Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,671
- 853
Hivi tunamtafuta mtu kuwa makamu kwa ajili ya dini yake au kwa ajili ya uwezo wake ?Usije fikiri kwamba kila kitu anachukua toka CCM! Makamu wa Rais lazima awe Mkiristo tena,kutoka dhehebu la nasadiki kwa kanisa moja,takatifu la mitume! So unaweza shangaa Makamu wa Rais akawa Chenge!
Vingine havisemwi mkuu lakini Balance iwepo kwenye Taifa la imani nyingi kama TanzaniaHivi tunamtafuta mtu kuwa makamu kwa ajili ya dini yake au kwa ajili ya uwezo wake ?
Makamu wa raisi moja ya kazi yake kubwa nchini ni kuchukua ofisi pale raisi anapokuwa kwenye hali ya kushindwa kutoa maamuzi ya kiuongozi kwa sababu yoyote ile iwe ugonjwa au kifo. Kuna baadhi ya mambo mengi pia raisi anampa jukumu la maamuzi makamo wake.Lazima ukweli usemwe akitaka uongozi wake asiwe na stress lazima aongoze kwa mgongo wa wazee,kwa sababu pia siamini kama alijiandaa kushika nyazifa kubwa kiasi kile.
Habari za ufisadi kipindi cha JPM kama zipi zikiwekwa wazi na vyombo vya habari kuna iwezekano huo mtazamo wa watanzania usiwepo.JPM alishawafungua macho na akili Watanzania wa nyanja zote kwa ile kauli yake ya Nchi hii tumechezewa sana. Hii imetosha kabisa na tuna subiria tuone Je Rais SSH atajinasibisha na wachezea nchi au la?
Lakini usiishie kuangalia kwenye katiba kwamba Inasema nini kuhusu Majukumu ya Makamu wa Rais ila tambua kua Makamu ni mtu wa karibu sana wa Rais,sa kwa kuangalia pia kwa wakati kama huu Rais alieachiwa mamlaka ya kuongoza nchi pasipo kujiandaa kwa sababu naamin Kiuhalisia Samia hakujiandaaa kwahio atahitaji mtu wa karibu (VP) ambae atakua na positive influence kwenye chama chake pia kwenye utawala wake.Makamu wa raisi moja ya kazi yake kubwa nchini ni kuchukua ofisi pale raisi anapokuwa kwenye hali ya kushindwa kutoa maamuzi ya kiuongozi kwa sababu yoyote ile iwe ugonjwa au kifo. Kuna baadhi ya mambo mengi pia raisi anampa jukumu la maamuzi makamo wake.
Sasa kuna kujiandaa zaidi ya hapo?
Nafikiri hapa dr. Slaa panamfaa Sana.Anatakiwa awe na mtu ambaye wanaendana... Mtu ambaye anaweza mwambia kitu na akatekeleza, mtu ambaye anaweza shauriana nae vizuri muda wowote, mtu ambaye ni mwanadiplomasia mzuri, mtu ambaye ni mtulivu katika kuongea jambo na kufanya maamuzi, mtu ambaye hana chembe ya ukakasi katika maisha yake ya siasa kipindi cha nyuma, mtu ambaye hakuwa katika nafasi ya maamuzi wakati wa utawala wa JPM...
Ana degree ya kwanza Open University. Siyo la SabaKuna wasi wasi kwenye Elimu yake. Nasikia La Saba La Zamani, group moja na kina Musukuma. katiba inataka makamu awe na sifa za kuwa Rais.
Na katiba inatamka wazi upande wa elimu: Ni lazima awe na Degree angalau moja, bila kujali ni ya fani gani,
William Lukuvi anafaa kuwa makamu wa Rais.
Anatakiwa awe na mtu ambaye wanaendana... Mtu ambaye anaweza mwambia kitu na akatekeleza, mtu ambaye anaweza shauriana nae vizuri muda wowote, mtu ambaye ni mwanadiplomasia mzuri, mtu ambaye ni mtulivu katika kuongea jambo na kufanya maamuzi, mtu ambaye hana chembe ya ukakasi katika maisha yake ya siasa kipindi cha nyuma, mtu ambaye hakuwa katika nafasi ya maamuzi wakati wa utawala wa JPM...
usipende kuzungumzia "udini" maana sisi watanzania tunacho taka ni kupata kiongozi bora na mwadilifu sio dini yake. hizi sio zama za kuzungumzia udini.Usije fikiri kwamba kila kitu anachukua toka CCM! Makamu wa Rais lazima awe Mkiristo tena,kutoka dhehebu la nasadiki kwa kanisa moja,takatifu la mitume! So unaweza shangaa Makamu wa Rais akawa Chenge!
Lukuvi nimegaraduate nae masters miaka 11 iliyopita, sijui kwa sasa kama alishapata doctorate.Yap Lukuvi anafaa Sana, sema wana wanadai kaishia la saba
Tupe majina ya waliofukuzwa uanachama sababu ya ufisadiSometimes ufisadi mwingine ulikua unaibuliwa kwa hujuma tu,sa kama mtu fisadi kwanini chama hakikumfuta uanachama?
Soma nilicho andika uelewe Mnyonge weweTupe majina ya waliofukuzwa uanachama sababu ya ufisadi
Hata Mama Samia kaibuliwa na JPM na yeye kashuhudia hilo kwenye hotuba yake Dodoma. Viongozi wote walioibuliwa na JPM wangekuwa ni takataka tusingefikia hapa leo kimaendeleo.Amteue
Dr Slaa, Mark Mwandosya au mzee Steven Wassira.
Hawa ni watu ambao ni wakomavu kisiasa na hawana ambition za kisiasa tena.
Watamsaidia sana kuliko kuokoteza hayo matakataka yaliyoibuliwa na JPM
JPM kamuibua mama Samia ?Hata Mama Samia kaibuliwa na JPM na yeye kashuhudia hilo kwenye hotuba yake Dodoma. Viongozi wote walioibuliwa na JPM wangekuwa ni takataka tusingefikia hapa leo kimaendeleo.
Kumbe rais ni mwanamke?JPM kamuibua mama Samia ?
Shule umemaliza lini ?
Lissu kafikaje kwenye mada hii ?Kumbe rais ni mwanamke?
Nilijua ni mzee wa MIGA Lisu