Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Ndio maana tulikuwa tunasema awamu ya meko ina wapiga dili kibao kuliko hata awamu ya kikwete.
Ni kweli,
Maana kwa miaka yote 10 ya JK. zilipigwa 784 Bilioni lakini kulikuwa na makashfa kama yote (epa, mELEMETA, escrow ETC) ambayo ukiyajumlisha ndo yanafikisha kiasi hicho ... Kwa JPM, hakukua na kashfa yoyote, lakini 1.5T hazikujulikana zilikoenda tena kwa mwaka mmoja tu...
YAANI MIAKA KUMI, PIGO LAKE NI NUSU YA PIGO LA MWAKA MMOJA... SIYO MCHEZO
 
Mkuu nani angethubutu kusema? Hiyo hasara ya ATCL yenyewe imesemwa leo kwa sababu Meko yuko chini ya ardhi, miaka 5 mfulilizo hakuna faida na tulidanganywa kwamba ATCL inaingiza faida kubwa.
Unachotaka kusema hiyo report ya cag imeandaliwa mwezi huu tar 17 march baada ya jpm kufariki?
 
TPA tokea enzi na enzi za kina Janguo, haijawahi kutengemaa aisee!

Kuwasimamisha wa chini ya DG haikuwa sahihi bila kumuwajibisha yeye DG.

Everyday is Saturday................................ 😎
Ni kweli. Jamnai mbona inasemékana kuwa Magufuli alikomesha kila kitu kuhusu ufisadi pale? Au ametuymbuliwa kwa sababu ya hizi fedha wanazosema walitaka kuzichota juzi ili kubakisha watu wa Magufuli kwenye system baada ya kufariki. Pia kuhonga ili makamu awe mtu wa Magufuli. Chahali ali tweet hili juzi ileee
#BreakingNews: Tanzania Port Authority chief, from "Chato Inc" tried to siphon Tsh 48 billion (approx USD 20.7) from TPA's account at Central Bank for purpose of influencing member of powerful ruling party commettee to keep Magufuli's appointees in their current posts
 
Mkuu nani angethubutu kusema? Hiyo hasara ya ATCL yenyewe imesemwa leo kwa sababu Meko yuko chini ya ardhi, miaka 5 mfulilizo hakuna faida na tulidanganywa kwamba ATCL inaingiza faida kubwa.
Wale wa mitano tena waje waseme sasa..!!! Wale wa atake asitake waingie watuambie hasara hii imetokana na nini?
 
Back
Top Bottom