Rais Samia Suluhu akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino, Dodoma

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukiwaona hapo utafikiri wanajadili mambo ya maana kumbe wanawaza matumbo yao tu!
kuna wakati walishawahi kuwaza mambo ya maana? ni lini viongozi wa Tz waliwawazia watu wao?
unakijua kijiji cha ndugai zile apartment pale dodoma tuseme alijenga kwa pesa yake au ni wizi?
majuha bado wanacheza nachi, wakifikiria ccm ipo kwa ajili yao
 
Acha ujinga wewe! Tutaanza kufikiri vibaya kuhusu wewe na huyo mtu maana umeanza kuonyesha tabia za wale washirika wa Rainbow [emoji304] ambao wanapopoteza mwenza wao!
Akili zinaruka na kila jambo ni kumtaja mwenza aliyetwaliwa.
Jee nawe ni hivyo?
Acha hizo, kila mtu asifisie anachokipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…