
Sasa kama nyie ni wanaume endeleeni na huo ushenzi wenu mmtajua kuwa hamjui.
2025 ni patamu, wapinzani wakijipanfa vizuri watachukua nchi, endapo mama atatelekeza miradi ya JPMWewe piga tu domo, hii nchi ni kubwa, ni mjinga tu ndio anaweza kuamini kwamba mama alikuwa na upepo kumzidi JPM, kama angepanga foleni ile 2015, angejiona nafasi yake, by the way mkae mtulie, huyo ni rais wetu wa kurithi anatutunzia nyumba kwa ajali iliyo tupata, 2025 tutafikiri upya... Akifanya vizuri nafasi anayo, akiboronga ndio mtaona rangi ya CCM 2025, atapigwa chenga ya mwili hata kwa chadema yenu mtu atapewa urais. Tunza sana maneno yangu
Endelea ila jua kuwa hilo kundi lenu linajulikana na muda ndiyo utaamua hatima yenuKwa bahati mbaya sana hatuna makundi tunayoyajua zaidi ya CCM na Rais wetu ndiye msimamizi wa ilani yako, hayo yako uliyonayo utaendelea kubaki nayo sisi tukisonga mbele...Bado kidogo utagundua Mh. Rais hana huo upumbavi wenu mnataka kuwaaminisha watanzania kuwa kuna kundi hili na lile...Sisi ni watanzania wenye chama chao CCM ambachokimenda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwakushinda uchaguzi wa kikatiba hapo 2020 na kwa sasa pamoja na Kamanda wetu JPM kulala kwa amani mkono wake wa Kuume Mama Samia Suluhu Hassan anaendeleza kazi yake...Ndiyo maana ya ile salamu mpya upo?
Pole sana kwakuwa na wishful thinking, time will heal your ignorance and arrogance!
Hahaha..mmeanza kuugua naona..yaan mtapasuka awamu hii..na bado..mnataka kumpangia mama nani wa kukaa nani wakutoka...Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.
Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.
Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.
Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.
Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa. Tutegemee miujiza.
Mbona huelewi wa mwanamke! Ilani ya magufuli na ya kikwete ni tofaut..ndio mana kila uchanguzi mkuu baada ya 10yrs kunakuwa na ilani mpya..kwa case ya samia ni tofauti..ilani aliokuwa nayo magu ndio hiyo hiyo anaeitekeleza samia mana bado miaka 10 haijatimia..hivyo maono magu ndiyo hayo hayo ya samia mana walikuwa wanatekeleza ilani hiyo hiyo..Sawa, kila Rais huwa na maono yake, utawala wa Kikwete na Magufuli ulikuwa tofauti kabisa pamoja na kutumia ilani ileile ya CCM.
Rubish!Kimsingi kama ni kukwama tayari Magufuli alishakwamisha nchi, hao walioko sasa hawajui wafanyeje ili kuinasua nchi. Hapo ndio kila mtu anaongea lake ili ajaribu kunasua tulipokwama. Lakini nina uhakika kama mama hatambadili PM na waziri wa fedha, ataangoza kwa mitazamo ya kimagufuli ambapo atakwama zaidi.
Daah aisee......najiuliza huyu Samia amekuja na chama Kipya au nayeye ni mmojawapo wa waliokuwepo Serikali iliyopita? Kuna jambo gani limebadilika kwenye Utawala zaidi ya kifo cha JPM? Sisiemu ni ile ile, Mpango ni yule yule ambaye yale yalikuwa yanafanyika na Tra nina imani zile task force alizijua vizuri kama Waziri....Kila Rais huwa na Vision yake na ambitions zake, vision ya hayati Magufuli ilikuwa Tanzania ya viwanda ambayo ilishindwa chini ya uongozi wa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, sijajua vision ya rais mpya Mama Samia kuwa ni ile ile ya Tanzania ya viwanda au atakuja na nyingine au hana vision kabisa.
Mwelekeo wa uongozi wa Serikali ya mama Samia haujawa na sauti moja means mwelekeo mmoja, nafikiri hili linatokana na labda na mama Samia kutoonyesha msimamo wake, jana Waziri mkuu kaja na vipaumbele 6, kimojawapo ni ‘Hakuna kurudi nyuma’ means wanaendeleza ya mtangulizi kana kwamba Rais aliyepo hana vipaumbele vyake, huku Spika akisema hayati Magufuli alikuwa akishauriwa vibaya means tubadilike.
Mimi naona kama kuna mkakati wa makusudi wa kumkwamisha Rais Samia au kumlazimisha afate vision ya mtangulizi wake. Pamoja na kwamba alisema atayaenzi ya mtangulizi wake haina maana yeye hajui anataka Tanzania ya aina gani.
Mkapa alipoingia madarakani alisema atayaenzi ya muasisi wa Taifa Mwalimu Nyerere ‘yale mazuri’ lkn alikuja kubinafsisha mashirika ya umma kinyume na mwasisi wake tena Mwalimu angali akiwa hai.
Bila ya Rais Samia kuja na serikali yake iliyobeba maono yake itamuwia ngumu kuipeleka Tanzania aipendayo, kwa sababu baraza zima bado ni lilelile, linataka kuendeleza yaleyale maana yake ‘halina jipya’, Waziri mkuu bado ni yule yule aliye na vision ya Tanzania ya viwanda iliyoshindwa. Tutegemee miujiza.
Truly!Disturbing
👊👊Siku zake kuwepo pale zinahesabika
Ilani ya chama siyo vision ya rais.Vision yake ni ile ile kwakua anaedeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ambayo tuliipigia kura sisi. Yeye alitembea nchi nzima kuifanyia campaign kumwekea maneno mdomoni kwamba eti hana vision or sijui hatakiwi kuendeleza ya hayati ni kukosa kuelewa maana ya yeye kuwa mgombea mwenza wakati ule wa campaign.
Msimpotoshe Rais, mnayo matamanio yenu mengi yakiwa ya binafsi. Hii nvhi ni yetu sote mumwache Rais aitekeleze ilani ya uchaguzi tuliyoipigia kura. Ndiyo mkataba wetu sisi raia na chama ambacho kilimchagua kuwa mgombea mwenza na kwa bahati mbaya aliyekuwa Rais alitutoka kwahiyo katiba inaelekeza mgombea mwenza awe ndiyo mshika usukani.
Wanaomuwekea rais mazingira magumu ni CCM wenyewe wakiwemo wabunge wanaomlazimisha afuate ya marehemu hata kama yalikuwa hayafai.Nyie ndiye ambao mpo kama fisi mkisubiri mkono udondoke. Kwani yeye hajui anachotakiwa kufanya? Huko ni kumkosea heshima napia ni kumweka Rais kwenye mazingira mabovu ya kushindwa kuwa huru kuamua kwaajili ya mustakabali wa taifa letu