Rais Samia Suluhu akifanya kosa hili uongozi wake utakua mgumu sana

Sawa kabisa na Manya anazosifa hizo kikubwa ni msafi hana mambo ya rushwa nilimwona nikamkubali sana prof.
 
Amteue
Dr Slaa, Mark Mwandosya au mzee Steven Wassira.

Hawa ni watu ambao ni wakomavu kisiasa na hawana ambition za kisiasa tena.

Watamsaidia sana kuliko kuokoteza hayo matakataka yaliyoibuliwa na JPM
Steven nani vile! Mark nani vile! Labda Dr. Slaa. Hao wengine tayari wameandamwa na senility. Hawawezi kutoa maamuzi ya busara.
 
Nashangaa kusikia hizi habari za Samia hakujiandaa. Hivi mna maana gani kusema hakujiandaa. Hivi yeye ni Mungu kujua yajayo. Unapoteuliwa kuwa makamu unateuliwa kwa sababu una uwezo wa kutenda kazi za kiraisi ikiwa ni pamoja na maamuzi wakati hayupo. Unakuwa na uwezo wa kumwakilisha raisi kikamilifu, siyo nusu nusu. Mimi niadhani Mama Samia alipokubali kuwa mgombea mwenza Magufuli alikubali kama ana uwezo wa kufanya kazi za raisi kama raisi hayupo, kwa hiyo nuna imani alikuwa tayari kuvaa viatu vya Magufuli.
 
Badala ya kushauri achague mchapa kazi, mtu safi, mzalendo, asiye na madoa ya ufisadi na anaendana na sifa za serikali ya awamu hii, wewe unashauri achague mtu anayekubalika na chama.
 
Na yeye ameshasema Kia yeye ndiye rais wa Jamhuri ya Muungano hivyo wenye wasiwasi wao watulie.
 
Habari za ufisadi kipindi cha JPM kama zipi zikiwekwa wazi na vyombo vya habari kuna iwezekano huo mtazamo wa watanzania usiwepo.

Kwani kuna aliye wazuia kuweka wazi. Hebu wekene wazi maana Marehemu alikuwa muumini wa ukweli sasa kwa nini mnatishia kuwa zikiweka. Wekeni msisite hata kidogo.
 
Kwanivkuna aliye wazuia kuweka wazi. Hebu wekene wazi maana Marehemu alikuwa muumini wa ukweli sasa kwa nini mnatishia kuwa zikiweka. Wekeni msisite hata kidogo.
Moja ya kasoro za utawala wake ni uhuru wa kutoa taarifa au tetesi na hakuna binadamu asiye na mapungufu hivyo lazima kulikuwa na mapungufu kipindi cha utawala wake.
 
Moja ya kasoro za utawala wake ni uhuru wa kutoa taarifa au tetesi na hakuna binadamu asiye na mapungufu hivyo lazima kulikuwa na mapungufu kipindi cha utawala wake.

Kwa nini PM anapigwa vita na Mawakala wa Mafisadi na Majizi ya Taifa hili kwa kufanikisha Mazishi ya Heshima ya huyu Rais aliye kuwa kipenzi na Mtetezi wa walalahoi wa Taifa la Tanzania aka Mmachinga No 1 Magu!!??
 
Kwa upinzani kelele ni lazima, anaingia mtu mwenye policies kinyume na za kwako, wapinzani wanao amini tofauti na wewe tegemea kelele.

Na inawezekana kelele hizo hazina msingi. Siku zote hushanga upinzani kushutumu chama tawala, hawawezi kukusikiliza kwa kuwa mna imani ya tofauti na matendo pia. Na hii inawahusu CCM wanao walalamikia wapinzani pia.

Mtoto akizaliwa muda huo huo anapiga kelele sembuze mtu mzima/ Upinzani?
 
Kwa nini PM anapigwa vita na Mawakala wa Mafisadi na Majizi ya Taifa hili kwa kufanikisha Mazishi ya Heshima ya huyu Rais aliye kuwa kipenzi na Mtetezi wa walalahoi wa Taifa la Tanzania aka Mmachinga No 1 Magu!!??
Mm sijui kama anapigwa vita. Mawakala wa mafisadi pia siwajui ni kina nani. Ninachofahamu tuna mahakama za kifisadi ambazo mafisadi wanatakiwa wawe wamepelekwa huko.
 
Sina wasiwasi. Yeyote atakayeteuliwa shughuli zitaenda. Makamu hutekeleza kazi anazopangiwa na Rais. Tuombe Mungu ampe hekima, nguvu na uwezo Rais mama Samia
 
Mm sijui kama anapigwa vita. Mawakala wa mafisadi pia siwajui ni kina nani. Ninachofahamu tuna mahakama za kifisadi ambazo mafisadi wanatakiwa wawe wamepelekwa huko.

Kumbe unautaalamu wa kujibaraguza. Vita vya mafisadi vilitumia njia nyingi mbadala za wazi na za kificho. Na rudi pale pale Kiongozi mwenye kuongozwa na hekima ya Mungu hatumii sheria tu. Hutumia na hekima ile itokayo kwa Mungu.

Si shangai kwa wewe na wenye upeo finyu wa aina yako kufikiria na kujirithisha kwamba vita dhidi ya ufisadi ilikuwa ya one front eti eti eti Mahakama ya Mafisadi tu. Hukuona mikataba ya kifisadi, kishenzi na dhuluma kuvunjwa na kuandikwa upya??
 
Nchi inaongozwa kwa sheria. Mambo mengine ni porojo.

Hekima ya kuongoza nchi itoke kwa mungu yupi?

Ww unafahamu viongozi wanachoabudu nje ya macho yako?

Kila binadamu ana imani yake ndo maana ni sheria za nchi na katiba ndiyo tunayotakiwa kuifata.
 

Hata Suleimani ali abudu miungu ya wake na masuria 1000 na kuitengeneza madhabahu. Na bado kwa kupitia Daudi Baba yake Yesu alitwa mwana Wadaudi. Itoshe tu kuwa JPM alimkiri Bwana Yesu na Mungu wa Mbinguni hadharani na ulimwengu wote ukalishuhudia hilo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…