Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

Wateule wa JPM hao sasa iweje wafikie hatua ya kuwa wezi? Hapa ndio napata picha JPM hakuwa mzalendo
Uzalendo wake ulikuwa ni wa mdomoni wa kuwahadaa wanyonge wake alokuwa akiwaongelea kila siku maana anajua hawana ufahamu wa kuyatambua hayo.
 
Ni hoja dhaifu sana hii, utadhani wewe ni hodari sana kusimama kama Rais, watu wa kukosoa kila jambo hamna nafasi katika taifa hili maana hamna zuri hata moja mtashukuru
Kwa Shirika la Ndege Mkuu....Hayati Alikuwa mchungu mno asiyeshaurika Kwalo....
 
Mkuu, kwa hiyo, ulitaka ubadhirifu wa TZS 3.6 Bilioni hapo TPA upite bila DG kuwajibishwa?

Hadithi yako haikubaliki kamwe.
 
Unachotaka kusema hiyo report ya cag imeandaliwa mwezi huu tar 17 march baada ya jpm kufariki?
Tumia akili kidooogo, wewe unadhani huo uozo TPA umeanza tarehe 17/03 baada ya MEKO kufariki? Meko alikuwa anajua kila kitu, lakini hakuruhusu vitolewe hadharani ili kuficha madudu yake. Hivi wewe unadhani ile report ya CAG leo ndiyo raisi anaiona?
 
Hapo BoT kuna wahusika wana shughulikiwa kwa haraka. Walio kwapua pesa wana julikana. Ila kaamua kiwa na ushahidi. Naona hapa ana chelewesha mambo maana jamaa wata ficha ushahidi. Au wazuiliwe kuingia ofisini. Hasa Dotto James na KmK wao walichota jamaa akiwa hoi.
 
Kwa hiyo Unavyoelewa wewe waziri mkuu alikurupuka kwenda kutoa maagizo bandari?
Halafu kingine unacholazimisha ni kwamba Samia alikua anasubiri kifo ndio huyo mtu atumbuliw?
Rudi kwenye attach,ents nilizokuwekea walau uelewe serikali ni taasisi
Usinibandikie hisia wala maneno.. Elewa nilikiandika tu... haya ya kusubiri mtu afe ni yako...

Haya, kutoa maagizo bandari mwisho wake ilikuwa nini? Vile viambulensi hukufiona mitaani ? Lakini si unajuwa kuwa tuliambiwa sijui vimepotea sijui vilifichwa, YAANI MZIGO MKUBWA VILE UNAFICHWAJE BANDARINI PALE?
 
Unamzungumziaje hasara za ATCL kwa miaka mitano
 
Aliteuliwa na jpm kwa urafiki, na angekuwa jpm asingemfukuza, angesema mimi sipangiwi, natamani huyu Samia afukuze wote walioteuliwa na magufuri, ili kufuta hizo elements serikalini
 
Kwani kulikuwa na gawio? Ule ulikuwa usanii wa Meko tu, ili kuaminisha watu kuwa shirika la ndege lilikuwa linapata faida.
Kuna watu walisema ATCL inafanya hasara. Meko akatengeneza huo usanii ili kuwazodoa waliokuwa wanasema ATCL inapata hasara.
Kwa usaniii aliotufanyia basi Mungu amlaze hayati anapostahili
Kwani kulikuwa na gawio? Ule ulikuwa usanii wa Meko tu, ili kuaminisha watu kuwa shirika la ndege lilikuwa linapata faida.
Kuna watu walisema ATCL inafanya hasara. Meko akatengeneza huo usanii ili kuwazodoa waliokuwa wanasema ATCL inapata hasara.
 
Kwa hiyo Unavyoelewa wewe waziri mkuu alikurupuka kwenda kutoa maagizo bandari?
Halafu kingine unacholazimisha ni kwamba Samia alikua anasubiri kifo ndio huyo mtu atumbuliw?
Rudi kwenye attach,ents nilizokuwekea walau uelewe serikali ni taasisi

Kwanini mnasahahu kuwa makamu wa Raisi kazi yake kuu ni kutembea na mkasi kukata utepe na sio kutoa maagizo? Tena serekaki ya jiwe labda akutume, kama hajakutuma uthubutu kutoa amri yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…