WAZEE WAKE WALEE WAJUKUU WALIKUWA WAPI KUONGOZA, HIYO NI TAMAA YA MADARAKA, TUMEWASIKIA WANAVYOHANGAIKA HEBU WAKE WALEE WAJUKUU. MAMA SAMIA TEUA MAKAMU MWANAMKE BANALazima ukweli usemwe akitaka uongozi wake asiwe na stress lazima aongoze kwa mgongo wa wazee,kwa sababu pia siamini kama alijiandaa kushika nyazifa kubwa kiasi kile.
Kama nimekusoma ni kuwa, hutaki hili kundi la Magufuli la akina Polepole. bashiru, Kabudi n.k litoe Makamu wa Rais sio?Mkuu si tunamutaka Makamu wa Rais atakae kua sawa na Rais wetu kipenzi SSH sio atakaekua na mihemuko pia tunataka mtu ambae atakua anakubalika ndani ya chama ilikuepo mshikamano
No! ni hatari kubwa sanaaa...William lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Exactly..hapa hakuna watu wenye talents ya uongozi yani wanaenda kwa pupa tu.Kama nimekusoma ni kuwa, hutaki hili kundi la Magufuli la akina Polepole. bashiru, Kabudi n.k litoe Makamu wa Rais sio?
Mtu akiimbia Ccm kitu anaonekana Fisadi kumbe mafisadi wapo ndani ya chama chenyeweMAFISADI MMEANZA PROPAGANDA ILI MUWEZE WEKA WATU WENU.
Hata Kama n lasaba huyu mzee anafanya kazi kubwa mno na inaonekana kuongoza watu sio elimu Bali hekima na busara ya kuamua Jambo kabla au ndani ya wakati japo elimu inasaidia.Yap Lukuvi anafaa Sana , sema wana wanadai kaishia la saba
mbona wakati rais mwanaume makamu mwanaume na waziri mkuu mwanaume ilikua shega tu na hata wakitaka waweke wanawake tu ni maamuzi yao na yakeImpossible in which sense katiba hairuhusu au?
Mkuu tokea tarehe 17 kilipo tangazwa kifo cha Magufuli wote waliokua nje ya system walikua Installed tena na wanaendelea kube installed.Yupo nje ya system kwa sasa!
Mizengo kayanza pinda kama katiba inaruhusuAnatakiwa awe na mtu ambaye wanaendana... Mtu ambaye anaweza mwambia kitu na akatekeleza, mtu ambaye anaweza shauriana nae vizuri muda wowote, mtu ambaye ni mwanadiplomasia mzuri, mtu ambaye ni mtulivu katika kuongea jambo na kufanya maamuzi, mtu ambaye hana chembe ya ukakasi katika maisha yake ya siasa kipindi cha nyuma, mtu ambaye hakuwa katika nafasi ya maamuzi wakati wa utawala wa JPM...
William lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Hafai kabisaWilliam lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
kubalansi nini? Maana alikuwa Mkristu alipoondoka akaja Pinda nae MkristuHukuona Lowassa alifukuzwa ili kubalansi??
Mimi mwenyewe siwafagilii, majivuno mengi,Exactly..hapa hakuna watu wenye talents ya uongozi yani wanaenda kwa pupa tu.
William Lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Unamaanisha Prof. Manya? Hana influence kwenye chama, lakini ana uwezo mkubwa na ana utulivu mkubwa wa akili, siyo kama Kabudi.Kuna yule naibu wa Madini nadhani ni mtu sahihi sana kwake alikuwa Tume ya madini. Nilimuona Bungeni the person is genius.
Hao ni wachovu tayari!! Atawaonea aibu kuwakimbiza mchaka mchaka kuendana na kasi aliyoiasisi Dr Magufuli!Amteue
Dr Slaa, Mark Mwandosya au mzee Steven Wassira.
Hawa ni watu ambao ni wakomavu kisiasa na hawana ambition za kisiasa tena.
Watamsaidia sana kuliko kuokoteza hayo matakataka yaliyoibuliwa na JPM