GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 19,913
I second you. JPM kwa uzalendo alikua namba moja, sidhani kama kuna Rais aliyekua na uchungu na hii nchi kama yule mzeeAlikuwa mzalendo. Hili sina ubishi nalo. Ila alikuwa mzalendo asiye na clue afanye nini kuipeleka Tanzania mbele. Alikuwa na udhaifu mwingi ambao watu waliutumia kupiga. Alikuwa hajui kuteua watu wazuri kwani alikuwa anapofushwa na kupenda kuabudiwa na chuki yake kwa baadhi ya watu.
Tatizo lake kubwa alikua anataka kutengeneza "Cult personality" kwamba watu wote waone juhudi zake yeye kama yeye binafsi sio serikali kwa ujumla. Na watoto wa mjini walilijua hilo wakawa wananata na biti hapo hapo kumpamba huku wanafanya mitikasi yao