ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,557
Slaa ananunulika kirahisiAmteue
Dr Slaa, Mark Mwandosya au mzee Steven Wassira.
Hawa ni watu ambao ni wakomavu kisiasa na hawana ambition za kisiasa tena.
Watamsaidia sana kuliko kuokoteza hayo matakataka yaliyoibuliwa na JPM
Ndiyo hata ndani ya CCM kuna mafisadi wengi tu.Mtu akiimbia Ccm kitu anaonekana Fisadi kumbe mafisadi wapo ndani ya chama chenyewe
Katiba inaruhusu Makamu wa Rais kuwa Mbunge? Kumbuka Lukuvi ni mbunge wa kuchaguliwa!!William Lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Huyu hafai ni mtu wa mahasira na stress muda wote.William Lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Yani ndani ya week hizi kuanzia kudanganya umma Magu anaumwa mpaka kufikia takwimu za uongo watanzania hawana imani nae kabisa MkuuHuyu hafai ni mtu wa mahasira na stress muda wote.
Majaliwa kuwa makamu wa raisi anafaa sana sana.
Lasaba tunasemwa sana sijui kosa letu nini wakati ni darsa la kisheria kabisa tena nilamwisho kuonyesha umemaliza shule ya msingi.Yap Lukuvi anafaa Sana, sema wana wanadai kaishia la saba
Makamu wa Rais na Waziri mkuu nani ni mtendaji zaidi?Huyu hafai ni mtu wa mahasira na stress muda wote.
Majaliwa kuwa makamu wa raisi anafaa sana sana.
Yap Lukuvi anafaa Sana, sema wana wanadai kaishia la saba
Huyu jamaa ana Mori wa kimang'ati.Nafasi nyeti kama hizo zinahitaji mtu asiye na mihemuko!William Lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Kweli mkuu tena Mama Anna Makinda ndio angefaa.Achague mwanamke mwenzake tu.
Usawa huo ndio unaonekana sasa?Mbona toka tunaanza awamu ya kwanza mpaka ya nne,nafasi zote zile tatu za juu walikua wanaume tu
Suma!Na huu ushauri kautoa... Yule mwenye jina,ambaye hua anagombea kiti cha Kata kwenye uchaguzi Mkuu!
Kuna wasi wasi kwenye Elimu yake. Nasikia La Saba La Zamani, group moja na kina Musukuma. katiba inataka makamu awe na sifa za kuwa Rais.No! ni hatari kubwa sanaaa...
Hakuna kijiji bila wazee kumbuka Maneno ya wahenga Mkuu japo huenda hata wewe ukawa Mhenga japo sijui tu.Muacheni Rais Samia achague analoona ni chaguo bora. Litakalomsikiliza na kumsaidia katika majukumu, siyo litakalosikiliza 'wazee' ambao wakati wao ulishapita, walishaongoza zamani ilitosha. Walisahau nini ambacho wanataka kukirudia Ikulu?
sifuri kabisaWilliam Lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Well articulated mkuu. Hebu agiza Zanana juice nakuja kulipiaMuacheni Rais Samia achague analoona ni chaguo bora. Litakalomsikiliza na kumsaidia katika majukumu,
Kweli bwana. Wakati mwingine tujifunze kukubali mapito ya majira na nyakati. Na hiki kizazi x,y,z kinakimbia kwa speed ya mwanga ambayo age go wengi hawataweza speed yakeSiyo litakalosikiliza 'wazee' ambao wakati wao ulishapita, walishaongoza zamani ilitosha. Walisahau nini ambacho wanataka kukirudia Ikulu?