Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Itakuwaje usifie kisichohusiana na mada husika? Ulimbukeni tuuAcha hizo, kila mtu asifisie anachokipenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwaje usifie kisichohusiana na mada husika? Ulimbukeni tuuAcha hizo, kila mtu asifisie anachokipenda
Shetani wenu KAYAFA aliwaza nini? Kubalini matokeo nyie kima.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Ukiwaona hapo utafikiri wanajadili mambo ya maana kumbe wanawaza matumbo yao tu!
Pale magogoni wpe mzee wa msoga afugie ndege wale
Unakuta hapo anamwambia ummi na wew muende mkalitazamekuna wakati walishawahi kuwaza mambo ya maana? ni lini viongozi wa Tz waliwawazia watu wao?
unakijua kijiji cha ndugai zile apartment pale dodoma tuseme alijenga kwa pesa yake au ni wizi?
majuha bado wanacheza nachi, wakifikiria ccm ipo kwa ajili yao
Tangu enzi za HAPA KAZI TU na sasa KAZI IENDELEEWewe kazi umeanza kufanya lini aisee??
[emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji117][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
View attachment 2546498View attachment 2546499
Kuongea ukweli ni chuki?Ila jamaa una chuki sana na regime iliyopo. Mwendazake harudi tena
Kayafa aliwaza kukubutua tu!Shetani wenu KAYAFA aliwaza nini? Kubalini matokeo nyie kima.
Hakuna na uwezo wa kutungisha mimbaKayafa aliwaza kukubutua tu!
Vipi umeshajifungua mimba yake?
Kwahiyo alikubutua bure tu?Hakuna na uwezo wa kutungisha mimba
Angefuta ile kauli eti wale kwa urefu wa kamba za malisho tukisikia. Hii ili tukatisha imani ccm asilia. Tena wasituitage wahafidhina maana sisi tumesimama kwenye itikadi ya chama. Ujamaa na kujitegemeaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 11 Machi, 2023
View attachment 2546498View attachment 2546499
Wewe alikubutua kwa hela?Kwahiyo alikubutua bure tu?