Hapo kwenye wengi kwa Magu hapana sema landa kanda kaskazini na majizi, wala rushwa na wadokoziAsipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Mkuu acha kutudanganya ,mtu anayechukiwa angeagwa kiasi kile? Mambo mengine muwe mnaona aibu kuyaandika ni bora uyazungumzie chumbani na mkeo.Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Usitegemee nyie mliodumaa Ubongo anawahesabia kwenye wengi. Anamaanisha wengi wenye akilli TimamuHapo kwenye wengi kwa Magu hapana sema landa kanda kaskazini na majizi, wala rushwa na wadokozi
Dah πππππππππππππBongo raha sanaaaaππΉπΏβ₯οΈβπ
View attachment 1742434
Sihami bongo hakiπ π π π π π π π π π
Mpaka insta yupo.Ile akaunti sijaielewa kabisa...hao wanaoiendesha wapunguze ushamba kidogo
Akaunti ya Mkuu wa Nchi huwa haipost mambo hovyo hovyo....wafuatilie akaunti za viongozi wenzake wajifunze mambo yalivyo
Au hata kwa Mtangulizi wake Hayati JPM..
sasa sijajua anayeiendesha ile akaunti ya Mama yetu Raisi sijui ni mwanamke mwenzie au vipi.. kwa sabbu wanawake kwa vijipost post hawajambo
JPM alichukiwa na wauza ngada, mafisadi, misheni town, vyeti feki na wahujumu uchumi, sijui wewe upo kundi gani [emoji23][emoji23][emoji23]Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Bado ..Kwaio mama anatumia vpn ???Hivi ili utumie twitter huko TZ si ni hadi uwe na vipieni? au walishaiachia huru?
Ehhh unadhani ni age yako ile?na siasa wadhani kaanza Leo?tulia wewe...mama anajielewa kuliko unavyodhani...Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Haupo TZ siku hizi?Hivi ili utumie twitter huko TZ si ni hadi uwe na vipieni? au walishaiachia huru?
Kujielewa ndo kushinda mtandaoni na kupost ?Ehhh unadhani ni age yako ile?na siasa wadhani kaanza Leo?tulia wewe...mama anajielewa kuliko unavuodhani...
Iseee...kumbeMpaka insta yupo
Napata mashaka kama ni yeye kweliBongo raha sanaaaaππΉπΏβ₯οΈβπ
View attachment 1742434
Sihami bongo hakiπ π π π π π π π π π
Mkuu Wananchi wepi wamchukie, wala rusha? Dua la kuku hiliAsipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Vifurushi vya wiki havijaisha, maana wizi wa ndugu-lile kupitia mabando ulianza jana (02/04/2021)Kama hawana bando waliwezaje kuona na kujibu twita yake!