Rais Samia Suluhu alazimika kufuta post yake ya Twitter aliyotoa taarifa ya kuwasili Dar. Ni baada ya malalamiko kuhusu mabando kuzidi kwa wachangiaji

Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Yaani wewe unaamini JPM alichukiwa, umati uliomuga juzi ulisombwa kwa kulazimishwa.Hakunaga kama JPM mtabaki na chuki zenu za kikabila lakini historia imeandikwa kuwa JPM alikuwa mzalendo namba 1
 
Ndugu yangu unawachokoza eeh, ndio wao wameshika nchi sasa, wape uhuru wao tuachane na mfumo dume sasa tuwe neutral vinginevyo watakushukia kama mwewe.
 
Hakuna kiongozi yeyote Duniani anayeshinda mtandaoni aliyefanikiwa hakuna na aliyemshauri huyu mama kuwa mtu wa mitandaoni bhasi ajue soon kutaongozwa na mawazo ya wahuni wa Twitter naona anaenda kuungana na wakina Kigwangala
Mkuu mara nyingi viongozi wakuu wa nchi sio hao wanaoendesha hizi account za social media
 
Hahahha yawezekana ... kwa bahati mbaya watu wengi wanajua Mama ndio huwa anakaa na simu nakuanza kupost..
 
Ukweli kipindi cha Jiwe Moyo wangu ulikosa furaha moyoni hakika sikumuona kama ana roho ya Utu... na uhakika Tanzania tutapanda juu katika Nchi zenye furaha Duniani...

Sema utapanda maana hali hiyo ulikua nayo wewe.
 
Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Atachukiwa na wananchi wa jamhuri ya Twitter, aliemtangulia uliona alivyoagwa, sasa msijidanganye he was hated sababu ya chuki from fake accounts in Twitter
 
Asipokuwa makini, na yeye atajikuta anachukiwa na wananchi walio wengi kama ilivyokua kwamtangulizi wake, aliyechagua kuwa mkaidi mwanzo mwisho.
Siyo kweli kwamba Rais aliepita alichukiwa na watu walio wengi bali the opposite yake. Na ili afanikiwe ni lazima asipitie mbali na njia aliyopita mtangulizi wake

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Mbona hujatuweka kwenye orodha sisi wahanga wa NSSF?
 
Mama angeachana au ashauliwe kuhusu matumizi ya mitandao
 
Msamiati utakao msaidia huyu mama na kumuongoza Ni kutenda haki tu , yeye ni mtu mzima lililo la haki analijua , lisilo haki analijua , kazi kwake kuchagua njia ya haki au isiyo haki .
 
Mkuu acha kutudanganya ,mtu anayechukiwa angeagwa kiasi kile? Mambo mengine muwe mnaona aibu kuyaandika ni bora uyazungumzie chumbani na mkeo.
Wengine sisi tulienda kuhakikisha km kweli ameondoka maana kuna kudanganyana mkatukamata tuliokuwa Bar na kuchinja mbuzi
mbona tutasahau mapema tu hayo mambo? Mama keshazuia ongezeko la Bundle na atafungua Tweeter na Uhuru wa Habari na yaliyofungiwa kufunguliwa sambamba na Wafungwa wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…